KAMA KIJANA MDOGO ANGEKUJA KUNIULIZA KUWA; NI MHUSIKA GÀNI KWÈÑYE BIBLIA AWE ROLE MODEL WAKE. MIMI NINGEMCHAGULIA MHUSIKA HUYU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Leo sitaki kugombana na Mtu...
Juhudu kubwa zimekuwa zikifanywa na mataifa ya magharibi kuhakikisha idadi ya waAfrika weusi inabaki kuwa minority na hivyo oppressed zaidi duniani. Hili limefanyika kwa kusambaza magonjwa ya kuua...
Ni hivi , Baba Mkubwa wangu alikuwa na mke na akapata naye watoto ,mwishowe akamfukuza huyo mwanamke .
Lakini kutokana yule mwanamke alipendwa sana na Bibi yangu ( Mama yake Baba mkubwa )...
Nimewahi kuwa muumini wa dini fulani kubwa ulimwenguni. Nilisoma kidogo basic ya dini ile.
Ile dini lengo lao ni moja tu, nalo ni kupata pepo ya Mwenyezi Mungu. Baadaye nikapata Neema ya kuwa...
Mimi niliwahi kuitwa mahali na mtu nikaenda hiyo sehemu nikakutana na marafiki zake, sasa huyo mmoja niliwahi kudate nae aisee hii aibu ilikuwa kubwa sana na huyu jamaa niliekuwa nae akawa...
Kwa sasa Mwanza kuna tabia ya asilimia kubwa ya Daladala kutofika katika ‘ruti’ zao husika walizopangiwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) hasa zile zinazotoka Nyashishi kwenda...
Ujumbe huu uwafikie LATRA Pwani na Dar es Salaam nakala kwa wadau wote Serikali, Wasafiri, Wamiliki na UWAMADAR
Kwa ,uda mrefu sasa kumekuwa na Tabia ya Daladala zinazokwenda nje ya Dar es Salaam...
Habari wana JF
Mwenzenu nna kitu leo natamani ku share na nyie wakuu mwenye mwanga au wazo juu ya hili nigependa kupata wazo ama ushauri.
Mi natamani sana sana na ni ndoto yangu kubwa sana...
Heshima kwenu nyote wana jamii forum. Nimekuwa nikifuatilia matakwa na makusudio ya rais Trump toka aingie madarakani, matamanio yake yamekuwa yakiniachia maswali ya kujiuliza pamoja na kwamba...
Najiuliza itawezekana kweli iwe zipo tu kwa ajili ya kutuhangaisha sisi waogopa radi?!!! Kwamba inajisikia Raha tu kutuona tukikimbilia vunguni mwa vitanda Kila zinapopiga?!!
Hapana, lazima...
Katika kila kijiji, mitaa na miji ya Tanzania, kuna kilio kinachoumiza mioyo ya wengi, lakini hakuna anayekisikia. Ni kilio cha wazazi waliokatishwa tamaa, wakiona vijana wao wakiteketea katika...
Kwa Miaka Ya Hivi Karibuni Kumeibuka Wimbi Kubwa La Wamiliki kuchapisha Picha Au Video Za Wateja Wao Katika Mitandao ya Kijamii Hali Ambayo Kwa Namna Moja Sio Nzuri Kwa Baadhi Ya Wateja.
Unaweza...
Sheria hii ni wazi imelenga kumfanya mwajiriwa kuwa mtumwa wa ajira hadi atakapozeeka.Mwajiriwa anapolazimika kusubiri hadi miaka 55 ili achukue mafao yake,ni mateso na yanaleta uchungu...
Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Rukia Said akikadiliwa kuwa na umri wa miaka 25-30 amekutwa na umauti ndani ya basi la abiria akisafirishwa kutoka Kilwa Pande kuelekea Hospitali ya Rufaa mkoani...
Hellow JF.
Leo nimeamua kukusogezea hili, Ivi sasa familia nyingi sana zimekuwa zikipitia mazingira magumu sana ya kuhangaika,kuteseka,masimango,mates na Madhira mengi saana. Wengi wanaishia...
Karibu na mazingira ya Shule ya Secondary Joketi Mwegero iliyoko Halmashauri ya wilaya ya kisarawe, mkoa wa pwani, hakuna Benk wala wakala wa CRDB kiasi kwamba wazazi tunakosa njia rahisi naya...
Hesabu ya Jumla ya Usajili kutoka T100AAA hadi T999EKZ
Tutahesabu jumla ya magari yaliyoandikishwa kutoka T100AAA hadi T999EKZ kwa kuchanganua mfuatano wa herufi na namba.
Hatua ya 1: Kuamua...
Mpango wa Tanzania kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya umeibua mjadala mzito. Wapo wanaoupinga kwa hoja kwamba tunapaswa kuzalisha na kusambaza umeme wetu wenyewe bila kutegemea nje...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amewatunuku vyeti vya ujuzi wafungwa 201 wanaoendelea kutumikia vifungo vyao gerezani, waliohitimu mafunzo ya fani mbalimbali yaliyotolewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.