Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa amempa mkandarasi anayejenga jengo la TAMISEMI katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma miezi...
Naomba niaze na maswali chokozi haya yafuatayo kabla ya kwenda kwenye hoja yangu;
1. Hivi mtu anaweza akafoji mzazi, mtoto, mwenza, mkwe nk
2. Ikiwa ni kweli mtu anaweza akafoji hao watu, je...
Wadau kwa ujumla wenu nyote habari zenu ??
nilitamani kujua utaratibu wa kuchangia figo upoje...
(naomba mnijuze)
Una madhara kwa mchangiaji ?
Nahitaji kujua as nikijua au nikipata Elimu juu ya...
"""Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo...
Mpiga picha wa AyoTV Kanda ya Ziwa Nellyson Grigery (alievaa shati la kijani) kafariki katika ajali ya gari iliyotokea Kibaha safarini Mwanza kuja Dar. Mwingine aliyefariki ni Mujitaba Yusuf...
Kama ni mishumaa nimeshawasha sana ili nione kama Shetani atakuja lakini wapi. Kama ni chanting nimeshafanya ili nithibitishe kama Lucifer ama Shetani yupo bado niliambulia patupu.
Nimethibitisha...
Don't Put All your hopes in One Basket, Heri nusu shari kuliko shari kamili
Unakutana na kijana fresh outta chuo / college ana degree yake akiwa na mategemeo makubwa sanaaa !!
huko vyuoni...
Tanzania ya Samia inazidi kung'ara na kung'ara kiasi kwamba wale haters wake hawajui waanzie wapi au wamalizie wapi kutunga uzushi .
My Take
Huyu ndio Rais Samia anaweka rekodi na kuzivunja...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, katika ufunguzi wa Mkutano wa 62 wa Bodi ya Kimataifa ya...
Tunaombeni hizo mbinu wakuu Hali ni Tete nilichukua mkopo wa Bayport baada ya huu mfumo wa ESS kuja saivi imekuwa ngumu kuuza deni
Mnatumia mbinu gani jamani.
Balance ya mkopo ni 1,800,000 na...
Miaka hio ya 2000s hadi 2010s
Zilikuwa shule flani za kishua na ndoto ya kila mtoto kwenda
Kuna wakati walisema ni za yule mama Lwakatare
Sijui zimeishia wapi siku hizi?
Ukiacha Mo extra ni bidhaa gani inafanya vizuri sokoni kwa sasa? Baada ya hali kuwa ngumu ameamua kuwa wakala wa....
1. Boxer, bajaji
2. Betri
3. Nyembe za Dorcco.
Kinachosikitisha zaidi huenda...
Naifikiria sana hii kitu pale mtu anapoachwa wiki nzima hajazikwa, huwa inakuwaga huzuni mara mbili kwa wafiwa.
Solution ya hii kitu nimegundua ni mtu kuzikwa fasta fasta na sio kuchelewa zaidi...
Wananchi wa Mtaa wa Tegeta A katika Kata ya Goba wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wameandamana mpaka ofisi za Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Tegeta A, wakitaka ufafanuzi juu ya sababu...
Wana jamvi,
Planning a successful tour requires ushirikiano na makubaliano ili kuhakikisha kila mtu anafurahia safari. You have the freedom to organize any travel adventure, select the best...
Homa ya Mpox (Monkeypox) ni ugonjwa wa virusi unaosababishwa na virusi vya Monkeypox. Ugonjwa huu unafanana na smallpox, lakini kwa kawaida ni wa wastani na hujumuisha dalili kama vile homa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.