Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mimi ni miongoni wa wakereketwa kutokana na hizi simu za marketing za DSTV. Wamekuja na njia mpya ya kupigia watu simu kwa namba tofauti tofauti binafsi. Kama mtu hajalipia kifurishi kwa muda...
11 Reactions
20 Replies
580 Views
Nafikiria kuelekea nchini Malawi kwa ajili ya kuangalia Fursa mbalimbali za kibiashara Kwa anayeifahamu vizuri nchi hii anisaidie majibu ya maswali haya 1.Gharama za maisha zipoje mfano...
1 Reactions
39 Replies
9K Views
Nilikuwa siamini Ile kauli ya Vyama vya Upinzani kulambishwa Asali Ili wakae Kimya, lakini kwa namna mambo yanavyoenda naamini kabisa kuwa Wamelamba. Haiwezekani Umeme ukatike hovyo hovyo bila...
2 Reactions
23 Replies
889 Views
Kwema Wakuu! Nimeshawahi kuishi Mafinga mara kadhaa lakini sijawahi kuona baridi kama ya Juzi jumatatu tarehe 19. Dadeki baridi mpaka ukungu weñye barafu nyepesi ilikuwa inadondoka. Nimefika Saa...
36 Reactions
196 Replies
6K Views
Nilikuwa na Wake Wengi Kabla Sijaokoka . Sasa Nimeokoka , Je! Niwaache? Je Mkristo Kuwa na Wake Wengi Ni Dhambi? [emoji94][emoji94][emoji94][emoji94][emoji94] [emoji2399] Mwl. Akidu 0628366559...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna watu maarufu ambao wamewahi kutembelea Tanzania, na kwa namna moja au nyingine kuwa chachu ya mwamko wa kisiasa nchini. Tumetembelewa na watu kama Fidel Castro, Che Guevara, Nelson Mandela...
8 Reactions
117 Replies
3K Views
https://www.youtube.com/live/P1Wh1QZrawc Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali atakuwa akiongea na Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Morogoro na...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Jaribu kutafakari hili siku ya leo. Dunia ina maisha ya watu ya aina tatu tu. (Kundi A wazee wa tabu) 1. Kuna watakaopata taabu duniani na wakifa...
7 Reactions
22 Replies
312 Views
Salamu wana jukwaa Nimekuwa nikijiuliza je mamlaka husika zineshindwa kabisa kusitisha matumizi ya namba za simu zisizosajiliwa? Hizi jumbe za tuma hela kwenye namba hii zimekuwa ni nyingi sana...
2 Reactions
7 Replies
212 Views
Profesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa...
46 Reactions
661 Replies
35K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa wawili kuhusiana na taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kunusurika kuuawa, kutekwa na kupigwa nyundo kichwani kwa raia...
0 Reactions
1 Replies
183 Views
1. Kushindwa kujidhibiti na kuwajibika. 2. Kukojoa kitandani kwa Watoto katika umri makubwa na Hata watu wazima. 3. Kukosa utulivu pamoja na kulipa kisasi. 4. Kukata Tamaa Baada ya kugunduliwa...
1 Reactions
0 Replies
87 Views
Habari zenu wakuu, natumaini mko poa. Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi? Kama linafanya kazi stakeholder na...
10 Reactions
142 Replies
12K Views
Nipo Tanga kama siku ya tano hivi nikitokea Moshi, aisee Jiji limepoa kishenzi kama Singida yani sijaona ujenzi mkubwa unaoendelea hapa hata wagorofa tatu, na kwenye viwanda tulimopita kuomba kazi...
29 Reactions
107 Replies
4K Views
Waziri wa mambo ya ndani, home boy kabisa, nilikutabiria utakuja kuwa Rais wa Tanzania Ulivoteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani ilifanya kazi njema ya kutuliza uhalifu wa utekaji holela na...
3 Reactions
5 Replies
365 Views
Hili swali Huwa najiuliza sana alafu sipati majibu Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui magumu wanayopitia watoto pale wanapoingia kidato Cha kwanza na kukuta lugha imebadirika ghafla...
8 Reactions
43 Replies
945 Views
Niger, Mali na Burkina Faso ambazo zinaunda umoja wa nchi za Sahel ( AES) zinatarajia kuanzisha kikosi cha pamoja ili kupambana na magaidi. Hayo yalibainishwa na waziri wa Ulinzi wa Niger Jenerali...
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Dar hapa bei ya tango sio poa Tango 1 linaanzia 1000 kupanda juu Zamani tulinunua sh 100 tu Matango Yana kazi nyingine huko Dar Matango yanaadimika au be mkasi Matango hayapendwi na watoto na...
8 Reactions
66 Replies
1K Views
Hello wakuu, natakiwa kusafiri kwenda Norway katikati mwezi wa pili 2025. Naomba msaada kwa wazoefu namna naweza pata VISA mapema. Asante.
1 Reactions
8 Replies
295 Views
Mimi siyo mwanasiasa! Kwa wale wasionijua niwafahamishe tu mimi ni Fundi umeme na ujenzi natambulika popote kama chata la fundi SAMICO! Uchaguzi wa CHADEMA umenifanya nimtafakari sana binadamu...
4 Reactions
28 Replies
686 Views
Back
Top Bottom