Naendelea kuwakumbusha tuu kwamba miaka 6 ya Uongozi wa Awamu ya 5 sekta ya nyumba "Rea estates" ilidorora,Kudoda na kuporomoka kwa kasi ya mwanga hadi kufikia nyumba nyingi huko Dar kuwa empty na...
Huwa najiuliza sana kwanini huyu Kiranga na wengine wengi huwa wanajitokeza kwenye uzi wowote ule unao muhusu Mungu na lengo ni kupinga uwepo wake.
Haijarishi hujamu mention dk1 ni nyingi hawa...
Kama ilivyo kawaida yangu,
Niliuliza kwanini kwenye uandikishaji wa wapiga kura watu wanarahisishiwa kwa kufuatwa kwenye vitongoji vyao na mambo yanaenda vizuri tu lakini kwenye swala la namba ya...
Emmanuel John (31), Chifu mkazi wa Kijiji cha Kilulu wilaya ya Bariadi kwenda jela miaka 20 na kuchapwa viboko 12 baada ya kupatikana na hatia ya kumiliki fisi kinyume cha sheria.
Hukumu hiyo...
Wakuu,,
Hivi ni Mashirika gani au site gani zinazotoa ofa za training za Kilimo bure kwa muda mfupi, Iwe hapa Tanzania au nje ya nchi..
Nitashukuru sana nikijulishwa ili nijaribu kuomba kulingana...
Aisee! Hii hali kwa sasa katika jiji hili pedwa ni hatari sana.
Dar es Salaam kwa sasa kuna hali ya jua na joto kali sana, kuna joto ambalo ni zaidi ya joto lenyewe. Yaani bila kitambaa mkononi...
Kwa sababu nakuwa naona kama hawajielewi vile.
Naona kwenda kanisani au msikitini ni Mambo ya kitoto kitoto.
Ndio maana siku hizi nimeamua kuwa introvert kwa sababu huwa nakuwa so much annoyed...
NTA IMESHAYEYUKA
Nilitunza nta yangu, isiweze kuyeyuka,
Niliweka kwenye jungu, isije ikaibika,
Leo ninao uchungu, inta yote meyeyuka,
Nta imeshayeyuka, japo litunza vizuri.
Imetoweka amani, nta...
Sensa ya 2022 imeendeshwa na watu mbalimbali. Kwa ngazi za chini kulikuwa na makarani, watu wa maudhui na watu wa TEHAMA. Kumetolewa vyeti vya pongezi lakini ajabu ni kwamba vyeti hivyo ni kwa...
Wakuu, hivi mtu anatoa wapi ujasiri wa kumpiga kikatili mzazi wake wa kumzaa hadi kumuua kisa imani za kishirikina?
====
Jeshi la polisi mkoani Mtwara linamshikilia Hamis Mohamed Bakari mwenye...
Wakuu,
Hii kesi inavyoenda kimyakimya kuna jambo!
====
Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo ilisikilizwa Februari 26, ambapo Tarimo alipata nafasi ya kutoa ushahidi wake na kueleza upande wake...
Taharuki imetanda katika Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma, baada ya mwanamke mmoja, ambaye jina lake halijafahamika, kukutwa akiwa uchi ndani ya ofisi za Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)...
Wizara ya Afya Tanzania ingetoa takwimu za ukweli watu wakachukua tahadhari kuliko kusema kuna watu wawili halafu watu wanaibuka kutoka sehemu mbalimbali wakiwa wanaumwa na kupika kauli hiyo.
==...
Hawa jamaa wako kimya na yanayoendelea syria angali washia na wakristo kuulia ila wako bize kutafuta hadi sisimizi alieingia gaza kutoka Israel.
Hadi leo hawajakamata hamas kwa ukatili...
Hii apps ipo playstore ni moja ya apps nzuri sana. Apps hii ni kama Insta naweza sema au tiktok ila inakupa task za kufanya na ukiweza kufanya kwa wakati wanakulipa japo kidogo. Pia ukiweza...
Wadau naomba kujuwa alipo mwandishi maarufu wa makala, na one time mhariri na mmiliki wa gazeti la JITAMBUE.
Ameandika vitabu vingi vya lugha na hadithi, na kuna wakati alikuwa na TALK SHOW pale...
Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Africa CDC), kimeitangaza Homa ya Nyani 'Mpox' kuwa Dharura ya Afya kwa Umma barani Afrika.
Kwa mujibu wa Africa CDC, kasi ya usambaaji wa...
Bongo watu wanapenda kuamini vitu vya ajabu Sana, huenda ni meneja au mfanyakazi aliyekua na shift night alimwingiza kwa lengo la kupunguza upwiru. lakutokea likatokea akaona kuliko kibarua kiote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.