1. Unazini mwaka mzima ukija Mwezi huu ulivyokuwa mrahibu wa ngono unaharalisha ufuska wako kwa kuoa single maza ambaye unaachana nae miezi mitatu baadae (ungefunga ngono badala ya chakula...
Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!!
Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie.
Picha...
Walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega wameamua kugeukia Mahakama ili kudai haki yao baada ya Mkurugenzi wao, Ndugu Maiko Kachoma, kukaidi matakwa ya sheria na kupuuza maombi yao. Walimu hao...
Wajumbe habari ya leo
Nakitafuta sana hii series inayoitwa ROOTS maarufu KUNTA KINTE
Library za movies nilizotembelea haipo na hata mtandaoni Kuna vipande vidogo vidogo sana.
Naomba kujua wapi...
Ukienda kutazama tovuti za Baadhi ya wilaya nchini Tanzania utakuta taarifa za mwaka 2022, jambo ambalo linakatisha tamaa na kutoa taswira mbaya kwa halimashauru husika inawezekanaje mwaka 2025...
Juzi nilimsikia mheshimiwa rais mama samia suluhu hassan akisema vigogo waliopo serikalini kama Wana Nia ya kugombea nafasi yoyote basi waseme mapema ili mama atafute watu wengine wakujaza nafasi...
NUKUU KUTOKA KWA WATU WENYE HEKIMA
1. “Gereza kuu ambalo watu wanaishi ndani yake ni hofu ya kile ambacho wengine wanafikiria.”
— David Icke
2. “Jihadharini na wale wanaoomba msamaha haraka...
Habari Ndugu Zangu, Kwanza Nianze Kwa Kuwashukuru Wote Mlionipatia Ushauri Wakati Napitia Hali Ngumu, Hakika Jamii Forums Kuna Watu Wema Sana. MUNGU Awabariki 🙏
Uamuzi Niliouchukua Ni Kwenda...
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire, amesema kuwa hali ya maji katika Mto Ruvu ni ya kutosha, hivyo wakazi wa Mkoa...
Wahaya wa Tanzania, wanaoishi karibu na Ziwa Victoria, walianzisha mchakato wa hali ya juu wa kutengeneza chuma zaidi ya miaka 2,000 iliyopita, muda mrefu kabla ya mbinu kama hizo kutokea Ulaya...
Ukame umezidi, kila kitu kimekauka.
Leo kidogo kuna "manyunyu", siyo mvua kubwa.
Kwako kukoje?
1. Tanga...Manyunu kidogo. Kumepoa angalau.
2. Dar... imepiga kiasi kidogo...angalau
Share intaneti kwa kutumia Bluetooth
Umeshawahi kutumia intaneti kwa mfumo wa Bluetooth kupitia simu yako ? Najua wengi tunaotumia simu kwenye mambo mengi tu ila wengi hatujui tunaweza share...
Wakuu,
Majuzi TMA walitabiri mvua kubwa kuanza kunyesha kwa baadhi ya mikoa, athari zikisemwa kuwa za kawaida.
Tumeona mvua imeanza kunyesha, hali ikoje huko ulipo? Miundombinu iko salama?
Pia...
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Khamis Hamza Khamis ametoa wito kwa jamii kuendelea na jitihada za utunzaji wa mazingira kwa kupanda miti ili kuhakikisha idadi ya miti...
Mimi napenda tu kuwashauri hawa mafundi wenzangu waliopo SIDO na karakana nyingi katika nchi yetu!
Kama kuna mamlaka za kuwasaidia kuwaelemisha basi waelimishwe katika eneo la biashara!
Bei zao...
Kiwanda cha Kuzalisha Umeme kwa Taka (Waste-to-Energy Plant) ni mtambo au mfumo wa viwanda unaotumia taka ngumu (kama vile plastiki, karatasi, mabaki ya chakula, na taka nyingine zisizoweza...
Wakuu
Katibu Tawala Mkoa wa Mara, Gerald Kusaya amewataka wananchi wa mkoa huo kutumia mikopo inayotolewa na Serikali kwa manufaa na kuirejesha kwa wakati ili iweze kuwanufaisha wengine wenye...
Hakuna kitu cha kijinga na cha kishamba kama tabia ya kurithi adui au maadui wa mtu ,,, unakuta mtu anavuta taswira ya ubaya wa mtu au wa watu kwa kusimuliwa tu wakati hajawai hata kuwatia...
Mkuu wa idara ya Afya,Lishe na Ustawi Halmashauri ya Wilaya ya Meru Dkt. Evarist Chiweka ameongoza kikao kazi cha Waganga wafawidhi na waratibu wa Afya ngazi ya Halmashauri kujadili Taarifa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.