Nimekuwa nikipita mara kwa mara mtaa wa Lindi kariakoo ili kuegesha gari kwenye eneo la maegesho gerezani. Ile barabara kuanzia makutano ya mtaa wa Lindi na Msimbazi mpaka makutano ya Lindi na...
Barabara ya Uhuru kwenye makutano ya mtaa wa Likoma eneo la Kariakoo pembeni ya Benki ya Akiba kuna shimo kubwa lililoachwa na wajenzi wa Barabara ambapo ni zaidi ya mwaka sasa.
Shimo hili ni...
Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye...
Amani iwe nanyi nyote (BabaParoko)
Enzi hizo hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa kawaida kabisa Mzee wa kisukuma kwenda kumtafutia kijana wake binti wa kuoa. Mara zote walikuwa hawakosei...
Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Mtwara, zimesabisha maporomoko ya udogo, kufunga barabara Kuu ya Mtwara, Lindi, Dar es Salaam, katika eneo la Mikindani kwa zaidi ya saa tano na hivyo kuleta...
Huku kwetu Tunduma karibu maeneo yote kuna changamoto ya watu kuumwa magonjwa ya tumbo na wengine kipindupindu lakini hatusikii mamlaka zikiweka wazi kuhusu suala hilo hadharani.
Kumekuwa na...
Mwanaume mmoja alikuwa akimpa ombaomba $1000 kila mwezi. Alifanya hivyo kwa muda fulani bila kukosa. Siku moja, alimpa ombaomba $750 pekee. Ombaomba alishangaa, lakini akajiambia, "$750 ni bora...
Wamejitahidi sana kuficha lakini wapi!
Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role
Exclusive: Sources say thousands of RDF killed supporting M23 rebels in...
Naongea kutokana na uzoefu kidogo, nineona kwenye interview vijana wakipanga mistari mirefu kupambania ugali wao, wengine wamekaa mtaani zaidi ya miaka 10, na bado wapo wanapambana kwenye usahili...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imethibitisha kuwa ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro umefikia hatua...
Nimekuwa nikijiuliza muda mwingi mbona kama ni ajira kuna wengine wameajiriwa, wanawake wanahamishia stress zao kwenye kazi zao.
Leo nimeshuhudia walimu wa kike wanamshambulia binti (mwanafunzi)...
Je, katika mambo haya mawili ni lipi Lina ukweli?
Unakuta unataka kufanya jambo, katika kukaribia kulikamilisha, unapata hofu na woga sana, hatimaye unaacha.
Kwingine unataka kufanya jambo...
Hallo wapendwa naombeni msaada namna ya ku culculate kiinua mgongo, mimi nipo kampuni binafsi kwa miaka 8 sasa, hii 2024 nmeanza wa tisa
1. Calculations ya kiinua mgongo
2. Je ukiacha kazi...
Mchengerwa ametoa agizo hilo katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Soko Kuu la Majengo na vituo vya daladala jijini Dodoma kupitia mradi wa uboreshaji miundombinu ya Miji (TACTIC)...
Katika kuendeleza mradi wa kutoa Elimu ya Afya ya Akili Shuleni Zanzibar, Taasisi ya Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO) inaendelea kufanya juhudi kuhakikisha inafikia shule zaidi...
Kwa mujibu wa Ripoti ya Takwimu za Mawasiliano iliyotolewa na TCRA, Desemba 2024, idadi ya akaunti za pesa mtandao ambazo zilitumika angalau mara moja katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.