Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa, ulio katika Kata ya Nduli, Mkoani Iringa, umefikia asilimia 93 ya ukamilifu na umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 68. Kwa sasa, uwanja huo uko tayari kwa...
Jamani nimetafakari sana,nimeona kama baadhi ya vituo vingine vya mwendo kasi walivijenga vikubwa sana bila sababu yoyote.
Mfano hivi vya katikati,Magomeni hospitali,Jangwani,Manyanya...
Ninaongea nikiwa na evidence.
Kuna familia ilipata mtoto wa pili. Mtoto alivyozaliwa alipewa jina fulani. Lakini makuzi ya mtoto huyo hayakuwa marahisi, alikuwa analia sana, kula kwa shida, ana...
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mh. Rais Samia kwa kuwajali kwa dhati ya moyo watumishi wote wa umma.
Sio siri kwa sasa watumishi wamekuwa wakitimiziwa haki zao za msingi kwa wakati kabisa bila...
Kuna jamaa yangu yuko Zanzibar anataka kuniuzia gari. Na gari nikiangalia iko vizuri tu. Xtrail ya 2005 ananipa kwa mil 6. Ila sasa nasikia kuleta gari Bara toka Zanzibar unalipia tena ushuru. Je...
Wandugu,
Nina gari Zanzibar, nataka kuja nalo bara, na niweze kulitumia kwa miezi michache.
Swali langu: je, ni process gani zinatakiwa kufuatwa?
Kama kuna mtu yeyote amewahi kupata changamoto...
Juzi Bi. mkubwa wangu kanitembelea nyumbani, sasa yeye ni mmoja wa waumini wa kwa Mwamposa.
Baada ya salamu za hapa na pale akaomba awekewe channel ya Mwamposa aangalie ibada.
Wakati tukiangalia...
Iko hivi kuna watu wengi Sana,wameamua kuachana na doze za dawa wanazotumia wakiwa na imani kwamba, wamepona baada ya kuombewa na Mwamposa na baadhi ya wachungaji wa amakanisa ya kilokole
Hivi...
Kufuatia matukio ya udukuzi wa akaunti za mitandaoni yanayosababisha utapeli, wananchi wametakiwa kujifunza elimu ya mitandao ili kuepuka kuingia kwenye majanga.
Hayo yanakuja kufuatia tangazo la...
Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili wa gharama, maji safi na kuhudumiwa kitabibu
Kichwa cha habari chahusika
Niwatakie...
Mhe Jenister Mhagama, Mhe Simba Chawene Waziri wa mambo ya ndani, IGP Simon Sirro tusaidieni tulipwe mafao yetu na PSSSF, Tumestaafu Mwaka jana mwezi wa 12 Hadi sasa Hatuja pata mafao yetu wala...
MADINI YOTE MUHIMU YANAYOCHIMBWA DRC CONGO, MADINI HAYO HATA SISI TANZANIA TUNAYO KATIKA MKOA WA KAGERA.
KATIKA MKOA WA KAGERA TUNA MADINI YAFUATAYO AMBAYO CONGO PIA WANAYO;
TIN (CASSITERITE)...
Hii story niliisikia kitambo ikaniogopesha kuoa Hawa watu wazuri wa uso kutoka Rwanda.
Kwamba ukioa Mtutsi, eti ukizaa watoto watano ujue mmoja au wawili sio wako.
bidada huyo atafanya juu chini...
Habari wadau!
Naenda kwenye hoja moja kwa moja kwenye hoja.
Ki ukweli utakatishaji fedha ni biashara ambayo ipo kwa siri sana.
Usione mtu anajipost na rundo la hela na hana kazi yeyote akasema...
Habari za jioni wana JF..
Bila kupoteza muda tujikite kwenye mada, ulishawahi kukosea kufanya muamala wa shilingi ngapi kwenye simu yako? Na je, ulifanikiwa kuipata hela au ndio ilipotea mazima...
Serikali kupitia Wizara ya Madini inaendelea na juhudi za kupunguza mzigo wa tozo kwa Wachimbaji Wadogo wa Dhahabu hapa nchini kwa kufanya mapitio ya ada na ushuru mbalimbali unaotozwa katika...
Katika ulimwengu unaotegemea teknolojia na sayansi thabiti, madai yanayopinga kanuni za msingi huvutia hisia kali, aidha za matumaini au wasiwasi. Maxwell Chikumbutso, raia wa Zimbabwe, anadai...
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amewataka vijana nchini waliobahatika kuwa na wazazi walio hai kujenga utamaduni wa kuwatunza, kuwalea na kuwaonyesha upendo akimtaja mzazi kama kiungo muhimu...
Serikali imeombwa kuingilia kati ili waliokuwa wafanyakazi pamoja na wateja wa Benki ya FBME wapate haki zao ikiwemo fedha ambazo wanaidai benki hiyo ambayo imesitisha kutoa huduma tangu mwaka...