Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Tanzania inadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700, ambayo ni kwa matumizi ya serikali - bila shaka matumizi ya Rais. Pichani ni aina ya ndege iliyonunuliwa. Hii ni ndege ilizinduliwa mwaka...
15 Reactions
77 Replies
4K Views
Waziri wa uchukuzi Prof. Harrison Mwakyembe amemtaja mshukiwa mmoja wa dawa za kulevya aitaye Nassoro Mangunga, lakini mshukiwa huyu pamoja na picha zake alishaandikwa na gazeti la SANI katika...
3 Reactions
48 Replies
10K Views
Wataalamu watuambie hii ni artificial intelligence au ni kweli? Je cameras zinawezaka record wanga,misikule n.k ikiwa kwa macho ya nyama hawaonekani? Yaani mfano ukaamua uweke cctv camera nyumbani...
3 Reactions
5 Replies
301 Views
Habari zenu wakuu Mwaka unaenda kasi sana njaanuary hioo inaishia ... Kuna mambo mengi ambayo unakuta mtu anajua kabisa madhara yake au kama hajui hata akishaambiwa madhara yake bado haachi, mfano...
7 Reactions
84 Replies
1K Views
Rais Donald Trump amesaini rasmi amri ya kiutendaji jana, Jumatano, Februari 5, 2025, ya kupiga marufuku wanamichezo waliobadili jinsia kushiriki katika michezo ya wasichana na wanawake. Amri...
0 Reactions
12 Replies
383 Views
Thread yangu ni kama kichokoza mada. Katika miaka ya zamani wezi, mafisadi, wauza unga wengi walitakatisha fedha kupitia ndoa, mhusika anaoa ama kuolewa na public figure yeyote then kutakuwa...
4 Reactions
17 Replies
875 Views
Kila nikitembelea jengo la NSSF Ilala hukuta kamba zimefungwa kwenye ngazi ili zisitumike hivyo kulazimisha zitumike lifti tu! Kitendo hiki ni cha kuhatarisha usalama wa watumiaji wa jengo hilo...
0 Reactions
3 Replies
181 Views
Morogoro, 6 Februari 2025. Kampuni ya sukari Kilombero, leo imeandaa Mkutano wa Wadau ambao umewakutanisha na viongozi wapya wa serikali za mitaa pamoja na wadau wengine kutoka bonde la kilombero...
4 Reactions
2 Replies
132 Views
Mara kadhaa hapa chini yamekuwa yakifanyika matamasha au shughuliza kijamii zinazolenga makabila fulani kama WASUKUMA FESTIVAL...
2 Reactions
1 Replies
190 Views
Ni miaka zaidi ya 60 tangu tupate uhuru na hata kufikia muungano na kutengeneza taifa linaitwa Tanzania. Punde baada ya uhuru Mwl. J.K.Nyerere alitangaza maadui wa maendeleo; Ujinga, Umaskini na...
4 Reactions
24 Replies
628 Views
Mfanyabiashara wa Kitanzania, Edhah Abdallah, kupitia kampuni yake Amsons Industries (K) Ltd, amefanikisha ununuzi wa asilimia 96.4 ya hisa milioni 362.96 za Bamburi Cement, kwa jumla ya KSh 23.2...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Maelezo ya picha,Baadhi ya watu walipotea katika mfululizo wa matukio ya utekaji nchini Tanzania Maelezo kuhusu taarifa Author,Sammy Awami Nafasi,BBC Swahili Akiripoti kutokaTanzania Saa 3...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wana bodi, nimepata taarifa ambazo sijaweza kuzithibitisha moja kwa moja kuwa muuza madawa ya kulevya maarufu sana magomeni mapipa ajulikanaye kwa jina la Beka (beka range) ameng'ang'aniwa na...
4 Reactions
149 Replies
46K Views
Japo gharama za kupata ARV zipo juu Ila sifikirii Kama tutashindwa kulipia hizo dawa. Je, kwanini mnamlaani Trump?
7 Reactions
38 Replies
1K Views
Hili suala la TRA kuruhusiwa kuajili wenyewe ndio mwanzo wa kurudisha enzi zile za kujazana kabila Moja ofisini hakuna ushindani wa kupata ajira, Aliemshauri Rais kuruhusu hili ametoa ushauri kwa...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Ni miezi kama nane imepita mpaka sasa sio mwaka(marekebisho) Soma thread ya kwanza hap...
2 Reactions
2 Replies
275 Views
1. Katika kuhakikisha wanakamata soko la usafirishaji wa Anga. RwandAir, Uganda Airlines na Air Tanzania kuungana ili kupambana na washindani wakuu kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki (Kenya...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Nimeona huu mjadala Mahala. Kama KKKT wanatakatisha fedha ni vema serikali iwachunguze Maana hawalipi kodi hawa. Pia hawa wasamaria wanaoleta hizi taarifa inabidi serikali iwalinde wasije...
2 Reactions
49 Replies
2K Views
Hello! Kama kitu mwanadamu anapaswa kujuta akikosa basi ni Roho Mtakatifu. Kitu cha thamani mno. Mtu aliyejawa Roho Mtakatifu na akaishi kwa kusikiliza sauti ya Roho Mtakatifu hawezi kusumbuka...
26 Reactions
64 Replies
2K Views
Wakuu, Clouds FM kupitia ukurasa wake wa Twitter, wameposti video inayoonesha magari aina ya Land Rover zaidi ya 10 ya nabii huyo, magari ambayo anaenda kumpa kwa muda mkoa wa Arusha, Paul...
6 Reactions
93 Replies
6K Views
Back
Top Bottom