matokeo ya form four kwa mwaka 2024 yametangazwa leo.
Kwa mujibu wa baraza la mitihani, ufaulu umepanda kwa asilimia tatu.
Ila huku kwenye shule za kata hali mbaya. Unakuta nusu ya wanafunzi...
Nimezunguka maeneo mengi ya Dar es salaam kwa mtizamo wangu ni haukufanyiwa planning! Stendi za daladala vimetengenezewa msongamano mkubwa mno na kelele nyingi saana zisizokuwa na tija.
Mfano...
Sijui ni watu wana stress, ulimbukeni, ujinga, utani uliopitiliza au wao ndio maofisa wa upinde sasa.
Maana mindset ya mtu ni view ya mwenendo wa mtu. So unapokuwa unamlopokea mwenzako namna hio...
Namshukuru Mungu huu mwaka angalau nilifanikiwa kutimiza ndoto yangu ya kuwa mama. Haikuwa rahisi ila ni kwa neema tu.
Pia namshukuru mzazi mwenzang double click kwa kila jambo hata kama...
Salaam,
Nilikuwa naangalia matokeo ya darasa la nne kwa shule ya Kijijini kwetu. Kati ya watoto 39 wa darasa hilo, ni watoto 7 tu waliofaulu kwenda darasa la tano, tena kwa daraja la D. Shule...
Habari wanaJf,
Kumekuwa na upungufu wa Dola ya Kimarekani baada ya kutengamaa kwa kipindi kisichozidi miezi minne, kwasasa inapanda kwa kasi na imekuwa adimu ghafla na bila kuwa na Akaunti ya...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hii NI Kwa Watibeli wote. Wenye HAKI na kupenda Haki, wenye Upendo na kuupenda huo upendo, wenye Kweli na kupenda yaliyokweli, wenye Akili na kupenda maarifa na...
Habari wakuu,
Picha hapo juu inajieleza,
Ni kijana mwenye umri wa miaka 26, jinsia mwanaume, kazi yake ni mkulima.
Alilala usiku akaamka hana nywere baadhi ktk eneo la juu ya kisogo na...
Ama kweli tembea uone!
Congo DR, ni sehemu ambayo maeneo mengi ili ufanikiwe kutoboa, ni lazima uwe umehitimu ubabe kwa zaidi ya alama 1000%.
DR, ndilo eneo ambalo maovu, umafia na hata unyama...
WaTanzania tuna asili ya undugu na ukarimu kwa hapa nyumbani........ lakini kwa Marekani ni tofauti kabisa...wabongo huogopana sana.
Maisha na michongo hupatikana kwa waKenya yaani Mtanzania na...
nilikuwa naishi mtaa flani hapa jijini, Dar es Salaam. Nyumba yangu ilikuwa ndogo lakini ilitosha kwa mahitaji yangu. Hata hivyo, kuna kipindi ambacho maisha yangu yaligeuka kuwa magumu sana...
1. Wazazi wengi hawana home Curriculum. Wazazi wanapaswa kuwa na mtaala wa Nyumbani maalumu Kwa ajili ya kuwafundisha watoto wao stadi za maisha .
2. Kwa sababu ya kukosa mtaala wa Nyumbani...
Hii ndio hali halisi utakayo kutana nayo kilometa 660 kutoka Dar es Salaam na kilimeta 122 kutoka Nachingwea.
Katika kijiji cha Kiegei kila tarehe 25 ya mwisho wa mwezi, baada ya mnada wa bidhaa...
Habari wana JamiiForums.
Kuna mama mmoja anaishi kaya ya MOSHONO mtaa wa MTONI,KARIBU na chuo Cha Uhasibu anauza gongo na bangi nyumbani kwake wazi wazi kama vile ana leseni.Pale kwake ni...
Elimu bora ina fanya mambo matatu:
1. It will help you to acquire power.
2. It will help you to maintain power
3. It will help you to protect power.
Kwa bahati mbaya sana mfumo wa elimu yetu...
🔰Ulimwengu WA 3D Hadi Ulimwengu wa 5D🔰
👉Hivi sasa ulimwengu wetu umegawanywa katika vipimo tofauti ambavyo unaweza kuchagua na kuamua ni njia gani unataka kwenda. Katika makala hii, napenda...
Nimewiwa kuandika haya kutokana na ukimya wa kile kinachoendelea katika shule ya sekondari Mvuti iliyopo Halmashauri ya Jiji Ilala katika kata ya Msongora mtaa wa Kiboga tangu mwishoni wa mwaka...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Yusuph Juma Mwenda, amesema Siku ya Mlipakodi ni tukio maalum linalolenga kutambua na kuwashukuru walipakodi wa kada zote kwa mchango wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.