Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

UZINGATIVU WA JINSIA: MFUMO DUME BADO KIKWAZO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII Utamaduni wa mfumo dume katika jamii umeelezwa ni mojawapo ya sababu za kutozingatia uandishi wa masuala ya kijinsia...
0 Reactions
4 Replies
165 Views
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amesema kuwa hospitali zote za umma na binafsi zinapaswa kuwahudumia wajawazito na wagonjwa wa dharura bila masharti ya malipo ya awali. Ametoa kauli...
7 Reactions
22 Replies
626 Views
Nchi hii imebarikiwa sana na huu ndo ukweli halisi, Si mbunga za wanyama, ardhi zenye rutuba, mito, mistu maziwa, Bahari na madini vyote hivi vinapatikana Tanzania achilia mbali ambavyo sijataja...
3 Reactions
23 Replies
572 Views
Kuhamasishwa au kuhamasika kupitia wahamasishaji "motivational speakers" au njia nyingine yoyote ile ni kama cheche ya kuwasha moto ndani yako na kitakachokufanya uendeleze moto uliowashwa siyo...
1 Reactions
0 Replies
89 Views
Hii nchi unaweza kudhani watu wamesoma basi wana akili timamu, lakini la hasha! Kitendo cha hawa watu wa sheria kupiga muziki mkubwa kiasi cha kuondoa utulivu kwa jinsi muziki ulivyo mzito...
2 Reactions
8 Replies
166 Views
Leo ni siku ya pili Internet yao inaandika "sign in to network" mara "network not available " toka jana wananambia suala lako linashughulikiwa ndan ya masaa 6. katika masaa 48 je kuna masaa 6...
2 Reactions
0 Replies
105 Views
Baada ya ile operesheni ya Mhe. Jakaya Kikwete katika hawamu ya nne na kwa kuzingatia ule ushauri uliotolewa na mkuu wa majeshi CDF ,serikali inahitaji kuchukua hatua za haraka sana iwezekanavyo...
0 Reactions
2 Replies
161 Views
Kauli hii imetolewa bungeni na naibu waziri wa afya Bwana Moleli. Amesema serikali imekuwa ikitumia kiasi kikubwa Cha pesa kugharamia wajawazito. Hii imekuja wakati baadhi ya wabunge walipotaka...
3 Reactions
19 Replies
519 Views
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga akizungumza na uongozi wa Gereza la Wilaya ya Babati mara baada ya kufanya ukaguzi wa utekelezaji wa utumiaji wa Nishati safi ya kupikia...
1 Reactions
4 Replies
184 Views
Niliona bwana mdogo aliandika uzi mmoja kihuni asubuhi baada ya ku report ukatolewa. Narudia mimi siyo fyatu. Ni mmoja ya watu wachache sana wenye akili humu ndani. Michango yangu mara nyingi...
3 Reactions
3 Replies
187 Views
Wanaotumia yas ( zamani tigo ) wanajua kinachoendelea. Tunakubali kuwa huwa kuna Changamoto za kiufundi ila tatizo linapozidi siku mbili unakuwa ni aidha upuuzi, uzembe au kwa lugha kali Ujinga!
2 Reactions
16 Replies
398 Views
Kila siku utasikia mabeberu wanatuibia malighafi! Bara letu tajiri sana! Africa kuna malighafi gani na utajiri gani wa maana?
3 Reactions
25 Replies
469 Views
Juzi nilifungua simu yangu ya smart nikakutana na clip ya mchungaji flani sikuweza kujua ni wa kanisa gani ila maneno yake ni ya kweli kwa utafiti wangu hebu tuone alisemaje Ukiona mtu amekukosea...
0 Reactions
2 Replies
225 Views
Kwa uzalendo wa hali ya juu na kuthamini vya kwetu, ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya watu wakichafua mazingira kwa kutupa taka hovyo, hasa kandokando ya mito inayoingiza maji katika Ziwa...
0 Reactions
2 Replies
177 Views
Hii Radio ilikuwa ukisimama yashika stations zote ukiketi Hazifanyi ...na battery zikiisha Unaskia chwiiih tutuh sound
3 Reactions
7 Replies
294 Views
Baada ya ukimya wa muda mrefu, hatimaye Edigar Mwakabela maarufu kama Sativa ameweka ujumbe unaotoa dokezo kuwa Jeshi la Polisi ndilo lilihusika kumteka wakiwa na lengo la kumuua. Amesema ujumbe...
3 Reactions
84 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Naombeni mtupe Aya tafadhali vinginevyo kaeni kimya Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Je, majini hao watapewa zawadi ya mabikira takriban 70 kama ilivyo kwa...
1 Reactions
52 Replies
799 Views
NCHI INAZAMA KWA KUKUMBATIA UJINGA Je, umewahi kujiuliza kwa nini nchi hii haipigi hatua licha ya kuwa na rasilimali, amani, na nafasi za kujikwamua? Sababu iko wazi: tunakumbatia ujinga na...
8 Reactions
53 Replies
864 Views
Hawa ni baadhi tu ya wanaume waliotikisa na kuendelea kutikisa baadhi ya maeneo hapa dunia katika kizazi hiki cha 2000, Ni baadhi tu na nitakuja kushusha nondo zao hivi punde, na kama wewe pia...
0 Reactions
6 Replies
331 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…