Kama itatokea mtu mwenye nguvu na ushawishi ndani ya CCM na akaamua kuhamia Chadema kumchallange Mh Samia, itakuwa rahisi zaidi kwa Chadema kuchukua nchi kuliko kumsimamisha Tundu Lisu .
Huyu mtu...
Nimewaza tu kwamba mtu akinunua bidhaa (mfano: smartphone ya 300,000/=) Muuza duka amuulize na Nambari yake ya NIDA ili jina la mnunuzi litokee kwenye receipt ya EFD, "automatically"
Nimewaza tu...
Nilikuwa na mgonjwa wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na Saratarani, alikuwa anapatiwa huduma Ocean Road, tukiwa hapo tukapata referral ya kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Upanga), Dar es...
Bangi ni moja ya mimea ambayo imekuwa ikizua mijadala mingi duniani kutokana na matumizi yake katika maeneo mbalimbali kama vile tiba, burudani, na hata biashara.
Angalizo! Mawazo ya mwandishi...
Katika jamii ya kisasa, ambapo maendeleo ya sayansi na teknolojia yanazidi kuimarika, kuna wachungaji na viongozi wa dini ambao wanadai uwezo wa kufanya miujiza, ikiwa ni pamoja na kuponya...
Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule.
Mie nahisi kuna jambo nyuma ya...
Wakuu nimebahatika kupanga huku mitaa ya gongo la mboto, mombasa sasa hapa nilipopanga huyu bwana mdogo dada kaolewa hapa na mwanajeshi basi kijana anaona kamaliza asalimii wakubwa na wakubwa...
Katia safari ya maendeleo kama binadamu tumefanya mengi ya kustaajabu, kuanzia kuvumbua vifaa vya mawasiliano vya masafa ya mbali mpaka roketi lakini hamna cha msingi tulichofanya zaidi ya...
Nawapa test kama ile test nabii Eliya aliyowapa manabii wa mungu wa uongo Baali. Waiteni kwenye makusanyiko yenu amputees( watu waliopoteza mikono au miguu) muwaombee warudishiwe viungo vyao. Si...
Licha ya Biblia kuonesha wazi umuhimu wa huduma ya unabii bado huduma hii inapitia changamoto kubwa za ndani kuliko nje. Kutokana na uchunguzi nilioufanya katika makanisa matano ya kiroho katika...
Habari ya mwaka mpya 2025,
Naomba uliza je hawa wachungaji / MANABII / pastor wa makanisa ya ki-leo haya ya kinabiii , ki mitume , haya ambayo muumini ananunua maji ya upako ambayo yana...
Kila siku kualika watu waje kwenye makutaniko yenu ili wapate miujiza ya uponyaji. Slogan zenu za WAGONJWA WATAOMBEWA nataka muonyeshe kama kweli huyo Yesu Kristo anatenda kazi pamoja na ninyi...
Wakuu kuna mtoto wangu kaanza shule mwaka huu, chekechea ada yake ni milioni 1.5 ukijumlisha na vikorokoro vingine inaweza fika jumla milioni 1.7
Sio muumini sana wa hizi shule, ila mama yake...
Wasalaam.
Mahubiri mengi kwa hawa mitume na manabii wa kisasa yamejaa uchonganishi, manipulation, saikolojia na neno kidogo. Mengine yote sinashida nayo shida ni hii ambayo pia hata waganga huwa...
Habari wakuu,
Hapa bongo tuna manabii na mitume wa kutosha tena ni wengi kuliko hata wale wa israel wa kule kwa Netanyau kama vile Matayo, samwel, petro, yuda, timo na warumi.
Hapa tunao...
Huwa naandika kila cent nitakayoitumia. Mpaka sasa tangu tar 1, nimetumia Tsh 1,191,200. Kwenye personal issue. Sadaka inahusisha ndugu jamaa na marafiki.
Kuna sheria za Marekani za ajabu imagine uki mdivorce mke wako mgao wa mali pasu pasu . Trump amependekeza kuifuta hiyo sheria ametuwakilisha vyema wanaume. Mwanamke anatakiwa aondoke na begi...
N:B: shule za kata nyingi bado zina changamoto kibao, ukiwa na uwezo peleka mtoto shule nzuri umpunguzie changamoto zinazoingilia elimu yake.
Mtu aliyesoma kwenye mazingira duni na bado akawa...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Kitengo cha Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya, imeshiriki rasmi uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yaliyoanza leo, tarehe 25...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.