Salama wakuu wote wa hili jukwaa
Mara nyingi nimekuwa na wasiwasi juu ya umri sahihi wa hawa watu wawili maarufu katika historia ya dunia, mwanamziki Tupac Amar Shakur na mwanaharakati wa haki...
Siku ya Kupinga Ukeketaji, ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 6 Februari, inatoa fursa kwa jamii mbalimbali kuangazia na kupaza sauti kuhusu madhara ya ukeketaji na umuhimu wa kuutokomeza...
Hiki kisiwa kipo underrated sana!
Wengi wetu hatukijui kabisa!
Tupate kidogo picha za kisiwa hiki. ili safari ijayo ukitaka kusafiri kupumzisha akili usikisahau
Habari zenu Wanajamiiforums.
Kwa mda niliotumia kumuomba Mungu na kutokupata majibu yoyote, nahitimisha kuwa nguvu za Mungu si nyingi kama tulivyoaminishwa.
Aisee nataka kuamia Mizimuni, Anayejua...
Mvua zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo mbalimbali zimeendela kuleta athari ambapo zaidi ya nyumba 100 zimeezuliwa paa na nyingine kubomoka baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo...
Radi ilipiga na kuunguza nguzo hadi kukatika kijiji cha Ilungu karibu na shule mwezi wa 11 lakini cha ajabu mpaka leo bado hawajaja kuweka nguzo mpya ili wananchi wapate huduma ya umeme
Mwanamke mmoja huko marekani alifungua mashtaka ya kuishtaki kampuni lyft inayotoa huduma za tax mtandaoni kwa kumkatalia sababu ya uzito wake.
Sababu hii ilichangiwa wengine wakisema ina ubaguzi...
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo ya Mafia Ndg.Vulfrida John Msele akiwaapisha maafisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya Kata, Kiapo cha Kutunza Siri na Kujitoa Uanachama wa chama cha siasa...
Taarifa hapo chini zinasema kwamba, kampuni ya kutengeneza chanjo za Corona, Pfizer, inatarajiwa kutengeneza faida ya shs.Trillion 70 kwa mwaka huu wa 2021 pekee, je, nawezaje nunua hisa walau 10...
Habari wadau,
Kuna mtu aliomba mkopo bank kupitia mfumo wa ESS. Lakini baadaye akaghairi akawasiliana na HR akacancel mkopo. Lakini leo benki wameweka hela kwenye akaunti,sasa je hii imekaaje...
Mimi ni mmoja wa Wanafunzi katika Chuo cha Kiislamu Morogoro, changamoto kubwa ambayo naiona kwenye chuo chetu ni suala la mazingira machafu.
Chuo hakina vifaa vya kuwekea taka hali inayofanya...
Tanzania imepokea ndege kutoka Jeshi la Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ambayo imetolewa kwa ajili ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Mapokezi hayo yameshuhudiwa na Waziri wa...
Watu wengi hufikiri uchungu wa bia unatokana na pombe. Uchungu wa bia hutokana na mmea unaoitwa hop. Watengenezaji wa pombe hutumia mimea mbalimbali kuzipa pombe ladha mbalimbali. Mmoja wa mmea...
Wanajukwaa habari za muda huu.
Ninalazimika kupanda jukwaani kutokana na usumbufu mkubwa sana uliopo Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF .
Hawa watu wanakuwa na vipengele vingi vya kufuatilia na...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa maoni kuwa Tovuti mpya ya mfumo wa TANCIS unasumbua tangu ulipozinduliwa Januari 20, 2025, maoni hayo yamepokelewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
MAELEZO MAFUPI (DONDOO) KUHUSU UKEKETAJI NA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA KUTOKOMEZA UKEKETAJI
Maana ya Ukeketaji
Ukeketaji ni kitendo cha kimila kinachotekelezwa na baadhi ya jamii...
Wadau, naombeni new ideas:
Mji au nchi gani ulienda vacation / safari ya mapumziko na ukafurahia?
Kama ulitembelea jiji kubwa, ulikaa eneo gani, na ni kitu gani kilichokuvutia zaidi?
Kwa masikitiko makubwa huwa najiuliza hivi barabara ya Dodoma to Iringa ilijengwa kwa pesa za nani, ilijengwa bure?
Nani alikuwa mkandarasi, nani alitoa hela, nani alikagua, nani alikabidhiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.