Hali halisi inavyoonekena kwa nje kwa upande wa wasanii wetu kuonekana wakijihusisha na siasa hasa wengi wao kwa asilimia kubwa kuonekana kuunga mkono chama tawala inaweza isiwe kama tunavyo...
Kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotangazwa 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini uki-ingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine...
Ukiwa mfanyabishara Afrika /Tanzania kaa mbali sana makundi ya kisiasa usioneshe kufungumana na upande wa chama chochote au mtu yeyote .
Nchi zetu hizi za kiafrika bado utawala wa kidemokrasia...
Habari wanajamii. Mimi ni kijana mpambanaji mchapakazi ishu imenileta kwenu ni hii mimi nimekuja huku Kenya niko na miaka 2 sasa, kiukweli naishi poa na nimebahatika kupata msichana na tayari ni...
Jabarini,
Hivi kweli hata wasomi wa Kiafrika wenye Phd wamegoma kabisaaaa kutambua kuwa Ukristo na Uislam siyo kwaajili yao bali ni kwaajili ya warabu na wazungu/wakoloni.
Yaani wameelezwa kuwa...
Unaweza kudhani magari yameegeshwa au kuna maandamano ya magari, lakini uhalisia ni kwamba gari zinasubiri kujaziwa gesi.
Hali hiyo ipo leo Jumanne Oktoba mosi, 2024 kwenye kituo cha kujazia gesi...
𝐉𝐄! 𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐌𝐏𝐘𝐀 𝐖𝐀 𝐓𝐀𝐍𝐙𝐀𝐍𝐈𝐀 𝟐𝟎𝟐𝟓 𝐍𝐀𝐘𝐄 𝐀𝐓𝐀𝐕𝐀𝐋𝐈𝐀 𝐍𝐉𝐔𝐆𝐀 𝐔𝐓𝐄𝐊𝐀𝐉𝐈 𝐖𝐀 𝐀𝐊𝐈𝐍𝐀 𝐒𝐎𝐊𝐀 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐔𝐀𝐉𝐈 𝐘𝐀 𝐌𝐙𝐄𝐄 𝐊𝐈𝐁𝐀𝐎?
Trump ametia saini amri ya kufichuliwa kwa nyaraka kuhusu kuuawa kwa Rais John F Kennedy, kaka...
Wizara ya afya imedhibitisha kifo cha mgonjwa mmoja wa Marburg ambaye alikuwa akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospital ya Wilaya Biharamulo. Aliyefariki ni kati ya wagonjwa wawili waliobainika...
Nasikitika kwa kile kinachotokea kwa Chama chetu cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kwa baadhi ya viongozi kuona sasa chama hiki...
Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi imefanya kikao na wadau wa kodi mkoani Iringa, ikilenga kupokea maoni na mapendekezo kuhusu changamoto za kodi na tozo mbalimbali zinazokwamisha maendeleo ya...
Habari za wakati huu,
Sijui wapi pa kuanzia Ila tangia mwaka 2018 niliamua kuacha kazi na kuanza maisha ya kujiajiri.
Kazi niliacha baada ya kuona biashara zangu zingine ndogo ndogo zinalipa Ila...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewahimiza watu wenye ualbino nchini kutembea kifua mbele na kutojiona wanyonge kutokana na hali yao na badala yake watambue kuwa wao ni...
Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman.
Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk...
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa kupitia mfumo wa usafirishaji wa vifurushi, mizigo, na abiria Serikali itaimarisha uchumi wa kidijitali...
Wakuu dunia ina mengi sana.Huku kwetu Gongo hutegenezwa kwa malighafi ya muhongo au jina maalfu ni udaga.
Nadhani kila sehemu wanatumia malighafi tofauti tofauti kulingana na upatikanaji wake...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limefanikiwa kumpata mtoto mwenye umri wa miezi sita aliyechukuliwa na watu wasiojulikana, baada ya kuvamia nyumba ya Melksedek Mrema na mkewe Joan Gabriel, ambao nao...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amefanya mazungumzo na Waziri wa Uchukuzi wa Jamhuri ya Czech, Ing. Martin Kupka jijini Prague Januari 18...
Eti nyie wazazi mnajisikiaje yaani watoto wenu wamesoma kwa gharama kubwa, halafu huko maofisini walipoajiriwa wanazidiwa Mishahara na watoto wa ST KAYUMBA.
Hivi hamuumii kama watu waliochoma...
My Take
Dodoma ya Kimataifa inanukia 👇👇
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kwa usimamizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.