Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Habari wadau,. Kama mada inavyojieleza, nahitaji kupata uelewa wa biashara ya kukoboa na Kusaga mahindi. Ninapenda kuwa na mashine kwaajili hiyo Ili niweze kudunduliza kipato (mashine ya kutumia...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Mimi bado nipo gizani naombeni kujua ni nin hasa unapozungumza kuna Congo DRC na Congo Brazzaville mbona siioni Brazaville kwenye duru za habari? Nielewesheni wakuu
4 Reactions
18 Replies
401 Views
Wazalendo wa Nchi hii Akina Job Ndugai waliwah kuuliza kwanini Tusijitegemee? Sasa Nchi hii Ina Kila kitu, hizo PhD za Uchumi, msizihamishie kulinda Matumbo yenu tu huku mzigo wote mkiuleta Kwa...
0 Reactions
1 Replies
130 Views
1.Back in days 2022 kuna kipindi watu walikua wakinipigia sipatikani hali ya kuwa simu ipo on, ikawa mpaka mtu arudie mara kwa mara kupiga ndio kuba muda labda itakubali. 2. Kuna kipindi...
4 Reactions
28 Replies
681 Views
Kilio ni kikubwa mno kutoka kwa wateja wao. Hizi cargo za weusi wenzetu wasio na asili ya mabara mengine zina majanga mno kwenye utendaji wao. Watu wanalalamika kutopokea mizigo yao kwa wakati...
6 Reactions
14 Replies
403 Views
Nini kinapalekea hawa Waafrika waliohamia Marekani na Ulaya kuwa wazalendo kindakindaki kwa mataifa yao mapya kuliko hata wale waliofika huko kupitia kizazi cha watumwa? Hawa Waafrika wahamiaji wa...
1 Reactions
2 Replies
131 Views
Patriarchy ni mfumo dume, mfume huu asilimia kubwa ya maamuzi na umiliki unakuwa chini ya mwanaume, huu ni mfumo wa kijamii ambao unaoperate katika nyanja zote za uchumi, siasa na sekta zengine...
3 Reactions
9 Replies
606 Views
Leo nitajikita kwenye kupotea kwa misaada ya HIV/AIDS tu , tuna watanzania zaidi ya millioni na nusu wanachukua na kupata dawa za HIV/IADS bure kutoka kwenye shirika la USAID, hawa watanzania...
27 Reactions
182 Replies
4K Views
Leo ni kumbukumbu ya miaka (22) baada ya tukio kubwa la Kigaidi lililoua watu (3,000+). 𝙄𝙡𝙞𝙠𝙪𝙬𝙖 11 𝙎𝙚𝙥𝙩𝙚𝙢𝙗𝙚𝙧 2001 ; 🕡 Saa 2:45 Asubuhi, ndege ya (1) aina ya '(Boeing 767) kutoka kwenye shirika...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
KUNA HATUA HUPIGI KWA SABABU KUNA WATU UNAWANG'ANG'ANIA, WAACHE. Yawezekana ikawa ni kuoa/kuolewa umekuwa kwenye mahusiano na watu ambao kihaiba ni KATAA NDOA na wewe unaona ndio aina/type yako...
7 Reactions
21 Replies
429 Views
KWEMA. Leo nilikuwa naperuzi mtandao wa Instagram kiukweli mwanzoni nilikuwa nafurahia kuona video za ndugu zetu wadazbe kiukweli UTAMADUNU wao unafurahisha pamoja jinsi wanavyoishi Kwa...
10 Reactions
31 Replies
870 Views
Duniani kuna Wachungaji wa aina mbili, wema na wabaya Wachungaji wema mara zote wanahubiri habari njema za Mungu, mara zote wanaeneza Upendo, Amani, Mshikamao na kupigania utulivu ndani ya mioyo...
1 Reactions
3 Replies
186 Views
Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa wametakiwa kusimamia kwa weledi miradi ya maendeleo ili kuwapunguzia viongozi maswali kwa wananchi. Maelekezo hayo yametolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi...
2 Reactions
17 Replies
321 Views
Mara kadhaa Serikali imesisitiza kuwa suala la malipo ya michango ya ziada ni suala la makubaliano kati ya Shule na Wazazi au Walezi wa Watoto, hilo linaangukia pia kwenye suala la chakula kwa...
4 Reactions
46 Replies
1K Views
MWANAMKE INITIATIVES FOUNDATION (MIF) YAGAWA AMBULANCE 4 NA VITI 50 KWA WENYE ULEMAVU Siku ya tarehe 27 Januari 2025, kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
2 Reactions
6 Replies
185 Views
Mkazi wa Kijiji cha Mwihitiri wilayani Ikungi mkoani Singida, Frank Joseph (28) amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa pamoja na kuingizwa miti sehemu ya haja kubwa na askari wa jeshi la akiba...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapa tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana...
3 Reactions
30 Replies
826 Views
Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapata tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana...
4 Reactions
12 Replies
288 Views
Trump ametufundisha jambo kwa sasa fukuza wazungu kwenye migodi nasisi tuchimbe dhahabu zetu wenyewe fukuza kwenye gesi uko yaaani ubaya ubwela tu kila mahali tukae wenyewe fukuza kwenye viwanda...
3 Reactions
18 Replies
311 Views
"Nawajulisheni kwamba nimeandika barua kwa katibu mkuu, nimeondoa kusudio la kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa chadema Tz bara, na nimewasilisha barua ya kugombea uenyekiti wa chadema Taifa"...
3 Reactions
10 Replies
486 Views
Back
Top Bottom