Hoja za Alberto Rivera kuhusu Uhusiano Kati ya Ukatoliki na Uislamu zina fikirisha sana.
Alberto Rivera ambae alikuwa jasusi wa Vatican anasema Dini ya kiislamu ilianzishwa na Holy Sea (...
Aisee naandika huu Uzi nikiwa nimekuja kumtembelea kaka yangu hospital hapa Mbeya, aisee hii biashara sio ya kuingilia kichwa kichwa.
Huwezi amini nipo hospitali maana broo kama akili zishaanza...
Ukimwi sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa (Syndrome), na magonjwa yote hayo yanatiba kamili zinatambulika na kufahamika vyema katika ulimwengu wa kitabibu. Nani anabisha?
- Magonjwa haya...
KICHAKA CHA AKILI DUNI: KUKATAA UWEPO WA MWENYEZI MUNGU NI USHETANI
Haiwezekani dunia hii kubwa, mataifa yenye nguvu, na maajabu yasiyoelezeka viwepo halafu bado mtu adai Mungu hayupo! Hili ni...
Wahhabi ni wafuasi wa harakati ya Wahhabism, ambayo ni mtazamo wa Uislamu wa Sunni ulioanzishwa na Muhammad ibn Abd al-Wahhab mnamo karne ya 18 katika eneo la Najd, Saudi Arabia. Harakati hii...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), leo Machi 14, 2025, ameshiriki zoezi la kupandisha vifaa vya ujenzi wa Mnara wa Mawasiliano katika kijiji cha Idete...
ANGALIZO
Maelezo yaliyotolewa katika uzi huu ni kwa ajili ya kuelimisha na kutoa taarifa kwa umma na hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri wa kisheria. Sheria za umiliki wa silaha zinaweza...
Hilo nimelibaini katika pitapita zangu huko twitter.
Na kingine na maana ubunifu wa kutengeneza maudhui umeisha hadi content nyingi ziwe zina relate tu na mambo ya uasherati na uzinzi🤔
Habari wakuu, nahitaji mkopo wa haraka nina shida na kiasi fulani cha pesa, mimi nimuajiriwa mpya wa serikali ila sijatimiza mwaka hivyo kupelekea kukosa sifa ya kupata mkopo kwenye mabanki na...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Masimba upo karibu na maeneo ya Uwanja wa Ndege wa hapa Tabora, miaka kadhaa nyuma sisi wakazi wa hapa tulishuhudia mamlaka ya Uwanja wa Ndege ikipita na kuzungushia uzio...
Assume we ndo rais embu tuweke wazi ungefanyaje katika serikali yako ili rushwa zikome na uratibu kiundani bandarini.
Mimi binafsi ningetoa billion 50 kwa ajili ya camera cctv dar na pia barabara...
Wakuu
Kuna stori na mikasa ambayo haitasahaurika katika maisha yetu,
Mikasa hii inaweza kuwa
katika maisha ya upambanaji,kutafuta mali,
maisha ya mapenzi
siasa,ndoa,nk
Kuna mambo magumu magumu...
Jana niliongea na rafiki yangu akasema Zanzibar kupo poa sana, vitu bei rahisi na watu huko wana roho safi kuliko wa hapa Dar es salaam.
Sasa tuambizane, je ni kweli Dar kuna fitina sana kuliko...
Katibu wa Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Zanzibar, Khamis Mbeto Khamis, amezindua rasmi Kituo cha Mafunzo ya Amali kilichopo Mbuzini, ndani ya Jimbo la Bububu. Kituo hiki kimejengwa...
Nadhani hawa watu wanaojiita viongozi wetu aidha wana tatizo la kujieleza, au wanapenda kufanya mambo kwa kuficha ficha vitu. Sasa huyu Kafulila, ambaye siku hizi amejifanya msemaji wa serikali au...
Kila mtu ana tabia ambayo hata yeye mwenyewe haipendi lakini anajikuta anaitenda wakati mwingine bila hata kupenda.
Kwa upande wangu mimi nina hasira kali mno, yani mtu akinikwaza natamani...
Wakuu
Ajali mbaya imetokea asubuhi ya leo katika eneo la Mombasa, Ukonga, ambapo lori la mkaa kama unavyoona kwenye picha limegonga gari dogo aina ya IST kwa nyuma.
Dereva wa gari aina ya IST...
Muziki wa injili umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa Tanzania kwa miongo kadhaa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakilinganisha nyimbo za injili za zamani na za sasa, huku wakidai kuwa nyimbo za...
Kwanza Sina Shaka Na Uwezo wa kiakili na kiubunifu Wa CEO Wa EFM Majizzo Jamaa ni Kichwa",
Mikakati Na Mipango Kazi wake Wa Mwanzo Ulileta Mapinduzi Makubwa Kwenye MEDIA INDUSTRY Hasa Ile ya...
Mheshimiwa Waziri,
Sisi, walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, tunakuandikia kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu vitendo vya ukaidi na unyanyasaji tunavyopata kutoka kwa Mkurugenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.