"Shule za Msingi 1 kati ya 4 Duniani bado hazina Umeme na asilimia 50 ya Shule za Sekondari ndiyo zina Huduma ya Intaneti"
Chanzo: UNESCO
Siku ya Elimu Duniani huadhimishwa Januari 24 kila mwaka...
Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Mashuleni
Unguja, Zanzibar – 23 Januari 2025
Zanzibar Mental Health Support Organization...
Rais Mwinyi wa Zanzibar ana ulinzi wenye madoido na wa aina yake. Amenikumbusha enzi ya awamu ya tano chini ya hayati John Pombe Magufuli. Hongera sana Rais Mwinyi!
Shule ya Msingi Mseta iliyopo wilaya ya Rombo Kata ya Kirwa Keni Kijiji cha Kirwa Imefungwa toka mwaka 2012 kwa kukosa wanafunzi, Shule hii ipo katika Mazingira mazuri na ina majengo ya fedha za...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema ujenzi wa kituo cha kuchochea bunifu za TEHAMA (Innovation Hub) kinachotarajiwa kujengwa mkoani Tanga, kitasaidia...
Licha ya Mtaa wa Kambarage kuwa na idadi kubwa ya wakazi zaidi ya mitaa mingine yote ya mjini Njombe changamoto kubwa inayoendelea ni kushindwa kumaliza ujenzi wa ofisi yake ulioanza miaka 12...
“Siri 12 Ambazo Matajiri Hawataki Uzijue”
Tunaishi katika dunia iliyoundwa na matajiri, kwa faida ya matajiri. Kila kitu, kuanzia vyombo vya habari unavyotumia hadi ushauri unaopewa, kimepangwa...
Hivi karibuni iliripotiwa taarifa ya zaidi ya Wakazi 200 wa Mtaa wa Yombo Dovya, Wilayani Temeke kuathirika kwa kubabuka ngozi, kuumwa macho na wengine kupata changamoto ya mikono katika maeneo...
Kiukweli hii Hali iliopo Sasa kwenye taifa hili n baya sana.
Taifa linakosa nguvu kazi hivihivi tumekuwa tukihitaji vibarua wa mashambani Cha ajabu vijana wa kiume huwapati wanapatikana wamama na...
Linapo kuja swala la kushobokea foreigners basi Watanzania hatuna mpinzani hapa Duniani.
Benard Morison naona ushobokeaji umemlipa na ameamua kupiga kambi kabisa anajua hakuna sehemu hata kule...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka Wathamini nchini kupunguza migogoro inayotokana na uthamini kwa kuhakikisha thamani halisi ya ardhi inayofanyiwa...
Tumekuwa tukilaumu jeshi la police Kwa kukosa weledi na rushwa
Sasa kwa uozo ulio jeshi la Uhamiaji ni ndo mkubwa zaidi,
Kuna uzembe na rushwa sana
1. Kuhusu wachezaji wanne wa Singida Black...
Unajua ukishajua maana halisi ya elimu hauwezi kuja humu una babwaja babwaja.
Sasa ndio elimu gani hio eti ufaulu wa a teengaer utegemee akili special na extra ordinary. Ndio maana unakuta...
Ndugu zangu nawashauri kuwa makini sana na kupenda kwenda hospitali kwanza kama unashida ya kiafya ambayo unahisi ukianzia duka la dawa hutopata matibabu sahihi. Hiyo picha ni picha ya majibu ya...
Jamani ndugu zangu kunakitu hakipo sawa ndani ya bandari ya dar es salaam
Kuna uchekeweshwaji mkubwa wa kutoa mizigo kwenye bandari ya dar es salaam iko hivii meli zinashusha mizigo lakini...
Habari zenu wapendwa
Tukisoma kitabu Cha mwanzo biblia inatuambia Isaka akiwa katika nchi ya wafilisti gerari huko alipanda mbegu kila kilo moja ya mbegu aliyoipanda alipata kilo mia za mavuno...
Wadau, baada ya Sekseke ya online platforms kutoa mikopo na kua za kudhalilisha watu ,Benki Kuu iliinglia kaylti na kuweka mwongozo na kufungia platforms ambazo haizkuwa zimesajiliwa.
Je, Kwa...
Sijui tunaelekea wapi kwa foleni kali namna hii, hivi kweli unakaa foleni lisaa lizima bila kusogea hata hatua moja?! Kwanini serikali haijatangaza state of emergency mpaka dakika hii?!! Hii ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.