Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu raia wa Burundi, Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu 'Chuma cha Chuma', kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela na kulipa faini ya TSh. 500,000 baada ya...
Wakuu, umeibuka wizi ambao ningependa kuwasilisha ili mamlaka husika ichukue hatua stahiki na kulinda heshima ya Jeshi la Polisi.
Jana, tarehe 4/2/2025, majira ya saa 1 jioni, majirani zangu...
Mahakama ya Afrika ya Haki ya Binadamu na Watu
Tanzania yaamriwa kufuta adhabu ya kifo katika Sheria ya Kanuni ya Adhabu, (Sura ya 16) ndani ya mwaka mmoja kutokea leo tarehe 5/2/2025. Maamuzi...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kati ya maombi 16 ya ‘aplikesheni’ yaliyopokelewa kwa ajili ya kutoa mikopo mtandaoni, manne pekee ndiyo yamekidhi vigezo na kupewa leseni za kukopesha, huku...
Baada ya Rais kuingia msikitini na mlinzi ambaye alidhaniwa kuwa ni mwanaume, shura ya maimamu walisema wanafuatilia tukio hilo na watatujulisha.
Kwanini wako kimya mpaka sasa? Je, walikurupuka?
Kuna kampuni ya kutoa mikopo mitandaoni inatumia majina ya "USTAWI LOAN, HAKIKA LOAN, YOYO PESA na BOBA CASH wanatoa viwango vya mikopo tofauti na wanachokitangaza mitandaoni. Mfano, kwenye app...
Wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo wamehoji juu ya usahihi wa takwimu alizopewa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa jengo la ghorofa lililoanguka Kariakoo Novemba 16, 2024 lilikuwa limebeba mizigo...
Ahmed Rajabu.
Mi naomba kuuliza kwa wenye kujua na hasa wafatiliaji wa vyombo vya habari kwa ujumla wake, kuna huyu mwandishi mkongwe aitwaye Ahmed rajabu, kwa mda mrefu nimekuwa nikiona anaalikwa...
Habarini,
Lilikuepo miaka ya elf 2 mwanzoni, kulikuwa likianza linaanza na wimbo wenye mistari hii
"Dada yangu amekwenda, amekwenda amekwenda na ukimwi,
Kaka yangu amekwenda, amekwenda...
Hii wadau ilikaaje? Mch. Christopher Mtikila. Msomi wa juu wa Sheria, mtu mwenye akili na ujasiri. Alisema wazi bila kuuma uma maneno. Kuwa aliyekuwa Rais wa Tanzania kipindi hicho ndugu kikwete...
Salaam wakuu,
Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.
Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko...
Watu wawili jinsia ya kike na kiume wanaodaiwa kuwa ni wapenzi wamekutwa wamefariki dunia katika mtaa wa Mkudi uliopo katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza huku chanzo cha tukio hilo kikidaiwa...
Saudi Arabia ni nchi ambayo inaongozwa kwa sheria ya dini ya Kiislamu yaani Sharia.
Tena ukiwa Saudi Arabia ni kosa kubwa kuishi na mwanamke ambaye haujamuoa.
Lakini Cristiano Ronaldo anaishi...
Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani umesema Serikali ina taarifa rasmi ya watu 24 wanaoaminika kuwa Watanzania wanaoshikiliwa na Mamlaka ya Uhamiaji na Forodha ya Marekani (ICE) kwa kuishi nchini...
mama watoto anakujia na form ya kujiunga shule private,
Chap chap jicho linaelekea kuangalia gharama, ada ina comma mbili, presha ishapanda
unashusha pumzi pengine labda anaweza kusaidia...
Kadiri uwezavyo nakushauri kijana epuka sana kuchora tatoo katika mwili wako. Kuna mambo mengi yamejificha nyuma ya uchoraji wa tatoo katika mwili wa binadamu. Tatoo hata kama unachora tatoo ya...
Inaonyesha kabisa hii marketing team ya mwekezaji mpya haipo serious.
Mixx by Yas ndo huduma gani? Haireflect chochote kinachohusiana na huduma za kifedha. Jina limekaa kama DJ wa vigodoro.
Hata...
Katika kipindi hiki, cha utawala wa Trump, kumekuwa na habari za kuhamasisha na kuangazia urejeleaji wa Watanzania 301 kutoka Marekani. Ref: Marekani yatoa orodha yenye watanzania 301...
Wananchi wa Tegeta Wazo mtaa wa Butterfly sports bar wanateseka na kelele zinazotokana na bar hiyo kukesha wiki nzima kuanzia Jumatatu mpaka Jumapili
MMida ya usiku wanafungulia sauti kubwa sana...