Habari za usiku wakuu,
Nimetoka kazini jioni ya leo
Saa kumi na mbili hivi jioni nimelala nimeamka sasa hivi ati nimeota best friend wangu wa pekee niliyewahi kuwa nae aliyefariki miaka zaidi ya...
Shirika la Utangazaji Tanzania TBC kupitia luninga ya Taifa TBC 1 limeanzisha kipindi kipya Kiitwacho “MADA KUU”.
Ni kipindi kinachohusu mijadala moto moto kuhusu masuala mbalimbali yanayojiri...
Maisha si hadithi ya kufurahisha. Si tamthilia ya kihisia unayoweza kufurahia kwa mbali huku ukiamini kuwa mambo mazuri yatakujia bila jitihada. Kila kijana wa kiume anapaswa kukabiliana na ukweli...
Wakuu lazima tukubaliane kuwa maisha yamebadilika sana kuanzia vijijini hadi mijini. Na mabadiliko yametokea ghafla. Ujio wa bodaboda na mabadiliko makubwa ya teknolojia kama uwepo wa mitandao ya...
Wakati unafurahia mke wako kuacha familia yake kuja kuishi na wewe, Ulisahau kwamba ana uwezo wa kukuacha hata na wewe.
Ulileta hisia zako na mkeo akaleta hisia zake mkapendana na kuamua kuishi...
Poleni na majukumu wakuu.
Jana usiku usingizi uliwahi kukata nikajikuta nimeamka saa 7 usiku nikatulia na kutafakari mawili matatu ilivyo fika saa 9 usiku nikaanza kupata usingizi.
sasa ndoto...
Kuna mtoto wa dada yangu kapata hayo matokeo FORM 4
Hataki kusikia habari za form 6, anataka kuanza safari yake ya kusomea taaluma mapema, hivyo kaamua aende chuo
Shida inakuja anapenda taaluma...
Natafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake.
Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake.
Kama ni elimu zote...
Jamani, yaani huku Buza Tangu usiku Saa Kumi umeme unakata, sekunde unarejea sekunde unakata.
Hivi nyie Tanesco, kama mnakata umeme, si mkate tu ijulikane??? Mambo ya kukata umeme dakika moja...
Pentekoste imechanganyikiwa,wala haijui ikitakacho.
ile injili iliokuwa ikihubiriwa imegeuzwa ufisadi.
Hali ya pentekoste ni mbaya kwa sasa kuzidi Roman.
imekuwa na kanisa la watafuta miujiza na...
Na huu ni ukaguzi wangu binafsi kutokana na eneo nililopo. Hapa nitatoa kitu kinajulikana km customer feedback.
Awali ya yote mimi ninatumia mitandao yote ya simu yaan Airtel, Yas zamani...
Nimekuwa nikiitafakari sana hii adhabu ya viboko mashuleni kila ninapoona taarifa ya mwanafunzi kuumizwa na mwalimu kichukuliwa hatua kwa kumuumiza mwanafunzi
Ni wazi kwamba kuna wagonjwa wengi...
1.Ukifanya harusi bila kuchangisha mtu kosa rafiki zako watakasirika na wengine hawatakuja hata kama umeamua kugharamia mwenyewe kila kitu.
2.Watu wanachanga harusi budget kubwa inakuwa kwenye...
Maeneo ambayo mafuta na kiasi chake hukaa kwenye ndege
Visiwa viwili vilivyo karibu sana, vikitenganishwa na kilomita 5 tu za bahari, na wakati wa msimu wa baridi, unaweza kutembea kupitia maji...
Wanawake wengi hatupendo kuongelea hili, kwa kuogopa na kuonwa wahuni. Leo naomba tujimwage hapa, Je, wewe ulibeba mimba ya kwanza ukiwa na umri gani?
Sijasema ulizaa na umri gani, ulibeba mimba...
Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo.
Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza...
Wakuu,
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu Watanzania 36 kulipa faini ya shilingi 30,000 kila mmoja au kutumikia kifungo cha miezi mitatu jela kwa kosa la kuondoka nchini Tanzania...
Tanzania njoo na akili yako tu pesa utazikuta nchini huu ni msemo wa wageni.
Baada ya kampuni ya ponzi pyramid kuwapiga Watanzania wamekuja kivingine wanajiita DBA, imeanza tarehe 7/3/2025 kwa...
Wiki iliyopita nilienda kwenye nyumba moja Mikocheni baada ya kusoma kibao nje, hicho kibao nakifahamu maana mwenye kampuni hiyo zamani nilishafanya nae biashara. Nilipiga honi mlinzi akafungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.