Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Sasa ni rasmi kwamba mkataba wa ununuzi wa umeme (PPA) kati ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na Songas umemalizika rasmi jana Oktoba 31, 2024. Hatua hii inaiweka Songas kwenye njia ya kudai...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimeona nitoe taaluma hapa kusaidia jamii Ukilala usiku hasa hasa kama nyumba haina madirisha ya kuingiza hewa ya kutosha kisha ukaingiza jiko la mkaa kinachotokea ni kwamba hewa ya oxygen iliyopo...
7 Reactions
19 Replies
709 Views
Huyu ni naibu waziri wa nishati, Amevaa saa mkono wa kulia, kapiga picha inayoenda kwa umma mdomo wazi Vyote sio tatizo issue kuvaa saa mkono wa kulia navyojua ni uhuni, Mwanaume anapaswa kuvaa...
2 Reactions
30 Replies
992 Views
Hii ni Nukuu kutoka kwa aliyewahi kuwa Waziri Zambia. Bw. Kapwepwe. Ingawa yeye Kitenge kwa kuwa ni bwege hajaweka kama nukuu. Yaani kajifanya kama ndo yeye kaandika. Sisi wajuvi tunaelewa...
11 Reactions
22 Replies
993 Views
Wanajamvi ikiwa leo ni jumapili tukufu huku tukisherekea sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar binafsi nina jambo linalonishangaza. Ambalo ni michango inayoitwa ya Bima ya afya inayochukuliwa na vyuo...
0 Reactions
1 Replies
161 Views
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagamana na ujumbe wake akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam wengine Desemba...
1 Reactions
1 Replies
216 Views
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akiambatana na ujumbe wake kutoka Tanzania akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
206 Views
Hapa nazungumzia kuimarisha mapenzi katika mahusiano ya kawaida au kwa namna nyingine mahusiano ambayo sio ya kimapenzi Kwanza ni kuonyesha unavutiwa na mambo ya rafiki zako au watu ambao huwa...
3 Reactions
1 Replies
161 Views
Wamerekani jaribu kutuonea huruma msije mkazuia kutupa Dawa za Ukimwi. Maana hata miaka ya 1990s Dawa zilikuepo but it was too expensive. I lost 8 siblings and two parents . Aisee itakuwa noma
5 Reactions
26 Replies
572 Views
Nakumbuka hata neno ukimwi likitajwa ,moyo wako unaenda mbio sana maana ilionekana ni mtoa roho. Hata kuna jamaa walikuwa wakikonda ghafla kidogo walikuwa wakihusishwa kuwa na ngoma. Yani ilikuwa...
2 Reactions
47 Replies
752 Views
Ni DAUDI KANYAU. Mali zake zashikiliwa.
2 Reactions
157 Replies
64K Views
Mimi Hadi Sasa sikuelewa umuhumu wa kuleta ARV, ARV zisingekuwepo HIV Sasa isingekuwepo walio na maambukizi wangekuwa wameshakufa wote wakabaki wasio na maambukizi badala yake idadi ya walionao...
14 Reactions
52 Replies
1K Views
Ndugu wataalam wa fedha, wachumi na wabobevu wa mambo ya pesa. Nauliza ni benki gani inatoa mikopo walau yenye riba nafuu kwa waajiriwa wa serikali, kuna mfanyakazi mwenzangu amekopa benki moja...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Hiki kipindi cha sasa hivi vifo vya namna hii vimekuwa vingi sana.Sio kwamba nipo hapa kuwalaumu la hasha bali nipo hapa kutaka kujua kulikoni siku hizi wakuu? Ipo hivi kuna hospital moja huku...
11 Reactions
65 Replies
2K Views
Painuliwe juu vizuri, pawekwe level, pachimbwe mitaro mipana iliyoenda chini vya kutosha na ijengewe vizuri (water drainage canals). Padizainiwe garden moja kali sana, yawekwe mabenchi ya zege...
6 Reactions
40 Replies
6K Views
Hi, Guys hivi unatumia siku ngapi kumaliza mshahara wako wote mimi kwangu huwa siku tano naanza kukopa tenaa yaani upya ila nikipata tu kabla sijalipa madeni natenga 30000 ya kula kitu...
16 Reactions
93 Replies
5K Views
Wakubwa shikamooni rika langu habarini za mchana. Labda nianze kwa kisa hiki ili nipate kueleweka kisa chenyewe ni hiki hapa. Nlipata kusimuliwa na mtu wangu wa karibu sana juu ya raia wa nchi...
2 Reactions
0 Replies
123 Views
Baada ya Trump kusitisha misaada yote ya Marekani kwa kila kitu na kote duniani bila shaka kundi mojawapo la watu ambao watakuwa wamefurahia ni wale wajinga ambao hupinga matumizi ya...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Bunda high school zamani ikijulikana kama Bunda day ilianzishwa kama shule ya tarafa mwaka 1990. Tunaweza kusema ni kati ya shule kongwe wilayani Bunda. Kwa sasa ina vidato vyote kuanzia kidato...
0 Reactions
4 Replies
320 Views
Back
Top Bottom