Kuna watu wana elimu ya juu kabisa, wana PhD, lakini ni wapumbavu wa kutupwa. Hebu leo tuangalie baadhi yao:
Richard Dawkins (PhD in Biology). Huyu ameshinda tuzo nyingi kwa kazi zake za sayansi...
Nimekutana na scenarios tatu za namna hii kwenye mikoa tofauti.
Mara nyingi inatokeo Ile mida mibovu yaani saa7 usiku kuendelea watu washachangamka, nashindwa kuelewa Nini Huwa inapelekea hii...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limesema linamshikilia kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani humo Swahibu Juma Mwanyoka kutokana na tuhuma zilizoripotiwa.
Katika taarifa iliyotolewa na...
Habari,
Nia aibu kuona leo hii Waafrika wanawakana MABABU /MABIBI zao kwa kigezo cha yesu wa biblia na muhamad wa biblia wakati walioanzisha biblia na quruan bado wanaenzi tamaduni zao kwa...
Kila mtu huwa ana imani yake
Kila mtu ana mbinu zake za kutatua matatizo yake.
Wapo ambao wakipata shida kidogo tu ni kwa babu sangoma wanakimbilia.
Tujuzane, vipi gharama huko? Shida...
Serikali ijikite kuangalia na kuchukua hatua kwa kituo cha mkata kwenye suala la Afya .Juzi wakati nasafiri kutokea Tanga tulisimama hapo kupata Chakula nilichukua takeaway wakati nipo kwenye gari...
Polisi huko Lang'ata, Kenya wanachunguza tukio ambalo Faith Momanyi, binti mwenye umri wa miaka 19 aliyemaliza kidato cha 4, alifariki kwa kutatanisha nyumbani kwa mpenzi wake baada ya...
Hali ya gumzo imetanda kwa baadhi ya Wananchi wa Manispaa ya Songea mjini Mkoani Ruvuma baada ya Mwanamke mmoja katika Ofisi za Shirika la Umeme TANESCO Mkoani humo akiwa hana nguo huku baadhi ya...
TOFAUTI KATI YA DINI NA WOKOVU
Watu wengi wamefungwa na dini wakiamini kuwa ndio njia ya kufika mbinguni, lakini hawajagundua kuwa dini na wokovu ni vitu viwili tofauti. Yesu alipokuwa duniani...
Sisi baadhi ya walimu wa wilaya ya Busega ambao tuko 153,mnamo mwezi wa 7/2024 tulimwandikia mkurugenzi wetu ndugu Marco Kachoma barua ya kutuondoa chama Cha walimu CWT na kutuhamimishia chama...
JOHN ROBERT MAITLAND DHIDI YA JAMHURI
Mshtakiwa alishtakiwa kwa kosa la kuingia na kuwepo kinyume cha sheria ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mahakama ya Wilaya Bukoba, Kavera...
Habari
TANESCO boresheni maslahi ya vibarua shinyanga mjini kwa maana wanateseka na kupitia changamoto ngumu sana kwa sasa ni miezi miwili huu wa tatu hawajalipwa wengi wao huacha kazi kwa...
Oilcom’s arbitral tribunal support
The story about the claim opposing Oilcom and Oryx is putting light on an unknown process in Tanzania, the Arbitration Tribunal. As spotted by legal expert...
Tanzania inadaiwa kudondokea pua katika mwendelezo wa kesi zinazoikabili ambapo sasa itatakiwa kuilipa Kampuni ya Montero zaidi ya Tsh. Bilioni 71 kama fidia kwa kukiuka masharti ya mkataba...
Isingekua kwa huyu mwamba wazungu wangesilimishwa kwa mapanga, leo bara Uropa lingekua la hovyo limevurugwa kama ilivyo Mashariki ya kati na maeneo mengine yenye hii dini.
Hii ilikua enzi ambapo...
Kwa muda mrefu, shule binafsi za msingi zimekuwa na utaratibu wa kupitiliza muda wa masomo kwa madarasa ya mitihani, kiasi cha kuwafanya watoto wakae darasani kwa saa nyingi kupita uwezo wa...
Mimi ni tenderer kwenye mfumo wa NEST ambao mwanzoni ulikua mzuri kabisa.
Na kama kijana nilihamasika kucomply ili niweze kuwa naomba kazi za Serikali. Ni fani ya Ushauri Mazingira. Lakini kwa...
Sasa unaingia mkoa wa Mara!Utakutana na maandishi yakiwa kwenye hiki kibao mara tu unapoiacha Simiyu na kuingia mkoa wa Mara.Jina la mkoa halijulikani sana ukilinganisha na jina la makao makuu ya...
kitabu hiki kinaeleza mambo yafuatayo
1. Ni jinsi gani masikini wanaweza kuukimbia umasikini kwa kuchukua hatua madhubuti .
2. Kinafundisha nidhamu na kanuni za pesa kiundani.
3. Kinafundisha...
Mnamo mwaka 2019, Marehemu Rais Magufuli na na Rais wa Namibia, Geingob walikubaliana kuanzisha lugha ya Kiswahili katika shule za Namibia.
Mwezi huu, Wizara ya Elimu nchini Namibia ilitangaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.