Niaje waugwana,
Huyu mkandarasi haijulikani alipewa tenda hii ya ujenzi BRT phase 4 kutoka Mwenge hadi Tegeta kwa sifa zipi. Toka tarehe ya ujenzi wa barabara hiyo ilipotangazwa kuanza, hadi leo...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeiomba serikali kuendelea kuboresha maslahi ya watumishi na kuwalipa stahiki zao, hususan kwa watumishi wapya, ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa...
Hawa jamaa wanaweza kukuwekea movie ya aina moja wakawa wanairudia rudia kwenye chaneli zao feki za movies.
Kila ukifungua chaneli yao ya movie unakutana na movie ulio iona jana
Wajanja sana...
Hamjambo wote!
Majukumu ya Baba yapo bayana. Ushaambiwa Ubaba ni cheo cha juu zaidi Duniani.
Na hakijawa cheo cha juu burebure, hivihivi au kirahisi. Ni kwa sababu ya majukumu makubwa aliyopewa...
Rais wa Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amenyamazisha simulizi za kukata tamaa zilizotolewa na Vijana wengi waliokosa fursa ya kujiendeleza kimasomo, kutokana na ukosefu wa Vyuo vya...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, katika ufunguzi wa Mkutano wa 62 wa Bodi ya Kimataifa ya...
Ushindani wa Tanzania ni kimaskini sana.
Yani leo usije kusikia matajiri wanatoa pesa kukusanya mawazo ili ushinde pesa ambzao wazime wazo au kulichukua wazo.
Wengi wamekuwa wakifitiniana ili...
Bado hii tabia hipo wengi wanafanya mfano wasafi fm kwa baba levo.
Haya haya tuliyaona kwenye redio ya EFM.Mfano mtu kama masanja tasnia ya habari katoa wapi?.
Mpoki naye nilishawai kumsikia...
Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu?
Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata...
MAKUSANYO ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Shinyanga yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha ulioanza Julai 2024/ 2025 ni Shilingi Bilioni...
MSAADA wapendwa niliandika January mara mbili
NDUGU tunatesekea na ma pants YAAN usiku yanatembea kama watu
Mwanzoo TULIJUA nyoka darini YAAN wanatembea na kishindo kizitoo
Sasa hali n Tete...
Habari za kuamka mabibi na mabwana,
Popote pale ulipo ukiwa unasoma huu uzi, salamu za kheri zikufikie.
Kichwa cha uzi chahusu Chimbuko la familia aka Family Tree. Kwenye kitabu kimojawapo cha...
Jana kuna Mdau alielezea swala la ujiio wa wachina na kuanzisha Migahawa na Car wash .
Soma pia: Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina...
Kama ambavyo niliwapa habari awali juu ya zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la wapiga kura Mkoa wa Kusini Unguja kuanzia tarehe 08/03/2025 hadi tarehe 13/03/2025; zoezi ambalo Jeshi la Polisi...
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetangaza kusitisha matumizi ya namba za utambulisho kwa wale waliokaidi kuchukua vitambulisho vyao.
Tangazo hilo linakuja ikiwa zimesalia siku 15...
Nimemsikia waziri mkuu Kassim Majaliwa Juzi akiwa Shauri vijana wenye shahada za vyuo vikuu lakini hawana ajira wajiunge na vyuo vyetu vya Veta ili kujifunza SKILLS mbali mbali.
Nimesoma pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.