Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Binafsi napenda mbwa sana. Na nimejifunza tangu zamani lazima chakula cha mbwa kipikiwe Sasa kuna clip naona mbwa wanalishwa chakula au nyama mbichi fresh tu. Je hii haina madhara kwene makuzi ya...
3 Reactions
109 Replies
3K Views
Wadau anaejua hoteli au lodge nzuri ya kuchili na familia msimu wa Desemba anipe machimbo. Price isizidi laki Kwa siku. December hii sisafiri pia hatutaki kashi kashi. Asante. NB. Ikiwa Dar iwe...
9 Reactions
63 Replies
6K Views
JAMBO NISILOWEZA KULISAHAU KAMWE MWAKA 2024 Siku Moja katika kutekeleza majukumu yangu Kuna ndugu Fulani walikuja Kwa lengo la kuhifadhi mwili WA mpendwa wao majira ya saa Tano usiku Story ya...
2 Reactions
33 Replies
677 Views
Changamoto kubwa ya wengi si kushindwa kufanya meditation, bali ni kitopata matokeo ya nia zao za kumeditate. Mabingwa wa meditation kila wakati wanasisitiza faida zitokanazo na meditation...
11 Reactions
145 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni mwalimu idara ya sekondari katika mkoa wa Mara. Niliwahi kuugua ugonjwa wa tumbo kujaa na kuvimba ambao kule Mara ni maarufu kwa jina la passport size huwa inatokana na...
3 Reactions
85 Replies
18K Views
Habari za wakati huu ndugu wana Jamiiforums, Nimepokea kesi nyingi sana kutoka kwa vijana wakiume january hii, wengi wao malalamiko yako ni kuwa Wanawake/wake wanaoishi nao wanataka watoto...
3 Reactions
14 Replies
426 Views
Kwema ndugu zangu....leo nilikuwa naomba kupata elimu juu ya wezesha kwenye m-pesa hasa kwa mawakala mfano nikikopa 150,000/= marejesho yake shs ngap??. Kwa mda wa mwezi mmoja. Sent from my...
3 Reactions
29 Replies
8K Views
Usafiri wa daladala kwa sisi wakazi wa kigamboni ni kero na shida kubwa. 1. Giza likiingia nauli zinapandishwa juu; Zinakuwa tofauti na zile elekezi za serikali. 2. Jioni daladala zinafanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
Wajuzi wa Historia ya mji wa Dar es Salaam, Hospitali ya iliyoko Dar es Salaam inayoitwa Sinza Palestina ina uhusiano wowote na Palestina? Ilikuaje ikapewa hilo jina la Palestina?
1 Reactions
2 Replies
188 Views
BBC Swahili wanaripoti kuwa mwandishi wao wa zamani na mchambuzi wa siasa hasa za Mashariki ya Kati (Middle East) Mzee Ahamed Rajabu ameaga dunia muda mfupi. Ahamed Rajabu alikuwa kinara wa...
11 Reactions
90 Replies
6K Views
Habari za mchana wakuu, Ikiwaa tunaelekea mwisho wa mwaka 2024 huku wengine wakiwa njiani kuelekea nyumbani kwa ndugu jamaa na marafiki kwa ajili ya mapumziko ya Christmas na mwaka mpya...
30 Reactions
133 Replies
3K Views
Nawasilisha Bado nafikiria kulikuwa na ulazima gani wa CCm kuwahi kufanya maadhimisho ya miaka 48 wakati ingefaa na ingekua bora zaid kama wange fanya ikifikisha miaka 50 Au kuna sababu nyingine
2 Reactions
11 Replies
289 Views
1️⃣ Vyoo vya stand ya mabasi na daladala Mbagala Rangi Tatu viko katika hali mbaya sana! Uchafu umekithiri. 2️⃣ Abiria na wafanyabiashara wanateseka kila siku kwa sababu ya mazingira haya duni...
1 Reactions
24 Replies
397 Views
Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa? Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye...
20 Reactions
294 Replies
5K Views
Habari za leo Wanajamiiforums? Kwanza kabisa niwashukuru madaktari kwa Kazi nzuri mnayoendelea kufanya🙏. Ila challenge yangu ni hii.Je, Kuna daktari yeyote ambaye ana kitu cha ziada tofauti na...
5 Reactions
4 Replies
192 Views
Bro, chukua hii. Usijidanganye huyo mwanamke msomi na mwenye kazi uliyeoa kwamba hiyo elimu na kazi yake itakuwa na faida kwenye ndoa yenu Bro, wanawake ni wachoyo na wabinafsi kupita maelezo...
33 Reactions
106 Replies
2K Views
Mh Rais ikumbuke kata ya IJUGANYONDO iliyopo Manispaa ya BUKOBA MJINI maana kata hiyo Ina changamoto nyingi sana. Yaani huduma za kijamii hazipo katika kata hiyo.
4 Reactions
5 Replies
194 Views
Mimi ninaishi wilaya ya Temeke Dar es Salaam, ninahitaji kununua miche ya muda mfupi ya MACADEMIA, miche hiyo ipatikane Morogoro, Moshi na Dar es Salaam. Mnaomjua anayeiuza karibuni hapa uwanja ni...
2 Reactions
8 Replies
484 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…