Wakuu,
Shirika la Taifa la Bima NHI hivi karibuni limebadilisha bei na majina ya vifurushi vyake.
Mabadiliko haya yalitangazwa tangu December 17th 2024 na sasa umepita takriban mwezi mmoja tangu...
Kusaidiana Kwa binadamu ni desturi nzuri
Kumsaidia mpenzi wako katika changamoto mbalimbali za kiuchumi ni jambo la kawaida na muhimu kwenye mahusiano.
Yaani unamsaidia mpenzi wako kwasababu...
Sayarai za Jupiter, Saturn, Mars na Venus zitaonekana angani katika maeneno mbali mbali mwezi huu kuanzia leo
Tazama magharibi baada ya machweo kwa ajili ya kuona sayari ya Venus na Saturn...
Eti wakuu, kwa Karne ya sasa kuna umuhimu gani wa kuendelea kuwa na Primary Schools kama Bunge pale kati kati kabisa ya Mji?? Lengo ni nini?? Tena shule ya serikali, shule zinazofahamika kwa kuwa...
Vitu vya kupewa Bure wewe unavinunua Kwa hela , hela yenyewe ndogo. Wenzako wanauziwa Dola elfu 30 Kwa mwaka wewe unauziwa Dola elfu moja Kwa mwaka. Huoni kwamba unapigwa?
Unazidiwa na wale...
Nabii Geordavie amesema kwamba endapo Yesu angerudi leo, angehitaji kutumia gari lake na kumtaka amfuate uwanja wa ndege kwa ajili ya msafara wa hadhi yake. Nabii huyo alieleza kuwa Yesu angekuwa...
Karibu kwenye safari yetu ya kusisimua ya Serengeti, ambako mandhari ya pori ni ya kupendeza na wanyama wanaotembea kwa majivuno chini ya jua kali! Mimi ndiye mwongozo wako, na leo tunaendesha...
Wapo vijana maskini wa akili ambao wataona Mimi Nina wivu ama chuki dhidi ya huyu jamaa anae jiita Chief Godlove.
Huyu jamaa kimsingi ni tapeli ambae amekuwa akiwatapeli maskini pesa zao.
Mwanzo...
Serikali imetangaza kwamba ili kuwapunguzia wananchi adha ya foleni wakati wa mkutano wa viongozi wa Afrika unaonza keshokutwa, wageni watakuwa wakitumia njia ya mwendokasi kwenda na kurudi Uwanja...
Hello guys!!
Yani naomba niweke wazi mimi sichukii dini ya mwengine lakini kwa hili la channel ten plus you guys sjui mlifikiria nini.
Kunaye huyo mchungaji ni anaoga tope anagara gara, anaoga...
Miradi mingi ya Serikali hasa za barabara imesimama na Wakandarasi wengi wamekimbia kutoka kwenye maeneo ya kazi. Mfano hai hapa Mwanza kuna miradi inayotekelezwa JASCO ya barabara za lami. Huyu...
Kucheleweshwa kwa Malipo ya Miradi kwa Wakandarasi Wazawa Nchini Tanzania: Changamoto na Athari
1. Utangulizi Kucheleweshwa kwa malipo ya miradi ni changamoto kubwa inayokumba wakandarasi wazawa...
Habari za muda huu wana JF??
Nimekutana na video moja mitandaoni iliyorekodiwa na muumini wa dini ya Kiislam akilalamikia Kanisa lililopo karibu na Msikiti alipokua anakwenda kufanya ibada na...
Moderator naomba uache Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Sabato njema
Naye akiisha kusema hayo, akawavuvia...
Hasira zangu zipo karibu sana napenda kuwa mtu Ambae sio wa kukasirika mara kwa mara ila inatokea tu ntakuwa mtu wa kupanic bila sababu tena hasira zikiisha najua kabisa nilikosea.
Hali hii...
Kuna kesi moja nimekutana nayo; kuna wazazi waliokuwa na watoto wa kike watatu hawapishani sana miaka kama 10,8 na 7. Basi binti mmoja wa kati 8 alikuwa ana tabia tabia za psychopath tangia awali...
Nabii Mkuu Dkt. GeorDavie ameweka wazi kuwa ametoa magari takriban 200 kwa waumini wake kama sehemu ya kuwasaidia kiuchumi na kiimani. Akizungumza katika mahojiano na Salim Kikeke, alisema kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.