Wakuu,
Ila kwenye ile video jamaa alisema wapo wengi hapo hospitali, serikali inasema watu 2!🤔🤔
Pia soma: Huu ni ugonjwa gani? Wizara ya Afya semeni kitu
=====
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU...
Habari zenu Wana JF,
Nimeishi hapa Dodoma, ingawa sio mzaliwa wa hapa nilikuwa kikazi toka mwaka 1998 hadi Sasa. Nimekuwa nikilinganisha maisha ya mikoa mwingine kama vile Mbeya, Kilimanjaro nk...
Baada ya malalamiko juu ya stand ya mabus na daladala ya nane nane mbeya sasa mamlaka zimeanza utekelezaji WA changamoto ya ubovu wa miundombinu ya stand.
Wito wangu kwa mammalaka husiku...
Katika miaka ya nyuma, blogu zilikuwa moja ya vyanzo vikubwa vya habari na burudani nchini Tanzania. Zilitoa majukwaa huru kwa waandishi, wachambuzi, na watu binafsi kueleza mawazo yao, kushiriki...
Hivi, serikali inayowajali watu inaowaongoza na kuwasimamia, kweli inakosa mbinu za kuhakikisha bidhaa muhimu kama mafuta ya kupikia inashuka bei ili kupunguza gharama za maisha? Sababu kuu ya...
Nimecheka sana kwa jinsi huyu Polisi alivyokuwa akisema kwani kasema Ukweli mtupu huku akitoa na Mifano ya Kiutani.
Nimeiona katika Mtandao wa Thread wa Mtu anayejiita Balozi wa Watu.
Umewahi kujiuliza kwanini wachawi huwa wanachota mchanga mahali zilipokanyaga nyayo za mtu?
Ndugu mpendwa , miguu yako ina maana kubwa Sana na umuhimu wa kipekee katika ulimwengu wa roho . Na hii...
Sipo Hapa Kubeza,Kukashifu au Kutweza Dini Au Imani ya Mtu yeyote",
Hivyo Tafadhari Wazee wa kuita Wengine Wapinga kristo Au Makafiri Mpite Mbali Huu Uzi Hauwahusu".
Sina Shaka Na Uwepo Mungu Kwa...
Wakuu, mnamo mwezi wa 7 mwaka 2023 nilipata fursa ya kutembelea Australia na baadaye New Zealand, kwakifupi NILIKATA TAMAA.
1. Hakuna namna Tanzania tunaweza kuwafikia hata wakiamua kutusubiri...
Mimi sio mwana siasa ila nimewaza sana endapo hii kampeni Chadema walio kuja nayo kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Chadema kuelekea uchaguzi mkuu wamekuja na kampeni ya NO REFORM NO ELECTION...
Mkuu wa wilaya ya Geita Hashimu Komba akiwa ziarani katika Jimbo la Busanda Wilayani Geita Mkoani humo, amejikuta akishindwa kufikia miradi kwa wakati baada ya Msafara wake kukwama njiani kutokana...
Jeshi la Polisi Mkoa watu Arusha limesema kuwa tarehe 13, machi,2025 muda wa saa 12:30 asubuhi huko katika maeneo ya mtaa wa njiro ndogo kata ya sokoni one katika halimashauri ya jiji la Arusha...
Nikiwa nimemaliza chuo sina hili wala lile, niko kitaa nikijipanga, nikachangiwa na ndugu zangu mtaji wa milion 4 point something huko, niende nikafanye biashara ya mchele toka Moro vijijini...
Watu wengi wamekuwa na marafiki wanaowaeleza Siri mbalimbali.
Siri hizo huweza kuwa za kimahusiano, kikazi na Mambo kama hayo.
Je uliwahi mueleza mtu Siri yako na ukaikuta kwa mtu mwingine kama...
Arusha imepeleka hofu kubwa sana huko Kwa Nyang'au
https://x.com/TanzaniaInvest/status/1899698791881560153?t=aAHHBVNpux-VQpf0p82tVw&s=19
My Take
Vita ya Kenya vs Tanzania inazidi kushika Kasi...
Namaanisha speakers za mdundo mzuri na radio selector yake zinaweza kunigharimu bei gani wakuu.
Ambavyo ukifungulia muziki watu wa kitaa wanaweza kuenjoy muziki mzuri
Katika utekelezaji wa majukumu yake ya Kikatiba na Sheria, Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ukiongozwa na Kamishna Mhe. Nyanda Shuli umetembelea kiwanda cha KEDS TANZANIA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.