Wakati anakanidhi Ofisi Kwa Mteule Mpya,Efraim Mafuru amesema Mda wowote kutoka Sasa , Serikali ya Mama itaanza ujenzi wa Ukumbi Mkubwa wa Mikutano ya Kimataifa Maarufu kama Mount Kilimanjaro...
"Maisha yamekuwa magumu hadi ukienda kanisani kipindi cha maombi unalia na kuomba kwa uchungu watu wanafikiri umezama kwenye maombi kumbe ni uchungu wa maisha magumu."
Nimeikuta habari hii mtandaoni
Kwenye Facebook
Ajabu watu wakaanza mahesabu...mara Dar Mbeya masaa 2...mwingine Dar Arusha masaa 3 nk
Mbona tunatamani vya watu hali tuna vya kwetu...Fisi wetu na...
Wakati Africa tumeaminishwa kuwa nyoka ni shetani Wazungu na waarabu wao wanamfuga nakuchezanaye kama mtoto mchanga.
Shirika la dawa duniani Yani mahospitalini wanatumia alama ya nyoka kama...
Nyoka ni alama ya Tiba na Uponyaji ndo maana taasisi nyingi za Tiba hutumia nemboya Nyoka. Hata Shirika la Afya Duniani WHO linaumia nembo ya nyoka, waganga wa jadi wanafuga nyoka wa kutosha, hata...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano kupitia ofisi ya Rais- Utumishi ilianzisha mfumo wa ESS ambao umerahisisha shughuli nyingi za kiutumishi, moja ya suala lililorahisishwa ni ushughulikiwaji wa...
Wizara ya Afya Tanzania ingetoa takwimu za ukweli watu wakachukua tahadhari kuliko kusema kuna watu wawili halafu watu wanaibuka kutoka sehemu mbalimbali wakiwa wanaumwa na kupika kauli hiyo.
==...
Nimekuwa nikifanya biashara kwa miaka sasa , Nina deal tu na mchele nauzia hapo zambia, nadeal na kiazi mviringo kinaenda hapo Kenya , na deal na biashara zangu tu za usifirishaji .
Moja ya jambo...
Ndugu wanajamii, nataka kuwashauri tuungane pamoja katika adventure ya kupanda mlima Kilimanjaro! Gharama ya safari hii ni Shilingi 700,000 kwa kila mtu, na itafanyika mwezi wa sita.
Tutatumia...
Kwa ma senior wa science wa hapa Jf.
Mimi ni mfuga kuku mzuri tu na nimzoefu lakini sijawahi kuona kuku anakojoa!!
Nasemea kuku kwa sababu ndo ndege nilioanza kuwafuga tangu utotoni mwangu...
Ndiyo, Waafrika wana uwezo wa kufanikiwa kwa kiwango sawa na watu wa makabila yoyote duniani, ikiwa ni pamoja na Wachina. Akili na uwezo wa binadamu haujalimwa na rangi ya ngozi, asili, au eneo la...
Nilicho kuja kugundua watu hawafungi kweli wana funga kufwata mkumbo mtu anafunga anawaza ramadhani iishe anasema kabisa iddi mosi naenda kusex mbaya zaidi anatongoza uku akiwa kwenye mfungo
Hii...
Wananchi wa Mtaa wa Tegeta "A" katika Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, wamejitokeza kwa wingi na kuelekea ofisi za Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa huo wakipaza sauti zao kupinga ongezeko...
Ni ngumu snaa kukuta wakristo baada ya mwezi wa kwarezma Siku ya pasaka ukute Guest house zimejaa au wana mavurugu yaani huwa wanaishi kwa kutokuwa na maigizo maisha yao huwa ni miezi 12 mtu...
Wanabodi,
Kiukweli mimi ni follower mzuri wa Jukwaa la Siasa, halafu majukwaa mengine kutembelea mara moja moja.
Sasa jana, kutokana na Tanesco kutufanyia vitu vyake toka asubuhi, kwa wengine...
Yaani hii ishu ya mtu kafariki unaletewa daftari nyumbani au mtaani au unatengenezwa mkeka wa michango ya rambirambi ni wa nchini mwetu tu au pia nchi nyingine kufutana machozi kwa njia ya pesa kupo?
Ramadhani: Waislam kufunga mara mbili mwaka 2030
Kila Ramadhani huchukua siku 10 hadi 11, kwani miezi ya Hijri ni siku chache kuliko kalenda ya kawaida, ambayo ina maana kwamba kila mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.