Amani iwe kwenu watu wa MUNGU MWENYEZI
Kamanda mtafungwa ndo kayasema hayo
Japokuwa maelezo ya kamanda hayajitoshelezi lakin ndo kasema hivyo
===============
Wanafunzi wawili wa Shule ya Blessing...
Money laundering through fake pastors and preachers typically exploits the reputation of religious institutions as trustworthy and charitable. Here’s how it works:
1. Establishment of a Religious...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kukuongoza kijana Hance Mtanashati kwa kuomba kufanya Sparring na mimi,haya ndiyo mambo nipendayo UMUGHAKA
Nimewahi...
Majumbani kwetu tuwe na sime, panga, rungu na mbao zilizopigiliwa misumari(kutega kwenye tairi pindi gari la wasiojulikana linapoanza kuondoka likanyage tairi litoboke).
Tujitahidi kwenye makazi...
Habari za asubuhi ndugu zanguni,
Nimefanya kazi ya ualimu katika shule x mkoani Dodoma kwa miaka 3 sasa nikifundisha masomo ya A level kwenye shule moja ya private.
Lakini naona kama hii kazi...
Kijiji cha Manzeye kilichopo Kata ya Wukiro Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma kipo kwenye orodha ya vijiji vilivyokosa umeme mkoani Ruvuma.
Kijiji hicho ambacho kinapakana na kata ya Litembo hadi...
Naomba nisaidieni kama kuna mtu kawai ona NGO ya kichina nna taka kufanya research kuhusu mchango wa NGO za China kwenye social services za Tanzania. Nipige comparative study China vs Western...
Hawa ni watanzania 10 wenye akili Sana na upeo mkubwa wa mambo.
1 Shekh Yahaya -Mnajimu
2 FID Q Msanii
3 Diamond plutunmz -MSANII
4 KANUMBA -Actor
5 Mbwana samatta -footballer
6 Tundu lissu-...
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetangaza vifurishi vipya vya bima katika makundi mawili ya Serengeti Afya na Ngorongoro Afya, kifurushi cha chini kikiwa ni Sh. 240,000 na cha juu Sh...
Haya ni mambo fikirishi kutokana na experience yangu ya kuona mambo mbalimbali.
Je kama watanzania tumejiandaa vipi kukabiliana na uwezekano wa hali hii?
Ieleweke kuwa Afya ni eneo nyeti katika...
Umofia kwenu.
Wakuu, hivi yupo wapi Askofu Mkuu Zakaria Kakobe?
Hajaonekana Kanisani wala hakuna taarifa yoyote kumhusu kama yupo nje ya nchi tangu Desemba mwaka jana.
Tetesi ni nyingi sana...
Huyu Dada( Marehemu) alikuwa na Masters.
Na rafikiye ana Masters pia.
Walikuwa wanafanya Kazi idara moja.
Huyu Dada Marehemu akapandishwa cheo.
Rafiliye Kwa sababu ya wivu akamuweka sumu...
Leo, Februari 5, 2025, majira ya saa 10 jioni, akaunti ya X ya mfanyabiashara maarufu Mohammed Dewji (@moodewji) imeripotiwa kudukuliwa. Wadukuzi wameweza kuchapisha ujumbe wenye kiungo...
Habari wana JF
Nahitaji kujua ni makabila gani tanzania ambayo wasimamizi wa mambo yote na waratibu wa majukumu ya familia ni wanawake. (yaani ni makabila ambayo baba ni yupo kama picha ya mlinzi...
Kero yangu kubwa ni kwa mamlaka inayosimamia huduma za Afya katika Halmashauri ya Tunduma Mkoani Songwe, kumekuwa na tatizo la wauzaji wa Nyama kuuza nyama zenye mashaka ya ubora na baadhi wanauza...
Ni juzi kati nilikuwepo Gesti Fulani na Dar na kabla ya kulala nilihesabu hela nilikuwa na 50000/=.
Nilipopatwa na usingizi mzito niliota mtu Fulani anakuja ananiambia nimpe hela zangu na nikampa...
Hebu angalia hizi slide mbili za video zilizotengenezwa na akili mnemba ndani ya dakika chache tu.., fully rendered. Kwa sasa wasanii na maprodyuza wa muziki ndio wanaipata pata.., ila huko...
Hapo vip!!
Uongozi wa kipindi hiki tunaomba iongeze makali kwasababu Wananchi wanateseka na wengi wamekuwa waonyonge wanavyoanza kufuatilia haki zao au huduma katika Ofisi za Serikali...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata Dada wa kazi za nyumbani (House Girl), Clemensia Cosmas Mirembe (19) aliyekuwa anatafutwa kwa kosa la kumjeruhi Mtoto wa Boss wake Maliki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.