Hii ni historia ya maisha aliyopitia David tangu 2007 alipopata changamoto na namna alivyopambana mpaka kufika alipofika leo hii. Stori hii David anasema ina nia ya kuwapa nguvu wote ambao leo hii...
Naendelea kuwakumbusha tuu
Tajiri Bill Gate alishindwana na Mke Wake.
Putin alishindwana na Mke wake
Na huu mwaka huenda kishindo kikawa Kwa bwana Obama.
Na vile hana Watoto hata wa...
Katika pitapita humu nakutana na thread nzuri sana ila ilikosa wachangiaji wa kutosha..
Tuzungumze kiuhalisia umejikuta una kiasi cha Bilioni kadhaa kama 3 ama 4..utakifanyia nini kikuletee...
Wadogo zangu ambao ni fresh graduates mnaokaribia kuanza kazi au mpo kazini ila ni wachanga hapo ofisini, kamwe usimuibie boss wako. Hiyo ni laana.
Kama unaona mshahara pamoja na bonuses zingine...
Wakuu,
Hivi mnaona hii pattern ya watu kutekwa sasa hivi pamoja na reporting yake?
Wote (uliondoa wanasiasa mashuhuri) ni wafanyabiashara au wanahusishwa na biashara, na zote bwana Ayo amekuwa...
Mwili wa Mfanyabiashara aliyeripotiwa kupotea tangu December 11,2024 Jijini Dar es salaaam, Daisle Simon Ulomi, umekutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwanyamala huku Uongozi wa Hospitali hiyo...
Elizabeth Munisi ambaye ni Mke wa Mfanyabiashara aliyepotea tangu December 11,2024 Jijini Dar es salaaam, Daisle Simon Ulomi, ameiomba Serikali kupitia Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuendelea na...
Salaam Wakuu,
Sakata la Ulomi linazidi kuleta taswira mpya kila siku, leo Kituo cha Afya Makuburi wanasema Ulomi aliletwa kituoni kwao na Askari, tushie lipi?
Someni wenyewe hapa chini sakata...
Tarehe 06.10.2024 saa 10:00 (usiku) maeneo ya bar inayojulikana Kitambaa Cheupe, njia panda Nzasa, askari namba J.3297 PC. Barnaba Andrea Mhonya (30 yrs) mkazi wa Chamazi na askari wa Jeshi la...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa uwepo wa Kituo cha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika eneo la Horohoro, kinachounganisha Tanzania na...
Tulikua watu makini kama wa 4-5 ama 6 sikumbuki vizuri... (waandamizi wa jambo flani, sijui ni jambo gani ila ni kama jambo la maana sana)
Tulikua tunakatiza mitaa fulani usiku huko kijijini...
Parable 02|15-16/24|
Katika mazingira yakudadisi au kulichambua jambo fulani( ni kama tulikua tuna fuatilia kanuni/taratibu/sheria/sera flani flani) . Sehemu ile tulikua watu zaidi ya wawili...
awali ya yote niwapongeze Sana TRC kwa kukarabati treni zile za zamani hasa kwa upande wa mabehewa. Mimi nasafiri Sana na hizi treni zote ,yaani deluxe na ordinary.
Treni ya ordinary ambayo ndiyo...
Nimeamua tu kuwashirikisha baada ya kuombwa ushauri, kwa upande wangu ni sahihi kabisa
na wala sina hofu kabisa juu ya hilo.
Jamaa mambo yamembana sana hana kazi kwa sasa, kifupi ameyumba sana...
Niliona ninaingia kwenye jengo likiwa na watu wengi, ni kama ukumbi watu walikua wakisubili au wametoka kupata burudani.
Nikiwa naingia kupitia moja ya milango tukiwa watu kadhaa mimi nilipita...
Kama watumishi wote wa ummah na wafanya biashara watarudisha watoto wao kwenye shule za Ummah I will be the last to do so.... licha ya kujifunza lugha ya kiingereza, ila mimi kama mzazi msomi...
Shamrashamra za sikukuu ya krismas mwaka huu 2018 zimekuwa za mfano na kuwaacha Chadema mdomo wazi.
Viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao walikuwa wamejiandaa kutumia sikukuu za mwisho wa mwaka huu...
Wazee kuna jamaa yetu huku mtaani kaokota simu na amekamatwa juzi. Mwenye simu kasema aliporwa million 250 kwenye begi lililokuwa na simu
Aisee sijui itakuaje hapo wakuu maana polisi...
Gaborone ππ
https://youtu.be/VSCmUZdJ6C0?si=OwFn1C-MczQ1aAw0
Vs
Dodoma
https://youtu.be/L9lJR3lUd-Y?si=m64jjh-H0WLNm_x_
https://youtu.be/uaDakLskdB4?si=R948peqHbjJj6U5U
My Take
Advantage ya...
Wakuu hii bank ilikuwa inasifika kwa huduma bora na za haraka hasa kwa miamala ya nje (Swift).
Sasa kilichotokea sasa kwa miezi ya karibuni watu wanalipwa ila hela haziingii kwa wakati kwenye...