Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, imesaini mkataba wa ununuzi wa mitambo ya kuchimba visima virefu na kampuni ya utengenezaji...
Hili ni angalizo kuelekea wikendi.
Mabinti, msiwaamini sana wanaume! Kama mna hela, hakikisheni mnakabeba. Sio kila mwanaume anayeenda chooni anaenda kujisaidia, wengine huenda kuangalia salio...
Wakuu,
Kuna wadada na wamama huku mitaani tunapoishi wana tabia ya kukaa vibarazani nje iwe mchana iwe usiku wanakaa hapo sehemu ya njia watu kupita kuna hizi barabara za mitaa sasa nyumba...
Upange karibu na ofisi kwa kodi kubwa
Mfano: Upange kwa gharama X, umbali wa ofisi dakika 10
au
Uende mbali kwa nusu ya kodi ya kuwa karibu, Gharama za usafiri kubwa na usafiri ni taabu
Mfano...
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Uhuru kilichopo Wilaya ya Urambo mkoani Tabora umekamilika.
Kapinga ameyasema hayo leo Februari...
Naomba Serikali kupitia Waziri wa Maji, Juma Aweso afuatilia chanzo cha Wakazi wengi wa Mkoani Morogoro kukosa huduma ya maji.
Hii hali inatutesa sisi wakazi wa Morogoro kwa muda mrefu sasa...
Salaam, kwa namna ya pekee naomba kuwasilisha kero yangu kuhusu upatikanaji wa maji manispaa ya Morogoro.
Kumekuwa na utaratibu wa maji kutoka kwa siku, napo kwa masaa machache. Ni ajabu...
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo,amesema mfumo wa Stakabadhi za Ghala, umeendelea kuwa chombo muhimu katika kuimarisha urasimishaji wa biashara ya mazao kwa kuweka uwazi...
Mfumo wa kielektroniki wa Anwani za makazi (NaPA) ambao una programu tumizi yaani ‘Application’ utasaidia kuboresha huduma za usafiri na usalama wa abiria na madereva ambapo kwa kutumia simu janja...
Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.
Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo...
Niliwahi kusema hapa kwamba tangu Serikali ijue kwamba watanzania ni wepesi wa kusahau na wala si wafuatuliaji basi wana ahidi na kudanganya watakavyo.
Mwezi March TARURA walitoa ahadi kupitia...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) amesema kuwa utekelezaji wa mfumo wa Anwani za Makazi nchini umelenga kurahisisha utoaji na upokeaji wa huduma...
Jengo la Abiria la Mwanza Airport
Vs
Jengo la Abiria la Gwandar International Airport -Pakistani.
https://www.youtube.com/live/xmVq3nhd7fA?feature=shared
My Take
Si ajabu watu wakashindwa...
Salaam, Shalom.
Hii ni habari njema Kwa wakazi wa Dar es Salaam, Mungu amewaepusha mbali na dhahama ya mafuriko.
Iliarifiwa kabla juu ya janga kubwa la Mafuriko kuukumba mji mzima wa Dar na watu...
Hili ni Soko la Sabasaba Jijini Dodoma mvua zinaponyesha mara nyingi kumekuwa na hali ya matope kwa baadhi ya maeneo na hivyo kuwa kero lakini pia usalama wa vyakula unakuwa hatarini.
Nimepita...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutaka kujua mrejesho kuhusu Jenzi wa baraba ya Tegeta kwenda Goba Wakorea umefikia wapi, TARURA wasema mchakato unaendelea.
TARURA wamesema Barabara hiyo ya Goba...
Serikali imesema mwongozo wa wanafunzi wanaorejea shuleni baada ya kujifungua hawaruhusiwi kwenda shuleni na watoto wao na badala yake, unawataka wazazi kusaini makubaliano na uongozi wa shule ya...
Serikali imeweka mazingira rafiki kwa wanafunzi wenye watoto wachanga kupitia elimu nje ya mfumo rasmi, ili kuwawezesha kunyonyesha watoto wao kwa wakati wanapoendelea na masomo.
Akijibu swali la...
Habari wakuu,
Mnamo mwaka Jana zilikuja taarifa hapa juu ya hii barabara ya Goba mpakani ilivyokuwa hatarishi kupitika baada ya kupigiwa kelele hapa hapa jamvini wahusika mara moja wakaenda...
Mbunge wa Sumve, Emmanuel Kasalali amesema mamlaka maalumu inapaswa kuwepo ili kusimamia masuala ya Mazingira kwani haijachukuliwa kwa mkazo wake
Amesema siku za hivi karibuni Nemc imekuwa...