Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kabla ya ujio wa Julian calendar 46 BC watu wa zamani walikuwa wanatumia calendar ipi? Miaka ilikuwa inahesabiwa vipi enzi za Biblia ya agano la kale? Walioishi miaka 900 ni kwa kutumia calendar...
0 Reactions
1 Replies
46 Views
Nipo Songea katika pita pita zangu nimekutana na Majina haya; Mzee Nguruwe Mzee Ngonyani Mzee Simba Mzee Tembo Mzee Nyoni Mzee Ngiri Mzee KOMBA Tausi huyu Binti wa kike Wenyeji wa Songea kama...
1 Reactions
14 Replies
272 Views
Ogopeni sana watu wanaojitangaza hasa mitandaoni kwamba wamefanikiwa kwenye hili ama lile.. Wale ambao hujitangaza kwa kujifanya ni 'motivational speakers' Wakijifanya kuwatia moto wengine...
13 Reactions
25 Replies
471 Views
  • Redirect
1 Reactions
Replies
Views
  • Closed
Kama kuna jambo ambalo wakristo wengi wanadanganywa na kuibiwa basi ni kwenye kitu kinaitwa Sadaka. Kila ujanja ujanja wa viongozi wa kikristo kutaka kuwatapeli waumini pesa na mali zao basi...
21 Reactions
67 Replies
1K Views
Habari za ijumaa wanajamiiforums? Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili? Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu. Hakuna...
44 Reactions
431 Replies
7K Views
Enzi zetu wakati tunasoma, kwenda shule ilikuwa ni kwa lengo la kujua kusoma na kuandika tuu. Baada ya hapo ilikuwa ni optional kwako either urudi nyumbani ukaendelee na michakato mingine ya...
8 Reactions
19 Replies
371 Views
CHANZO CHA LAANA YA WATU WA UKOO WENU KUFA MAPEMA KABLA YA UZEE. UKOO WENU KUKOSA WAZEE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna baadhi ya familia au koo ni Jambo la kawaida watu Kufa kabla ya...
6 Reactions
8 Replies
283 Views
Baadhi najua wanafahamu kisonono ninini... Huu ni ugonjwa wa zinaa unaoathiri sehemu za siri.. Ni dugu moja na kaswende na gono.. Ni magonjwa ya aibu na baadhi hujitibia kwa siri.. UTI ni gono...
6 Reactions
62 Replies
682 Views
1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate 2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
11 Reactions
226 Replies
2K Views
Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama alitaka Baraza la watumishi wa Wizara ya Afya na Taasisi zake mijadala yao ilenge kuleta tija na ufanisi ili kuendelea kuinua sekta ya afya nchini. Waziri wa...
0 Reactions
2 Replies
76 Views
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa CCM Mkoa wa Morogoro, Kuhani Zangina S Zangina, kipindi cha Uandikishaji Wananchi katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura 2025 alitembelea maeneo mbalimbali ya...
0 Reactions
1 Replies
85 Views
Dini zimekuwa zikitumia kifo kama dhana ya kutisha toka na ujinga na ujanja ujanja wa kutaka kuwatisha ili kuwatawala na kuwaibia waumini. Mara utaingia motoni, mara peponi. Nani amewahi kwenda...
4 Reactions
13 Replies
181 Views
Katika bara zima la Afrika, vijana sio tu wamekuwa washiriki, bali ni sehemu muhimu ya kuongeza kasi ya mageuzi ya bara hilo. Kwa mujibu wa Umoja wa Afrika na Benki ya Maendeleo ya Afrika, bara...
0 Reactions
1 Replies
43 Views
Ubunifu kama huu wenye tija Ungelisaidia sana taifa kwenye kipato ajira na mazingira
14 Reactions
79 Replies
1K Views
Leo nimekuja kuipa Kongole Hospitali ya Rufaa kanda ya ziwa Bugando hususani kwenye idara ya kijamii na huduma nje ya mfumo wa matibabu, Hapa nazungumzia Huduma rafiki, safi, salama na nafuu ya...
0 Reactions
1 Replies
211 Views
Ndugu wana JF, Kwa muda mrefu kumekuwa na masuala mbalimbali yahusuyo kujilipua (kwenda nje ya nchi) ambayo watu wanauliza mmoja mmoja kwa lemgo la kutaka msaada na ushauri namna ya kufika na...
139 Reactions
4K Replies
613K Views
Wakubwa shikamooni, Mdogo wenu hapa JF ninaomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya Taifa la New zealand, utaratibu wao wa viza, kama kuna changamoto za uingiaji na kama kuna mianya ya kuitumia ili...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu wangu mambo yamekuwa magumu sana nami naamua kuachika, Mpaka sasa nimesha jenga nina biashara lakin imedorora sana, mpaka nimeifunga, Nimeamua kwamba sasa hii 5,600,000 niliyonayo niende...
8 Reactions
86 Replies
19K Views
Back
Top Bottom