Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Shalom, Mtu wa Mungu karibu tujifunze Neno la Mungu, Taa pekee ya kweli iongozayo miguu yetu. Leo kwa ufupi tutajifunza ni kwanini Mwanamume hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanamke, kadhalika na...
1 Reactions
5 Replies
289 Views
Saidia kusambaza picha hii apatikane huyu Binti. Amemchinja mtoto wa boss wake Goba, mtoto wa miaka minne. Toa taarifa kituo chochote cha Polisi kilicho karibu pindi umuonapo. Au piga namba...
5 Reactions
86 Replies
4K Views
Imekuwa ni kawaida wanawake kudai haki sawa kwenye uteuzi, tukidai uwazi, upendeleo , kuwezeshwa na makongamano mengi , Bunge na mengine mengi lakini tupo nyuma kwenye kudai KUINGIZWA VITANI FRONT...
5 Reactions
21 Replies
403 Views
Mkazi wa Goba Lastanza Kinondoni, Joseph Sanura maarufu kama Ngosha (31), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. kwa tuhuma za mauaji ya Penina Rwegoshora (28) mkazi wa...
5 Reactions
89 Replies
12K Views
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Wanawake kuweni sana makini this time watu...
34 Reactions
772 Replies
59K Views
Anonymous
Mimi ni mfanyakazi wa kampuni ya uchimbaji visima, SUPREME WATER WELL DRILLING LIMITED iliyo na makao makuu yake jijini Mwanza, ni muda mrefu umepita tangu nianze kazi katika kampuni hii...
0 Reactions
0 Replies
75 Views
Wanabodi, Ni Kweli Maisha Ni Magumu, Kiasi Kwamba Kila Mtu Hasa Vijana Akitaka Apate Unafuu Wa Maisha Basi Ni Shurti " Kumlamba Miguu" Aliye Juu Yako Kwa Namna Yoyote Itakayokuonesha Wewe...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, amesema ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za afya la Bohari ya Dawa Kanda ya Dodoma lenye ukubwa wa mita za mraba 7,200, litakalogharimu zaidi ya Tsh. bilioni...
1 Reactions
1 Replies
124 Views
Wadau hamjamboni nyote? Haya mambo ya kushangaza tumeyakuta huku pwani Hatuna namna inabidi twende hivyo hivyo lakini kwetu kabisa hatulagi hayo mautumbo ya kuku na mangozinya ng'ombe siyo...
1 Reactions
7 Replies
174 Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Dkt. Leonard Akwilapo, amekabidhi vyeti kwa shule tatu zilizonufaika na miradi ya Mfuko wa Elimu wa Taifa baada ya kukamilika kwa ujenzi wake...
0 Reactions
1 Replies
114 Views
Naitwa Jemima d/o Malisa mwenyeji wa mkoa wa Arusha napenda nishuhudie kitu ambacho kimetokea maishani mwangu hadi kupelekea kuokoka. Mwaka 2010 kwa sababu ya kutafuta maisha nilikwenda zanzibar...
61 Reactions
98 Replies
9K Views
Hivi TARURA Mkoa wa Mbeya, kilichowafanya mkamwaga vifusi kwenye hii Barabara ya kutokea Shule ya Sekondari Sangu kuelekea Benki Kuu na kuviacha bila kusambaza ni nani? Barabara ni mbovu...
0 Reactions
3 Replies
261 Views
Habari zenu waungwana wa JamiiForums. Itakapofika tarehe 11 mwezi wa September mwaka huu wa 2021, itakuwa imetimia miaka 20 kamili tangu siku majengo pacha ya kibiashara katika jiji la New York...
6 Reactions
218 Replies
14K Views
Kwa mujibu wa ripoti ya Takwimu za Mawasiliano ya TCRA iliyotoka Desemba 20204, inaonesha kuwa idadi ya utumiaji wa Intaneti imeongezeka kwa 16% kutoka milioni 41.4 kwa robo ya mwaka iliyoishia...
4 Reactions
6 Replies
334 Views
1. Bosi wangu ananifokea Sana kwamba sijui kazi ilihali ni kitu nilichosomea na najitahidi kuonesha juhudi 2. Bosi wangu ananifokea Sana hata kwa makosa ambayo kayafanya yeye mwenyewe kwa uzembe...
13 Reactions
111 Replies
3K Views
Baada ya mahojiano ya watumishi wa Umma 83 wa kada za ualimu, uuguzi, ,aafisa kilimo na watendaji wa kata tumebaini kitu fulani ambacho kimetushangaza kidogo. Hao 83 ni wale ambao wamefanikiwa...
0 Reactions
10 Replies
320 Views
KISAIKOLOJIA; WATU WANAOONYESHA KUJALI MBELE ZA WATU NDIO WAKATILI NA WALE WENYE KUTOONYESHA KUJALI MBELE ZA WATU NDIO WENYE HURUMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mara nyingi lakini sio zote...
13 Reactions
25 Replies
544 Views
Anonymous
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wanatuangusha Watanzania kwenye huu mfumo wao wa TANCIS ulioboreshwa tangu wamezindua Jumatatu imekuwa inasumbua sana hasa kwa Mawakala wa Forodha kwenye...
0 Reactions
1 Replies
265 Views
Bunge la Tanzania limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Kazi (NA.13) wa Mwaka 2024 ambao umeongeza likizo ya uzazi kwa wanaojifungua Watoto njiti ambapo itaanza kuhesabiwa wiki...
2 Reactions
3 Replies
313 Views
Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki...
7 Reactions
184 Replies
5K Views
Back
Top Bottom