Minara 42 ya Mawasiliano kati ya Minara 107 inayojengwa kanda ya nyanda za juu Kusini na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote imekamilika
Akizunģumza kupitia kipindi cha #Checkpoint, Mkuu wa Mfuko wa...
Hii ni Furahi day,ijumaa fulani tulivu japo haiwezi kuwa Kwa wote.
Leo nije na kero moja,ambayo wengi hupuuzia au huumia ila hakuna namna. Hii moja Kwa moja inawahusu wageni kwenye shughuli zote...
Baada ya hivi karibuni matokeo ya mtihani wa leseni ya wafamasia kuzua mijadala mingi miongoni mwa wadau,baraza la famasi limeamua kufanya siri hata muhutasari wa matokeo hayo kwa hofu ya...
Naombeni msaada wa namna ya kufanya Booking ya ndege : Precision Air au ATCL, Sababu baada ya kuchagua tarehe ya safari wakati wa kufanya Booking sioni sehemu ya kubonyeza ili niende katika hatua...
Nipo India week ya pili sasa. Jana nimekaribishwa chakula chao kinaitwa
Andra Chilli Chicken. Kina pilipili hatari na chapati nyepesi hivi nazo unachovya kwenye sauce ya pilipili. Nlipenda nikala...
Hii iko wazi kuwa Mtoto wa Kike anakumbana na Vikwazo vingi sana hadi kutimiza ndoto zake. Vikwazo hivo huanzia Pale tu anapozaliwa katika familia ambazo zilihitaji Mtoto wa Kiume kuwa wa Kwanza...
Binafsi siamini katika 50/50 na sijawahi kuamini kuwa mwanamke anaweza kuwa sawa na mwanaume
Inatokea mzazi unampeleka mtoto wakoJKT aje awe mlinzi wa makampuni anakesha akiwa lindo ni ajabu hii...
Katika baadhi ya nchi za Kiislamu, sheria za kidini (Sharia) zinaweza kumhukumu mtu anayekataa au kuacha imani ya Uislamu kwa adhabu kali, ikiwa ni pamoja na hukumu ya kifo. Hii ni kutokana na...
Wakuu niko najifunza kwa kusoma makala za hadithi za Sunnah za waislamu. Haya ni masimulizi ya mtume wao kwa watu wake wa karibu.
Lakini nimesoma Sahih Bukhari 3366 Book 60 Hadithi ya 4 (Link:-...
1. Tumelala KIA(JRO) baada ya ndege yetu ya saa 5 usiku kucheleweshwa mpaka saa 9 na nusu alfajiri.
2. Domestic flights mtu unalala airport Karne hii? Mwezi uliopita Mwanza-Dar delay masaa 12 no...
Destination Ile Ile (3-4hours) ila tofauti ya nauli inazidi 200USD anyway kupanga ni kuchagua!!
Nionavyo ni kama tunamfanyia Promo Malawian airlines bila kujua
Hope ndege yetu inajaa!
Sheikh Yahya alisema!
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania...
Kama mzazi au mlezi, mara nyingi unakutana na changamoto za kuamka mapema asubuhi ili kuwahi kuleta watoto shuleni kwa kutumia magari ya shule. Lakini, je, umewahi kujiuliza jinsi hali hii...
Wadau hamjamboni nyote?
Naleta majina yanayotumika kwa watu ambao hawajafanyiwa tohara kwenye makabila mbalimbali nchini
Isemboo Kichaga
Warisyaa Kikurya
Isekaa Kimeru
Laiyok Kimasai
Akakata...
Mwandishi wa Habari wa The Citizen amesimamishwa kazi.
Taarifa zaidi zinabainisha kuwa ni kwa kukiuka
Aidha, mwandishi mwingine Neville Meena naye amesitishiwa mkataba kwa sababu hizo hizo...
Habari wadau?
Kuna jambo linanikwaza sana. Unakuta mtu ana harusi. Anaomba mchango kama deni vile! Unamchangia mtu laki ukiingia ukumbini mtu unapewa kifungashio cha juice na soda hata elfu kumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.