Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Nalenga kupanua wigo wa kufikiri! Ni wapi bidhaa za bei rahisi zinapatikana tofauti na China & Dubai? Vipi Thailand? Nasikia Pakistan nako kuna bidhaa bora na za bei rahisi hata kuzidi Dubai...
3 Reactions
17 Replies
478 Views
Kwa anaye fahamu sababu ya kuiba vinu vya kutengeneza matairi ya ubora wa hali ya juu kutoka kiwanda maarufu Nchini na Duniani kilichokuwepo Arusha juzi juzi tu cha General tyres na kuvihamishia...
39 Reactions
293 Replies
68K Views
Niwakati muafaka kwa NIDA,kuweka form online kwa ajili ya waliopoteza vitambulisho vyao. Haina haja kukaa foleni ya watu 600 pale mombasa/gmboto na kupigwa na jua kali na foleni haiendi. Waweke...
3 Reactions
5 Replies
242 Views
Sijui ni kweli au ni wasiwasi wao tu au nini labda... Jamaa watu wakienda na fomu za mtandaoni wanawarudisha huku wakiwaambia eti fomu hizo zinasumbua sana ni bora wakajaze fomu za mkono kwa...
1 Reactions
8 Replies
381 Views
Najua wapo watakaonipinga, tena sana tu. Lakini kwa mtu unayejiamini mambo yameenda kombo, umri wako unaruhusu kuchakarika huna sababu ya kuogopa kuuza nyumba iwapo iko sehemu mzuri ambayo unaweza...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
CCM Hapo zamani walikuwa wanatumia udhaifu wa elimu ndogo na mawasiliano dhaifu kudanganya na kuhujumu mambo ya uchaguzi, sasa mambo yamebadilika , serikali hiyo hiyo ya ccm imefikisha umeme kila...
2 Reactions
6 Replies
169 Views
Kwema wakuu? Naomba kujua ukishalipia tangazo dogo kwenye gazeti la serikali huchukua muda gani ili tangazo litangazwe kwenye gazeti?
1 Reactions
6 Replies
550 Views
Uhamiaji kwanini mlisitisha operation za wahamiaji haramu muda mrefu hivi Kwa mkoa wa Kagera na Kigoma Zamani sisi watu wa Kagera na Kigoma tulizoea ikifika mwezi march ni msako nyumba Kwa...
1 Reactions
11 Replies
352 Views
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ =================================================================================== Ujumbe Maalumu Kwa Mitume, Manabii, Wachungaji, Maaskofu, na Waumini Vituo Vya Maombi na...
3 Reactions
2 Replies
687 Views
Ninachukua Fursa hii Kwa Moyo mkunjufu kabisa kuwakaribisha Ibadan Wafuasi wa Chadema ambao Jana mmepata Uongozi mpya Ibada itakuwa saa 11 kamili jioni na Somo litatoka katika Injili ya Marko...
0 Reactions
1 Replies
110 Views
Kuna Ajari Mbaya imetokea Jana huko Congo, nje kidogo ya Lubumbashi, township Ndogo inaitwa Likasi. Kuna rafiki yangu Mcongo Man anaishi hapo Likasi, na vile Roli lilikua linaendeshwa na Dereva...
4 Reactions
8 Replies
311 Views
Kwa matokeo haya una maoni gani? Shule ipo Jijini Dar es Salam na siyo Nachingwea.
12 Reactions
117 Replies
24K Views
Uwanja wa Nyamagana ambao upo katikati ya Jiji letu la Mwaka ni moja ya sehemu ambayo inatukutanisha Wadau wengi wa michezo hasa mchezo wa miguu. Pamoja na maboresho ambayo yamefanyika uwanjani...
0 Reactions
1 Replies
253 Views
-kijana wa kwanza Ameiba biblia kanisani kwa ajili ya kwenda kujisomea nyumbani -Kijana wa pili Ameiba pesa nyumbani na kwenda kuitoa yote kanisani kwa njia ya Sadaka -Kijana wa tatu Ameiba...
3 Reactions
20 Replies
407 Views
Tulionekana illterates, un-informed and less-modern. Kazi zetu walipewa wao kwa maana wao walionekana superior zaidi kuzidi sisi. Wabongo wengi pia walitapeliwa sana na majirani walipofanya nao...
11 Reactions
37 Replies
783 Views
2% ni ndogo sana, lakini ndio hio ilioamua ushindi. Je hizi tuhuma alizotoa lissu dhidi ya wenje ndio zimecheza part kubwa ya "narrow win" yake au ni basi watu angepata support ya kushinda...
0 Reactions
15 Replies
534 Views
Miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni ilikuwa ni golden age ya filamu za nollywood haswa zile za kichawi. At last, vitumbwi vya maisha ya Kiafrika vilikuwa televised kupelekea watu kuguswa na...
17 Reactions
42 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…