Habari wana jf
Ningependa kujua hali hii huwa inasababishwa na nini hasa
Mfano, ishawahi kunitokea nipo na mwanamke mrembo sana, ana joto lakini siku niliyokutana naye kimapenzi aiseee baada ya...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amesema sherehe ya harusi yoyote itakayokuwa inafanyika Mkoani Arusha na kuhusisha wasiokuwa Wakazi wa Mkoa wa Arusha, Serikali ya Mkoa chini yake...
Too much of something is harmful.
Ukishakuwa na uraibu wa ngono ina affect maisha yako katika nyanja za uchumi, afya, perception mbaya kutoka kwa jamii na afya ya mahusiano hususani ndoa...
Hii itasaidia sana kupunguza foleni kwani wakati nusu ya watu wanarudi kutoka kazini nusu wanakua wanaenda kazini badala ya wote kujazana kwenye lane ya upande mmoja. Pia ajira zitaongezeka...
Katika Quran, kuna aya kadhaa ambazo zinaelezea hasara na madhara yanayowapata wale wanaofuata dini isiyokuwa ya Uislamu. Quran inasisitiza kwamba mafanikio ya kweli na wokovu hupatikana kwa...
Sisemi kwamba tuache kuwaangalia na hawa wa majumbani ( i.e. Kuziba Ukuta ni vema ili Kesho Tusijenge Ukuta...) Lakini atleast hawa wana wazazi / walezi wanaowalea ingawa tunasema eti wasiwachape...
Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo – Busisi) lenye urefu wa Kilomita 3.0 na barabara unganishi Kilomita 1.66 linatarajiwa kuanza kutumika Tarehe 30 Disemba 2024 likiunganisha Barabara Kuu ya Usagara...
Ni makosa kufikiria muda unakwenda.
Muda hauendi. Muda upo mpaka utimilifu wa dahari
Wewe ndiye unayeenda.
Huupotezi muda. Muda hauna mwisho. Unajipoteza mwenyewe.maana una mwisho wako
Ni wewe...
Ni kweli kabisa kwa sasa tunahitaji KATIBA MPYA mambo mengi sana ndani ya KATIBA ya MWAKA 1977, yameshapitwa na wakati na yanahitaji kufanyiwa marekebishi.hasa kuhusu huu mgawanyo wa serikali na...
Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka.
Mkataba huo umesaniwa na Akram...
Sisi Wafanyabiashara wadogowadogo tuliokuwa tukifanya shughuli zetu za biashara katika eneo lililopo jirani na ofisi za World Oil eneo la Tungi Mnadani, Kigamboni hapa Dar es Salaam.
Tulianza...
ORODHA YA WANUFAIKA WA 'SAMIA SCHOLARSHIP' NGAZI YA SHAHADA YA UMAHIRI YATANGAZWA
Tsh. Milioni 623.2 zatumika kuwafadhili
■Jumla ya wanafunzi 80 wa Shahada za Uzamili katika Taasisi ya Sayansi...
Kuanzia katikati ya miaka ya themanini hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 huko mkoani Kigoma aliishi " fundi " mmoja aliye julikana kwa jina la Juma Njemba.
Juma Njemba alikuwa MTU hatari sana...
Siku ya Jumatatu, Januari 20, 2025 Rais Samia, alithibitisha kuwa mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) katika Wilaya ya Biharamulo, mkoani Kagera. Leo imetoka taarifa kuwa...
Habari wakuu! Najaribu kujaza taarifa kwa lengo la kupata control number kwenye mfumo wa Police loss report bila mafanikio. Kama kuna mtu aliyewahi pata changamoto kama yangu anaweza nishauri...
Huwa sio mpenzi wa siasa tangu mwaka 2010 niliachana na siasa kabisa kwa sababu kadhaa wa kadhaa.
Ni warudishe nyumba kidogo mwaka 2020 Lissu alipokuwa akichuana na JPM kwa watu wa kanda ya ziwa...
Mbali na uhifadhi wa kisasa, Kigoma imeendelea kuwa kitovu cha biashara zinazochangia uchumi wa eneo hili. Soko la vyakula safi limeimarika, likihusisha biashara za ndani na zile za nje ya mkoa...
Kuna mda huwa tunafanya makosa mengi sana katika maisha tena mengine ya kujitakia kabisa ambayo ukiyakumbuka baadae unayajutia sana. Binafsi kama ningetumia mda vizuri ningekuwa mbali sana sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.