Treni iliyotarajiwa kuondoka kutoka Dar es Salaam kwenda Kapiri Mposhi, Zambia, kwa saa 9:50 jioni, bado haijaanza safari hadi saa 2 usiku, huku sababu ya kuchelewa kwao ikiwa bado haijatolewa...
Ijumaa Kareem
Unaweza kuwa karibu na watu wenye kila aina ya fursa ,mawazo chanya, kujitoa , Ila wasifanikiwe kukupa hayo mawazo chanya, wala kujitoa kwako wala kukupa fursa.
Kuna wakati Mungu...
Habari Zenu, tafadhali somo hapo juu lahusika.
Ni hivi, mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa miaka 8 sasa, ila sasa hivi mimi nipo nje ya nchi yapata mwaka. Sas,a huwa tunawasiliana karibu kila...
Salaam
Imekuwa kero, shida, usumbufu na tabu kwa abiria wanaotegemea usafiri huu katika vituo vya kati vilivyopo katika njia kuu za mabasi ya mwendokasi.
Mfano njia ya kimara kuelekea gerezani...
Ufunuo wa Yohana 22:10-21
10 Akaniambia, Usiyatie muhuri maneno ya unabii wa kitabu hiki, kwa maana wakati huo umekaribia.
11 Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa...
Igweeee wananzengo,
Leo napenda ku-share uzoefu wangu na moja ya kampuni binafsi za bima ya afya hapa Tanzania ambayo walikataa kabisa kulipia matibabu ya mke wangu, ikiwemo upasuaji, huku...
Nataka kuuliza serikali ina mpango Gani kuhusiana na watoto wa mtaani jijini mwanza. Maana wanasumbua kweli katika maeneo ya Seketoure na Nata
Je, hao watoto hawana wazazi.
Na kama hawana wazazi...
Jumamosi tarehe 24 natakiwa nisafiri niende MOROGORO / TURIANI kumalizia msiba wa mzazi wangu. Then bado kuna vitu havijakaa sawa. Then sina kazi kwa sasa. Sasa, baada ya kufuatilia mafao yangu ya...
Wakuu kipindi hiki cha mvua nyingi kwa baadhi ya mikoa ni hatari kwa usalama wa watoto wadogo, wazazi tuwe makini na watoto wetu hasa maeneo wanayocheza na kuwadhibiti kutoka nyumbani pindi mvua...
Huyu binti mrembo, mdogo mwenye umri wa miaka 27 msemaji wa Ikulu ya Marekani amekuwa gumzo mtandaoni kwa uwezo wake wa kujibu maswali na kujiamini.
Binti anapigwa maswali ya papo hapo na...
Utabiri ambao umejificha ktk kifo cha Simba Bob Junior ama kwa hakika ni Utabiri wakutisha Kuna watu wanadhani may be unahusu serikali ya sita vile umetokea na mwezi ulio tokea.
Mimi nataka...
Nadhani ni jambo lisilopingika na la wazi kitamaduni na kiuhalisia pia sidhani kuna kutoelewa umuhimu wenu kwenye majukumu mliopaswa kuyatumikia na kuyafanya kila siku cha ajabu zaidi elimu ya...
Habari ndugu zangu wana jukwaa wenzangu.
Hili Jiji la Mbeya licha ya kukumbwa na ugonjwa wa Kipindupindu ambao kila siku tunasikia Serikali inapambana nao lakini hali ya uchafu katika baadhi ya...
|Haya ndio mambo sita makubwa yanayomvutia zaidi Kachero Benard Membe kwa Utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Kwanza, Mabadiliko, ni raha ya Watanzania kupokea mabadiliko ya uongozi wa...
Habari zenu Wanajamiiforums.
Nakazia kichwa cha MADA, Kama kweli kuna pepo basi niwahakikishie hakuna binadamu hata mmoja atakayekanyaga.
Wale wote wanaojazana kanisani sijaona,
Wale wa...
Wakuu heshima yenu
Nataka kumkatia mke wangu bima ya NHIF,naomba anaejua utaratibu na gharama zake anijuze,hasa hizi ambazo wanasema ni reviewed
Nafanya hivyo kwa sababu ni mjamzito,lakini pia...
Chanzo: Wavuti ya Gazeti JAMHURI
Misaada mingine ya Marekani ni fedheha
Na Manyerere Jackton
Wiki iliyopita Rais Jakaya Kikwete alizungumza neno zuri. Sina hakika kama viongozi wetu...
Rais wa Marekani Barrack Obama amemwonya rais wa Uganda,Yoweri Musuveni, kwamba ikiwa atasaini mswada wa sheria inayoharamisha mapenzi ya jinsia moja basi uhusiano kati ya Uganda na Marekani...
Kwa mbali kama naanza kumuelewa Trump.
Hivi karibuni, nimeona Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy akisema kuwa kati ya Dola Bilioni 177 ambazo zilipitishwa na Bunge la Marekani ni Dola Bilioni 77...