Wakuu,
Pongezi sana JamiiForums kwa kutupazia sauti mpaka maji yameanza kutoka na presha ipo vizuri tofauti na siku tatu za nyuma kabla ya maji kukata kukabisa.
Nimeona Waziri amekuja kujibu na...
Meya wa Manispaa ya Tabora, Ramadhan Kapela, amewataka vijana wa Manispaa hiyo kumkamata mtu yeyote atakayeonekana anatupa takataka hovyo mitaani ili kuimarisha hali ya usafi wa Manispaa...
Ikumbukwe kwamba Tarehe 14 mwezi October 2024 katika Maadhimisho ya Kilele cha Mwenge wa Uhuru Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumzia hali ya huduma ya...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji iliyopo katika Kata ya Kishiri, ufafanuzi wa Mamlaka ya Maji Mwanza umetolewa.
Kujua alichokisema Mdau huyo...
Wakuu, kumbe vitu vikiruka kupitia JF mambo yanaenda eeeh? Baada ya JF kurusha maji yamerejea, hapa ndio pa kuleta kero zetu Wakuu.
Tukaoge vizuri na kuosha vyombo vichafu vya siku mbili.
JF...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kusema kuwa Wakazi wa Shamaliwa A na B wengi wao hawana huduma ya Maji kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa kutokana na wahusika wanaotengeneza Barabara wameharibu...
Ufafanuzi kuhusu changamoto ya Majisafi Kisasa - Dodoma
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) inakiri na kutambua changamoto iliyopo ya hali ya upatikanaji wa huduma ya...
MREJESHO KWA WADAU: DUWASA YATATUA KERO YA MAJITAKA
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) inapenda kutoa mrejesho kwa wadau na wateja wake kuwa changamoto ya iliyokuwepo ya...
Manispaa ya Ubungo imeona taarifa kuhusu kuvuja maji kwenye mabomba katika kituo cha Mabasi cha Magufuli
Ni kweli changamoto hiyo ipo lakini tumeanza kuchukua hatua.
"Tatizo la miundombinu ya...
Juzi rafiki yangu alikuwa ananipa stori kuhusu mama yake. Alichukua mkopo NMB kama miaka 5 iliyopita, akaweka hati ya nyumba yake kama dhamana.
Uyo Mama kahangaika sana hadi akalipa deni lote...
Serikali imeweka utaratibu wa kuhakikisha huduma muhimu ya chakula na lishe inapatikana kwa Wanafunzi wa elimu ya msingi.
Kulingana na Mwongozo wa Kitaifa wa Utoaji wa Huduma ya Chakula na Lishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.