Salaam, Shalom!!
Akifundisha katika semina jijini Mbeya Jana tarehe 26 January,Mwalimu Christopher Mwakasege amerudia kauli aliyowahi kuitoa kabla.
Amesema, asubuhi, walipokuwa katika bible...
Huyu mpwa wangu tangu akiwa tumboni mimi ndo nilikuwa nimebeba majukumu ya sista (mtoto wa ma mkubwa) kumlea na kila kitu. Yaani hadi anafika umri huu kila kitu kinachohusiana na mahitaji yake...
Kiongozi wa jamii ya Somalia iliopo USA, Abdihakim Osman anadai Ilhan Omar alikiri Ilhan kuolewa na kaka yake, Ahmed Elmi, ili kupata nafasi ya kuendelea kuishi Marekani.
Osman: "Alisema...
Heshima zenu Wakuu! Nawaletea habari ya kweli, kweli kabisa, maana mimi nauchukia uongo kama ukoma! Nimeokota mapesa. Sasa usiniulize ni dola ngapi, usije ukashawishika kunifuata uninyang’anye...
Moja Kwa moja kwenye mada.
Mkuu wee ni MTU mzima Mwenye familia na watoto kama Mimi pengine umenizidi umri au nimekuzidi umri.
Umenipigia simu asubuhi ya Jana tumepanga fresh sana mipango na...
Unajua kwamba ukifa, the moment watu wamemaliza tu kukufukia(kuzikwa) dakika chache sana mbele vilio vyote vitanyamaza na watu wataacha kulia, tena wengine watakuwa wanacheka na kupiga story za...
Mimi nafikiri hawa jamaa waliamua tu kucheza na bonge la fursa lilionekana ndani yetu
Tabu, Wasi Wasi, Ulimbukeni wa imani, Ushirikina.
And they are very rich, na wamehakikisha hawatoki kapa kwa...
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili...
Naomba TAMISEMI iangalie posho za kujikimu Kada ya Ualimu Mwaka 2019 Makete hatukupewa fedha hizo. Kila tukiuliza tunaambiwa Serikali bado haijaleta fedha hizo ilihali wilaya nyingine walilipwa...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Mandeleo ya Makazi, Mhandisi Anthony Sanga kuunda kamati mara moja kwa ajili...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Mandeleo ya Makazi, Mhanidis Anthony Sanga kuunda kamati mara moja kwa...
Habari!
Kuna demu wangu tangu nianze nae uhusiano uke wake ni mkavu sana kwenye tendo, licha ya romance na mautundu yote ila bado ni pakavu tu hali inayosababisha angalia sana na machozi na...
KUHUSU UTAKATIFU WA ENEO LA MASHARIKI YA KATI.
Na
MUMBE MOMBEE
Singida, Tz.
+255 759770233
Feb. 5, 2024.
Duniani kuna maeneo makuu kumi na mbili(12) ambayo yana Nguvu maalumu ambayo hata...
Si vibaya tukapeana mrejeshi ili kutoa hamasa mwa watu wengine, vijana na wenye mwelekeo wa kujikomboa kiuchumi.
Miaka 10 hadi 15 iliyopita na pengine zaidi nikiwa Chuoni kulizuka utaratibu wa...
Wanabodi,
Japo Tanzania tuna makampuni mengi, na hakujawahi kufanyika survey yoyote ya mashindano ya makampuni kuwapenda Watanzania, kungefanyika mashindano hayo, kuna uwezekano kampuni ya mafuta...
Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Kemirembe Lwota, pamoja na Mnec, Mwita Gachuma, wamejeruhiwa baada ya Gari waliyokuwa wamepanda wakielekea Kumpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Steven Wasira, Eneo...