Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Bro, Maisha mtaani ni magumu. Ukisikia ni magumu unaelewa, moja haikai mbili haisimami. Mbele hauendi, nyuma hakurudiki. Hauoni future.! Ni kama matumaini nayo yamekata tamaa. Unajaribu namna...
12 Reactions
21 Replies
872 Views
Watu wengine wanakufa kwa kuona aibu ya kwenda kanisani kuombewa uponyaji wa ugonjwa Uponyaji ni nini Uponyaji ni tendo la kiimani la kupokea uzima katika roho au mwili kwa njia ya kuombewa...
4 Reactions
19 Replies
305 Views
Leo ningependa nizungumze na ndugu zangu Wachaga na wanipe ufafanuzi kuhusiana na madai yangu. Ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii utakutana na machapisho mengi yanayozungumzia sana ndugu zetu...
19 Reactions
127 Replies
7K Views
Wakuu hamjamboni nyote... Nadhani wote mnamfatilia Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa na Kada Kindakindaki wa Chama Cha Mapinduzi, Namna anavyozungumzia uongozi uliopo wa CCM na serikali kwa mtazamo...
1 Reactions
10 Replies
467 Views
Tangu nikiwa shule ya msingi nimekuwa nikisikia habari za mto nile. Mto nile ndio mkubwa zaidi barani Africa na chanzo cha maji yake ni ziwa victoria. Misri wanautumia mto huo kwa kilimo cha...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Polisi wapo kila kona ya mkoa wa Dar es Salaam, hawa waliokosa elimu na fedha kwanini wanasumbua mitaani.? Hapa najiuliza kodi(PAYE) yangu ni zaidi ya Tsh500,000/=...
2 Reactions
5 Replies
404 Views
Ningependa kufahamu maslahi ya hawa waheshimiwa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu 1. Mishahara, 2. GARI VX/V8(SUV) zenye utambulisho maalum (JR, J), 3. Ulinzi, 4. Dereva, 5. Nyumba, 6. Posho ya...
9 Reactions
95 Replies
8K Views
Baada ya kuona wataalamu mbalimbali wakishauri tutumie zaidi mafuta ya kupikia yatokanayo na wanyama badala ya mbegu nimeona mafuta ya nguruwe yatanifaa. Nimepata wazo la kwenda kuyanunua buchani...
0 Reactions
14 Replies
345 Views
Habari zenu wana janvi Leo nitajibu maswali yote yanayohusiana na utalii wa ndani na nje pamoja na shughuli za kitamaduni zinazofanyika katika aina hizi za utalii. Nitajibu maswali yote kwa...
0 Reactions
17 Replies
291 Views
Kila mmoja wetu anashuhudia kinacho endelea Marekani Chini Ya Truph kuhusu kudhibiti suala la wahamiaji haramu. Naunga Mkono zoezi hilo kwa maslahi ya usalama wa nchi. Sisi pia Tanzania kupitia...
0 Reactions
0 Replies
212 Views
Hii mambo isipofuatiliwa Kwa ukaribu itaathiri vibaya soko la mazao ya Mifugo na huenda Nchi zingine zikafuata Kwa hofu tuu. Je Kuna mripuko wa Magonjwa hayo ya Mifugo...
1 Reactions
1 Replies
107 Views
Kuna walimu wakuu shule za msingi takribani 19 wameenguliwa nafasi zao bila Sababu za msingi. Jambo la ajabu ni kwamba:- 1. Walimu hao 19 wamepokea barua za onyo mwezi January Mwaka huu. Barua za...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari wanaJF ukweli huu mji umekithiri kwa uchafu si ajabu kukuta taka zimetupwa sehemu yoyote mtu anapojiskia na hakuna anayekemea. Kamati ya Mazingira itakuwa wako likizo mpaka warudi mambo...
1 Reactions
11 Replies
269 Views
Hapa watumishi wengi watajua/wanajua wanachukua pesa walizo wekeza kwenye mfuko ( michango yao ya kwenye mfuko ) kitu ambacho sio sahihi. Mifuko ilicho kifanya (Sheria mpya inavyo sema) michango...
8 Reactions
20 Replies
6K Views
Kwa nyakati kadhaa viongozi wa serikali na CCM wamekuwa wakisema nchi Iko shwari, watu wako huru wanafanya siasa zao bila shida. Yani kiufupi hakuna tatizo lolote. Lakini watu hao hao utasikia...
1 Reactions
3 Replies
196 Views
Kwanini USA wanalazimisha nchi nyingi Duniani kutumia Dollar ili kununua vitu Kimataifa?. Kwanini USA wanawapandishia kodi Nchi nyigne kuna nini hapo au ni kwamba USA ndo Great Market in This...
1 Reactions
10 Replies
266 Views
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Mradi wa Kuimarisha Miundombinu ya Upimaji na Ramani (LDI) imeendesha semina ya kuwajengea uwezo wadau wa mradi huo kutoka taasisi mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
104 Views
Pick up za kichina zilizoanza kutumika na Polisi kipindi cha Mkutano wa Nishati bado zinazurula barabarani, hasa Pugu Road. Tena zinaendeshwa kwa mwendo wa hatari zikienda na kurudi kupitia njia...
1 Reactions
12 Replies
352 Views
Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari...
77 Reactions
272 Replies
25K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…