Huu ugongwa wa kupoteza kumbukumbu(dementia) ni common sana kwa watu hasa wazee kuugua huko Marekani na Ulaya.
Kwa hapa bongo ni nadra sana kukutana na mtu anayegua ugonjwa wa kupoteza...
=>HOW ARE YOU GOING TO CONQUER THE MAN WITH THE SPIRIT OF VICTORY?
=> Mshindi Huwezi Kumshusha.
=> Mshindi Huwezi Kumuangamiza.
=> Mshindi Huwezi Kumtishia.
=> Mshindi Huwezi Kumshinda.
#Said...
Habari wana jamii forum.
Kwa nini pindi inapotokea hitilafu katika treni ya SGR huwa ni vigumu kwa TRC kutoa taarifa kama wafanyavyo mashirika ya ndege.
Unakuta treni ilitakiwa kufika kituo...
Ndugu yangu, kila mtu afanye kwa uwezo wa mkono wake unapofikia.
mbona wewe ukienda pub kuonja kidogo, unavutiaga watoto wazuri wa gharama ya juu, ushawahi kusikia DJ au bartender analalamika...
Kum 28:12: Atakufunulia BWANA hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake, na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Kikosi maalum cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa Kushirikiana na Wananchi kinaendelea na Operesheni ya kuwatafuta na kuwaokoa...
Wakuu nimejaribu kutafakari kidogo kwa haraka, pamoja na uwepo wa Mheshimiwa Doto Biteko kama msaidizi wa waziri mkuu wa sasa Mheshimiwa Kassim Majaliwa.
Naona bado kuna namna Mheshimiwa...
Habari zenu wadau
Leo ni kwa mara pili naota watu wanataka kunipa kesi ndoto ya kwanza mwaka huu
Niliota watu wanataka kunipa kesi katika mauwaji wa albino yaliyotokea wakawa wananitafuta mimi...
Nitoe wito kwa mamlaka zinazohusika kushugulikia uharibifu uliofanywa na mvua katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, barabara ya kutokea Pasua kuelekea Mahembe iliyosombwa na maji, imesababisha...
Hii inaniuma sana
Mara kadhaa alikuwa anaenda kwa mkuu wa wilaya kufatilia pesa zake ila alikuwa anapigwa tarehe..
Shujaa huyu pesa zake zimaliwa na Vigogo wachache
Uuzi tayari
Ninahitaji kuongeza account kati ya benki hizo mbili Crdb na Nmb.
Nakumbuka hapo zamani Crdb na Nmb process zilikuwa ndefu sana wiki 1 hadi 2
Mambo yamebadilika ????
Napendekeza kuanzishwa kwa app ya 'TRA EFD machine' itakayokuwa installed kwenye smartphone za wafanyabiashara ambapo itatumika kama mbadala wa EFD machine zilizozoeleka. Kwa sasa mashine moja ya...
Morng
Ase naota nipo karobu sana na rais si mara ya kwaza kabisa inakuja na kuondoka sasa sijajua ina maana gani mda mwingine asipo kuwa rais bas ni viongozi wakubwa wakubwa mfano kabudi embu...
Wakuu,
Mimi Sina mengi na Sio mtaalamu wa Sheria naomba kujua hizi pesa za michango yetu tunavokatwa na muajiri tunazipataje pataje?
Ahsanteni sana wakuu
Sent from my Pixel 3a XL using...
Hadi kufikia maamuzi haya ya kutaka kuondoka nchi yangu kuna mambo mbalimbali ambayo kila siku yananipa mawazo.
Mambo yanayonikosea furaha
1. Ugumu wa kupatata ajira yenye mshahara mkubwa.
2...
Nimemsikia nabii mmoja wa Arusha ambaye ana cheo cha daktari wa falsafa (PhD) akifundisha kwenye radio yake kwamba Mungu hujifunua kwa majina tofauti kila anapofanya agano. Sasa ananukuu pale...
Nichukue nafasi hii kumpongeza ndugu LIKUD kwa jitihada zake za kuziheshimisha shule za serikali ingawa sio kwa njia nzuri sana inayokubalika. Kuziinua St Kayumba kwa kuziponda EMs sio namna...
Mwenye hii Bajaji simfahamu, Lakini kwa Upendo wake ameamua tu kuitangaza kampuni yetu bila malipo na yuko very Proud
Najua anafuatilia page yangu. Namuomba aende Bunju leo akachukue shs 500,000...
Wakuu wa Nchi za Afrika) wanakuja kujifunza namna ambavyo nchi yetu imepiga hatua kubwa kwenye uzalishaji wa umeme, sasa hivi tunazalisha umeme ambao ni zaidi ya mahitaji yetu, uwezo wetu wa umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.