Siku kadhaa zimepita tokea baadhi ya viongozi mbalimbali ikiwemo wa Serikali pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM) walipotoa ahadi kwa wananchi kwamba usafiri wa Mwendokasi katika njia ya Mbagala...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema mradi wa Mabasi yaendayo Kasi unatarajia kupokea Mabasi mapya kuanzia mwezi wa Pili hadi wa Tatu mwaka 2025
Akizungumza leo Januari 2, 2025...
Kama mnakumbuka:Hiki kisa cha
Katika miaka ya 1990, kulikuwa na tukio ambapo serikali ya Tanzania ilimwaga shehena ya ngano na unga wa ngano wa mfanyabiashara maarufu, Said Salim Bakhresa, ikidai...
SIMBACHAWENE NA MKENDA WAKUTANA NA VIONGOZI WA NETO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amesema Serikali itaunda timu ya...
Wakuu
Mawaziri George Simbachawene (Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) na Prof. Adolf Mkenda (Elimu, Sayansi na Teknolojia) wamekutana na viongozi wa Chama cha Walimu...
UTANGULIZI
TAHLISO ni Jumuiya ya Wanafunzi wa elimu ya Juu (Vyuo na Vyuo Vikuu) Tanzania. Ilisajiliwa mwaka 2004 ili kuwa sehemu ya kuziunganisha serikali hizi/wanafunzi hawa kwa ajili ya...
Tufahamishwe hizi mita zinazoibwa hutumika kwa ajili nini tena?
Kama mamlaka husika hawawezi kuzilinda kwa matumizi mengine kwa nini zifungwe nje?
Mamlaka za maji wanawajibu wa kutafakari na...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Abdul Mtaka, ametoa agizo kwa taasisi zenye tabia ya kushikilia kadi za benki za watumishi wa Umma kama dhamana wanapokopa kuacha...
Septemba 10,2024 Mahakama Kuu ilitoa uamuzi wa kuwarudisha kazini Askari watatu kama taarifa ilivyojieleza kwenye mtandao wa Mahakama ujulikanao kama TanzLii (Home - TanzLII) ambapo majina ya...
Kutoana na kutoka ukoloni mpaka kuwa watawala kuna utofauti kati ya idara za usalama na ulinzi kabla na baada ya uhuru, hasa katika muktadha wa Afrika na mataifa mengine yaliyojitawala kutoka kwa...
Imepita takribani zaidi ya miaka 60 tangu uhuru, lakini maisha ya Mwafrika hayana tofauti na ya mbwa Koko, ambaye hajui ale nini au avae nini.
Ukitumia akili ya ndani, utagundua kuwa kabla ya...
NINI KILIKU- DISAPPOINT ULIPOFIKA DSM KWA MARA YA KWANZA?
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli
Huenda uligugumia kimoyomoyo na hukumwambia yeyote. Ulijakaza kisabuni ili mwenyeji wako asigundue...
Wavulana wana balehe miaka 14 na kuendelea japo mikoa ya Pwani hasa Tanga, Dar es salaam, Pwani, Mtwara na Lindi wananza ngono kabla ya baalehe tofauti na mikoa yenye maadili na mafunzo ya...
NAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO MCHANGO WA MAWAZOYENU!
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 22! Niko chuo mwaka wa pili, nasomea ualimu wa math & physics.
Baada ya kukusanya pesa kidogo kutoka kwenye boom...
Kama hutaki njoo Niue nipo tandale huku naishi chumba Cha Giza Cha Kodi ya TSH 25,000/= ( simu zangu naachaga Kwa mangi kipindi Cha mvua maana mafuriko yakitokea huenda yakaondoka na simu zangu...
Wakuu,
Kuna hii video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii, huyo jamaa anasema wako katika hospitali maeneo ya kipawa majani ya chai.
Ambako yeye na wengine wanaumwa ugonjwa kama huo wametengwa...
Kwa Mujibu wa Uchambuzi kutoka Takwimu za Pato la Kila Mtu Kwa Kila mkoa Kwa bei za mwaka 2023,Mkoa wa Kagera na Dodoma imetajwa kama Mikoa maskini zaidi Tanzania ikishika namba 2 na namba 5...
Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani nchini (mpox), Daktari Godfrey Mtunzi Kutoka Manispaa ya Iringa Amesema Makundi ya Watu waliopo hatarini kupata Ugonjwa wa Mpox Ni Madada Poa Wazee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.