Mimi ni kijana ninaefanya kazi mahali fulani na muda wangu wa kazi ni usiku tu na huwa tupo wawili
Mimi na mwenzangu ambae tunabadilishana zamu.
Katika zamu yangu huwa wateja ni wengi hadi...
Nimesoma kisa cha patrickk na bado nafuatilia wakati tukiendelea kumsubiria naomba nami nishare na nyinyi historia ya maisha yangu kwa ufupi. nia visa humu ni kujifunza, kushauriana na kutiana...
Ndugu zangu tunapata taarifa nyingi toka kila pande ya nchi yetu pendwa ya Tanzania,Leo nimepata taarifa kuwa huko Sumbawanga MANISPAA madereva bajaji wamekaa kikao na kupandisha gharama za...
Habari wana JF,
Ninaomba kufahamishwa kuhusu mahitaji ya application ya international passport na visa, katika vipengele hivi,
Mahitaji muhimu
Kiasi cha fedha katika process yenyewe
Muda wa...
Rwanda nadhani kuna nchi wameisoma inaweza kutema au kutemeshwa tenda ya AFCON 2027.
Rwanda wanakarabati na kujenga viwanja kwa kasi kubwa sana.
Juzi ninemsikia Waziri wa Michezo Mh. Ndumbaro...
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna wakati ninapotaka kujibu au kuchangia hoja mbalimbali zinazoibuliwa na wadau humu JF,
.kuna kitu huwa kinanikwaza.
Unakuta kila nikijibu, mara neno...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewashikili na kuwahoji Wasichana wawili kutoka Vijibweni, Kigamboni wenye umri wa miaka 16 na 12, kwa madai ya kutengeneza mazingira ya kujiteka...
Juzi kupitia taarifa ya habari ya usiku Meneja wa TARURA Wilaya ya Urambo alipoulizwa na Baraza la Madiwani kuhusu hali mbaya ya barabara katika Wilaya hiyo bila kuogopa alitamka wazi kuwa ni muda...
Kwa Muda mrefu nimekuwa nikiona shida Kati ya Jamii hizi mbili yaan ni Bonge la ugomvi
Kanisa limeweka zuio la Mkarismatic yoyote kutokuingia ndani ya Jengo
Kupishana kwao kupo wazi.
Kanisa...
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema kuwa hadi kufikia Januari, 2025, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imekamilisha upelekaji wa umeme kwenye vijiji vyote 12,318...
Matumizi ya Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) yameanza kushika kasi Tanzania kutokana na gharama zake nafuu ikilinganishwa na mafuta ya petroli na dizeli. Tanzania ina akiba kubwa ya gesi asilia...
Ujumbe huu ufike Serikalini hasa kwa Wizara ya Afya, sasa hivi baadhi ya vituo vya maabara vinafanya kitu kimoja, ukienda kupima hata kama huna Typhod majibu yao ni una-typhod, unajikuta unatumia...
Sio kila unachokipanga ndicho kitakacho kamilika
Msemo uo umemkuta waziri mkuu wa Canada Justin trudeau
Aliingia madarakani mwaka 2015
- mpaka sasa
Justin trudeau alivyoingia madarakani akaja...
Wakuu,ebu tutoane ushamba kidogo hapa,mara kadhaa nikienda hotel au restaurant kubwa huwa nikiagiza msosi naletewa msosi na hutu tumajani,naomba kuuliza hutu tumajani huwa tunaitwaje na je huwa...
Mfanyabiashara mashuhuri Azim Dewji ametoa msimamo wa kamati ya maridhiano na amani kufuatia kutekwa na kuuwawa kwa kiongozi wa CHADEMA Mohammed Ali Kibao ambapo amesema, wanalaani vikali kitendo...
Nimehudumiwa mara mbili katika Kituo cha Afya Halmashauri ya Mji Tunduma maarufu kwa jina "Serikalini" Kata ya Majengo ambapo walilazimisha nitoe gharama za kumuona daktari licha ya kuwa mgonjwa...
Ndugu..
Ufukara tunajua ni laana na hakuna mtu anayetaka wala kutamani kuwafukara, Mungu mwenyewe alisema atatubariki na utajiri unatoka kwake na tukimuomba atatupatia na kutujazilishia vya...
Niaje waungwana
Kwanza kabla ya kuelezea sababu za jeshi letu kutokutoa kichapo kwa M23, naomba kwanza nianze kuwapa historia tukufu ya jeshi letu la JWTZ au TPDF kwa nchi mbali mbali za Africa...