Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam kupitia mapato yake ya ndani inaenda kukamilisha ujenzi wa kivuko cha Kaveso kilichopo Mtaa wa Amani. Kivuko hicho ni kiungo muhimu Kati ya kata ya Kimanga na...
1 Reactions
1 Replies
154 Views
Pita pita zangu katika mitandao nimeona mivutano ya hapa na pale mivutano hiko hivi:- A) wananchi wa Rwanda wanamaisha magumu kuliko wa Tanzania B)hapana wananchi wa Tanzania ndio wako na uchumi...
0 Reactions
2 Replies
102 Views
Sitatumia maandiko ya Dini Quran wala Bible, labda wataelewa kidogo, maana humu JF nimegundua wapo wengi, unaweza ukajikuta una chati hata na shetani directly, anapotosha Tuanzie kwenye...
56 Reactions
1K Replies
13K Views
Vyama vya kufa na kuzikana havina tija kwa muhusika anayechangia, kwa sababu atasubiriwa afe yeye au ndugu na jamaa ndipo chama kianze mchakato wa kumzika. Nilikuwa nashauri, kwa nini hivi vyama...
4 Reactions
2 Replies
113 Views
Wakuu noamba Muongozo wa kupata wafadhili katika kituo changu Ambacho kinahudumia watoto wenye mahitaji maalumu. Kituo hiki kipo Mikocheni, ndo kimeanzishwa hivi karibuni. Je, naomba kuuliza...
12 Reactions
96 Replies
2K Views
Ushindi wa Trump unaenda kua mwiba kwa hawa viongozi wa Africa wanaopenda kutembeza bakuli kuomba omba. Naona sasa dawa imepatikana. Hao mnaowatembezea bakuli na kila kukicha kwenda nchini kwao...
11 Reactions
11 Replies
647 Views
Leo kuna hitilafu kwenye main power supply line na kisababisha maneo ya North of Dsm kukosa umeme hili likitokea baada ya mkutano mkubwa wa nishati linamaana gani hasa kwa watawala na wananchi
2 Reactions
13 Replies
301 Views
Mitambo nane kati ya tisa inayojengwa katika Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere, imekamilika na mmoja uliobakia utakamilika mwishoni mwa mwezi huu. Kauli hiyo imetolewa bungeni jana Januari...
1 Reactions
8 Replies
236 Views
Japokuwa watu Usema kuwa wanzungu wana roho mbayaa za ubaguzi hasa kwa watu weusi huu ni uongo kabisa kwasisi ambao tunaishi katika nchi za wazungu tunaona tabia za mataifa mbali mbali. Ukweli ni...
17 Reactions
74 Replies
2K Views
Kwa kweli aliyekuja na mpango wa kupanua ujenzi wa Mwendokasi sijui kama alizingatia mipango ya awali ya namna jiji lenyewe lilivyo. Inaonekana kilichofanyika ni kujaribu kuleta plan mpya juu ya...
7 Reactions
32 Replies
834 Views
NISHATI: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Dkt. David Mathayo amesema Utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP), umefikia 95.83% na...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Hatarini za majukumu wana JAMIIFORUMS nimeandika uzi huu kuulizia au kujua bati imara na nikampunigani ya kuzalisha bati hapa nchini ina toa bati imara na inayodumu kwa muda mrefu bila kupauka...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Jumanne Juma(26), mkazi wa Mtaa wa Kimara B, wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam, ameuawa na watu aliokuwa akiwafanyia kazi za nyumbani kwa kumchoma na Petrol usiku wa Januari 23, 2025 wakidai...
5 Reactions
83 Replies
3K Views
Haki ya nani nikikutana na mwizi au tapeli wa aina yoyote nanunua petrol na kiberiti, kama sina hela namkanyaga shingoni paka afie hapo. Nina hasira kilo mbili na nusu.
5 Reactions
44 Replies
1K Views
Anonymous
Salaam wakuu Ni takribani mwezi na siku kadhaa tokea wakazi wa maneno ya Kinyerezi mpaka Kifuru na viunga vyake waone maji yakitoka katika mabomba yao ya maji ya Dawasa huku pakiwa hakuna taarifa...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Huyu ni Baba,Baba ana Ng'ombe, Ng'ombe wake ni Mweusi! Baba anasema, kimbia ng'ombe,kimbia upesi. Baba ana Njaa. Bado vipo wakuu?
5 Reactions
44 Replies
930 Views
Wakuu salaam kwenu. Imebidi niombe maoni yenu kwani Kuna tabia za ajabu ambazo kuishi nazo yataka moyo. Tumepiga kambi kwa kazi Fulani ya miezi sita Mimi na jamaa zangu watano,hivyo tupo jumla...
19 Reactions
89 Replies
2K Views
Wakuu aliyefanikiwa kufungua SLP Dar hivi karibuni naomba anijuze utaratibu wake. Pole sana mkuu. Tafuta post office iliyo active lakini iliyofunguliwa hivi karibuni. Nenda Ubungo bus terminal...
0 Reactions
145 Replies
65K Views
Nimeona habari ya viungo na mafuvu yanayodhaniwa kuwa ya mwanamke kupatikana kwenye chemba ya maji Tabata. Mambo ya kutisha sana πŸ€¦πŸ½β€β™€οΈπŸ˜”. Tukio gani la ajabu umeshawahi kulishuhudia huko mtaani...
0 Reactions
16 Replies
874 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…