Once in a life time!
Watazamaji na mashabiki wa anga wanatazamiwa kupata burudani ya kipekee ya angani kwani sayari sita - Mihiri, Jupita, Venus, Zohali, Neptune, na Uranus - zote zitaonekana...
Ni wiki sasa mfumo wa kukata Leseni za biashara kupitia TAUSI haufanyikazi na hata ule wa TRA haupo sawa. Je kuna tatizo ama ndiyo tujiandae kukadiliwa kama zamani na kupata leseni za biashara...
Namba 9 katika numerolojia ni namba ya mwisho Kwa sababu Kila namba katika maarifa hayo Inaweza kupunguzwa na kuwa dijiti moja. Inawezekana pia baadhi ya wataalamu kupunguza namba kuu "master...
Kuna hujuma zinazotendeka kwenye mfumo wa TAUSI kipindi wanapoweka kuhusu upatikanaji wa maeneo yanayouzwa kupitia mfumo wenu.
Wanapo tangaza kuhusu maeneo wanayo yauza cha kushangaza hiyo tarehe...
Nimekaa hapa nabarizi natazama runinga ya Taifa zamani TVT kwa sasa TBC namwona pascal Mayala katika banda la TCRA...Pascal kwanini dada wa mwisho ambae ni mteja katika banda hilo mmeandika jina...
Genetically modified foods au organisms ni janga la dunia,pamoja na sisi tulioko JamiiForums.
Mwenzetu Dr Richard Mbunda ambaye anakerwa na GMOs, amemuandikia Rais barua ya wazi akieleza kwa kina...
Nimetapeliwa na mtu aliyedai ni afisa mikopo wa Mo Dewji Foundation kwa kunilaghai nikope mikopo nafuu Kwa riba ndogo, ila nitoke dhamana ya asilimia 10. Nilitoa shs 35,000 na kulipa katika namba...
Baada ya taarifa za kupotea kwa Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi ambaye hakurudi nyumbani kwake toka alipoingia kazini December 11, 2024 Jijini Dar es salaam, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
Katika siku za karibuni, kumekuwa na matukio ya watu kutekwa na kupelekwa kusikojulikana, hali inayozua hofu kwa Watanzania wengi pamoja na familia, ndugu, jamaa, na marafiki.
Hivi karibuni...
Ujue unafiki tuweke pembeni!
Adui akikosa na wewe kama una mmudu malizana nae
Laiti mbowe angeshinda wale watoto walikuwa wameandaa masimango makubwa hatari!
Haya ni machache tu!
1. Wafuasi wa...
Watu mashuhuri huwa wanakutana kwa ajili ya mkutano wa World Economic Forum huko Davos hii hupelekea kushahimiri kwa biashara nyingine zinazozunguka mji huo ikiwemo ya ukahaba.
Huwa wanakutana...
Andiko hili ni mwendelezo wa kilichoandikwa katika Makala iliyopita ambayo ilielezea yanayofanyika nyuma ya pazia kwenye nyumba za ibada hasa katika makanisa maarufu kwa jina la 'Makanisa ya...
Kweli hakuna aijuwaye kesho yake.
Dar umenihifadhi tumehifadhiana kwa wivu mkubwa .
Ila hakuna marefu yasiyo na ncha.
Nimeondoka hivyo ubakie salama.
Nitamiss, raha na karaha zako.
Till we...
Dogo (mtoto wa Bro ) anamiezi mitatu ya Ajira Mpya bila kupokea Mshahara.
Katika jitihada za kujua nini sababu, akagundua akaunti Namba iliyowekwa kupokea Mshahara, sio yakwake .
Na anadai...
Wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalumu tukutane hapa.
Autism (Usonji)
Visual impairment -kutokuona
Hearing impairment- kutosia
Ulemavu wa viongo n.k
Kuna kituo kizuri Sana kina na boarding...
Watanzania wengi hawapendi kujua ukweli. Nadhani hulka hii inatokana na wananchi kufungiwa nchini mwao na hivyo kukosa nafasi ya kuona jinsi nchi zingine zilivyoendelea.
Kuna siku Lema alisema...
Wavuvi 540 waliokuwaa wanafanya shughuli za Uvuvi katika Ziwa Rukwa wameokolewa na Wavuvi 10 wanaendelea kutafutwa kufuatia upepo mkali uliotokea mnamo tarehe 23 Januari 2025 katika ziwa Rukwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.