Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Redirect
#HABARI Rais wa Marekani Donlad Trump ametangaza kuwa Marekani imedhamiria kununua na kumiliki Ukanda wa Gaza na kuhamisha Wapalestina milioni mbili wanaoishi huko, licha ya pendekezo hilo...
0 Reactions
Replies
Views
Anonymous
Kituo cha afya mji wa Tunduma marufu kama Serikalini wanatoza fedha ya kumuona daktari, vipimo pamoja na kuuza dawa kwa wagonjwa wachanga wa chini ya miaka mitano Serikali iingilie kati suala...
1 Reactions
0 Replies
64 Views
Watanzania wengi sana huwa wanashangaa mtu akikataa ajira hata kama kwao pesa zipo, hii ni mentality ya uoga wa maisha, Yani uwe na baba mfanyabiashara aliefanikiwa, connections kama zote...
7 Reactions
30 Replies
899 Views
Habari za wakati huu wakuu!. Aisee hatimae na mimi nimefikiwa. Walikuja jamaa watatu kwenye biashara yangu ya huduma za kifedha(uwakala) kwaajili ya kupata huduma. Wawili walikua wanaweka fedha...
31 Reactions
243 Replies
8K Views
Ukweli mchungu kwa mazingira ya Tanzania elimu haina maana yeyote. Watu waliosoma vizuri uko nyuma asilimia kubwa wapo nje ya nchi wanafanyakazi na kulipwa vizuri Waliobaki Tanzania wengi ndo...
8 Reactions
25 Replies
849 Views
Anonymous
Wanafunzi hao wameshindwa kusaini malipo ya ada kwenye mfumo kutokana na changamoto za mfumo wenyewe, jambo hili linawafanya washindwe kufanya mitihani yao ya muhula huu ambayo inaelekea kuanza...
0 Reactions
0 Replies
247 Views
Mpo Salama! 1. Waalimu kulipwa mishahara Duni Unapopeleka mtoto English Medium au shule yoyote Jambo la Kwanza Kabisa lazima uulize mishahara ya waalimu. Wanalipwaje? Mshahara wa Mwalimu ni...
14 Reactions
57 Replies
2K Views
Wakuu salam, Sijui kwa maeneo mengine ila huku mitaa ya Mbezi Beach kwa Zena kuna maboresho ya mfumo ya maji taka ambayo yanafanywa kwa baadhi ya nyumba wanaotaka kuwekewa mfumo huo. Walianza...
0 Reactions
13 Replies
484 Views
Sio ajabu kuona watu kama kina Samantha Power, Michele Sumilas, Clinton D. White pamoja na Kimberly Ball wakiumia na kugugumia maumivu juu ya ushindi wa Donald Trump. Kwa Wamarekani ni wazi kuwa...
10 Reactions
115 Replies
4K Views
  • Redirect
3 Reactions
Replies
Views
To be honest Kwa sisi wafanya -biashara tunabidi kumshukuru Sana Mungu na kumuombea maisha marefu mmiliki wa hii mitandao ,Facebook, Instagram na WhatsApp. Familia zetu zinakula na kunywa kupitia...
6 Reactions
27 Replies
553 Views
  • Redirect
Anonymous
fikilia Hii ni nyumba moja na tunapata maji Mara moja kwa wiki au siku 9 Hadi 10
0 Reactions
Replies
Views
Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa maudhui kutoka media mbalimbali utakubaliana nami kuwa media nyingi za Tanzania zimekuwa za kikasuku na burudani kuliko kazi nyingine za media nawashauri medias...
6 Reactions
29 Replies
634 Views
Niko Mbeya nashangaa shangaa Naona mabucha mengi ya nyama ya ng'ombe yanauza nyama kilo 6,000/= Kitimoto kilo ni 8000/= Mchele kilo ni 2000/= Mafuta ya kupikia lita 5 ni 23,000/= Maharage kilo ni...
23 Reactions
87 Replies
8K Views
Ni wakati sahihi wa kuondoa hii dhana iliyojengekea kuwa askari wa usalama barabarani wako kwa ajili ya pesa za waendesha magari (madereva)... iwe kihalali au rushwa ni kuwa kuna dhana kwamba...
0 Reactions
11 Replies
231 Views
Nakumbuka hata mimi nilivyokuwa teenager nilidhani dunia ndio inanizunguka mimi, yani nilijua nilichokijua kuwa ni bora ndicho kilicho bora kuliko vingine vyote. Yani leo hii mtu anakuja kuandika...
12 Reactions
63 Replies
2K Views
Shibe na njaa vyote si shuruti huanza na kiu yako au njaa yako, mahaba kwa mpishi na mahaba kwa aina ya chakula. Kama njaa Ina chakula basi nayo mapenzi ya njaa yake na kiu yake. Sirudii mwenye...
1 Reactions
4 Replies
166 Views
Watu wengi wa kale waliamini kuwa vitu vya asili kama miti, mawe, mito, jua, mwezi, na wanyama vilikuwa na roho au nguvu za kiungu. Jamii nyingi ziliamini kuwa roho za mababu zao zilikuwa na...
0 Reactions
3 Replies
138 Views
Zaidi ya 80% ya mimea, mamalia, reptilia na vyura ni wa kipekee kwa Australia na hawapatikani popote pengine ulimwenguni zaidi ya bara hilo pekee. Hawa ni baadhi tu Ifahamu nchi ya Australia...
5 Reactions
14 Replies
993 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…