Picha: Mchungaji Eliona Kimaro
Semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT Kijitonyama ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60...
Is it real? Yaani CCM inabebwa na sura za wasanii akina mwijaku, Dotto toyo, kiredio na mburura wengine, are we serious with our CCM? Shameful strategy, have we become so cheap to this level...
Salama wakuu? Nina rafiki yangu amenipa tafakuri mno usiku huu.alikuwa anaumwa, amezunguka kwa mitume na manabii ila hakupona
....
Ajabu ameponea Tanga, tena kwa mganga wa kienyeji. Hii imekaaje...
Inawezekana mganga kukunyanyua kimafanikio? Ni njia gani anayotumia ambayo yeye haitumii ili kufanikiwa au asili ya tiba haimruhusu kujiganga?
Mshana Jr LIKUD Nikifa MkeWangu Asiolewe na wengine...
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART Mwendokasi ) umesema kuanzia mwezi March mwaka huu wa 2025 utasitisha rasmi matumizi ya tiketi za karatasi katika usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka na badala...
Uganga au uchawi ni karama ambayo MUNGU huwa anawapa watu na moja ya masharti ya karama hiyo usiitumie kujipatia PESA Ila acha MTU akipenda Kazi yako atakupa PESA.
Hivyo Mimi Mganga wangu...
Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma
Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara
Baada ya zuio la...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Shaban Millao amewataka wanafunzi wa shule mpya ya Mnenia Sekondari kufanya vizuri kwenye mitihani yao na kuhakikisha kwamba...
Ndugu zangu mimi ni mwana wa asielala. Macho yangu mara nyingi hayafungi.. Ila kuona msio yaona. Kuandika msiyoyatarajia.
It might be I was the first person to know Magufuli will be the president...
Juzi nilileta uzi hapa swala la wanawake kutembea haraka na kuwasababiasha kutukosa mabwana wa maana.
Kama kawaida bado naendelea kutafuta mwanamke wa ndoto zangu taratibu ila napotafuta lazima...
Yaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili halafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na kana heshima ila ukimuacha tu inabidi...
Laana Inatajwa Sana. Ni kitu Gani.
Neno laana liko kwa namna mbili, kibiblia.
Aina ya kwanza, ni kupoteza sifa ya kukubaliwa na Mungu kwa jambo lolote lile. Na hii chanzo chake ni lile anguko la...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amekosoa utaratibu unaotumika wa abiria kuingia na kutoka stesheni kuu ya treni ya mwendokasi...
Naomba ufafanuzi juu ya dini ya kiisilamu kabla sijachukua hatua ambayo nataka kuichukua. Wanasema uislamu ni dini ya haki na pia muislamu ndugu yake ni muislamu. Kuna majini waislamu ambao ni...
RTO wa Mbeya, Njombe na Iringa tusaidieni kukamata bus la New Force lenye number T EBK 232.
Dereva na kondakta wake wamepiga na kujeruhi mtu hapa Uyole.
Mamlaka husika tusaidieni kwenye hilo.
Kwa miaka mingi nilitokea kuwapenda sana wanawake wa Kinyarwanda kwa muonekano wao na naona vilevile wanaweza kuwa na kaheshima fulani ambayo wanaume wengi tunapenda tuzipate kutoka kwa wake zetu...
Hakika asemayo Waziri wa Elimu yanapaswa kuungwa mkono.Kuna mtumishi alimaliza kozi ya Mrasimu Ramani(cartographer) Tabora ngazi ya cheti (Certificate) Na kuajiriwa Ofisi ya RAS. Baada ya kufanya...
Serikali inatarajia kutoa waraka utakao waelekeza wakurugenzi wa Halmashauri nchini kutekeleza miongozo inayowahusu watumishi wa Umma wenye ulemavu ili wapate mazingira rafiki na wezeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.