Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Historia ya Shirika la Posta Tanzania Huduma za Posta kama taasisi zilianzishwa nchini na Serikali ya kikoloni ya Ujerumani. Huduma ya kwanza ya barua iliyobandikwa stempu ilianzishwa hapa nchini...
0 Reactions
1 Replies
184 Views
Lissu kushika kijiti watu wamefurahi sana lakini pia CHADEMA wanaona kama ndo watashika nchi vile? Nini wanadhan Lissu atakibadilisha kama yule mzee asiye na bla bla wala maneno maneno ameshindwa
1 Reactions
17 Replies
358 Views
Binadamu ambao wanateseka ukifatilia Kwa makini ni unplanned human being. Hawakupanga kuzaliwa ni zao la uzinzi na wengine one night stand. Ukitaka kupata mtoto huwa kuna sauti inakuijia...
11 Reactions
28 Replies
524 Views
========================== Badala ya mfumo wa sasa wa ‘TxxxAyy> TxxxByy > TxxxCyy > TxxxDyy , na sasa karibia tunaingia namba ‘E’ , ambapo mtu anakuwa anajua kabisa kwamba gari hii imesajili ya...
22 Reactions
154 Replies
14K Views
Wananchi wa Kata ya Mabawe Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera tunaipongeza Serikali za Jamhuri wa Tanzania chini ya Dkt. Samia Suluhu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa jitihada za Maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Jana nikiwa zangu om nikaamua nicheki tv kidogo japo kuwa hua siangalii sana nikaingia zangu channel ten aisee hii dunia inakoelekea sio kuna jamaa anajiita nabii anajipaka uchafu na matope...
2 Reactions
5 Replies
225 Views
Ni katika kuelimishana tu na kushtuana kama ilivyokua kipindi kile wakati nikijiona mjanja kulipia DSTV package na kupata vitu vizuri kumbe kuna wajanja wanakula channel zangu za DSTV kwa kutumia...
24 Reactions
181 Replies
31K Views
Dalili si nzuri kabisa kwa upande wa huyu muungwana tena zimejidhihirisha wazi mapema kweli, ana kibaru kigumu na mtihani mzito sana kurlekea uchaguzi huo muhimu wa kanda ya Pwani. Kiufupi kimbe...
0 Reactions
78 Replies
2K Views
Uhaba wa walimu imekuwa ni janga la kitaifa kwa shule za msingi za maeneo ya vijijini, shule yenye wanafunzi karibia 600 ina walimu wanne, walimu wanahama bila mpangilio, lakini hawaletwi wapya...
3 Reactions
8 Replies
338 Views
NILICHOJIFUNZA KWA CHRITINA Nimejifunza mambo haya kwenye hili 1. MAAMUZI SAHIHI AMEYAFANYA WAKATI USIO SAHIHI yapo maamuzi yanaweza kuwa sahihi ila yakafanyika wakati usio smawil Maamuzi sahihi...
12 Reactions
95 Replies
8K Views
Nashukuru Mungu nilijitoa kwenye utumwa wa kujitakia na Sasa naishi kwa Amani kabisa watoto niliwatoa EM nimewaleta Kayumba sina Tena stress na mambo yanaenda vizuri na watoto wanafanya vizuri...
47 Reactions
291 Replies
6K Views
Taarifa hii iende moja kwa moja kwa mamlaka ya Maji safi na maji taka mkoa wa Dar-es-salaam, DAWASA na wadau wote wa mazingira na Afya kwa ujumla. Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana...
2 Reactions
17 Replies
452 Views
Wale wengine walikuwa broadcasted tangu day one ila ilivyofika mkutano wa chadema nafikiri ni chaneli moja ndio tu ilianza nao. Sijui ni hofu, sijui ni ushabiki wa mmpande moja?? Anyway life...
3 Reactions
3 Replies
257 Views
Kutoa na kupokea 👇👇 👉sheria ya ulimwengu. Hii ni moja ya sheria ya ulimwengu /universal laws. Muda wote ulimwengu unatoa Ulimwengu unatoa uhai , Ulimwengu unatoa Baraka Ulimwengu unatoa...
3 Reactions
17 Replies
524 Views
Jaman mm na one ya point 9 PCB nasoma education, Nataka niache (kwa sababu nazo zijua ) education ni apply mwezi wa saba tena kozi nyingne (nursing), hivi naweza kufanikiwa kuchaguliwa kweli wakuu...
6 Reactions
19 Replies
352 Views
Waandishi mambo vipi,hapa nazungumza na wale wote ambao huwa tunaandika humu jukwaani,iwe topic yoyote na mambo yoyote yale na hasa hasa wale wataalamu wa itaendelea Kwanza ifahamike kwamba ili...
3 Reactions
4 Replies
186 Views
Mungu Baba mwenye enzi yote Muumba wa mbingu na nchi asante baba kwa kutuvusha salama sisi CHADEMA kwenye huu uchaguzi wa kihistoria. Mara tu baada ya ushindi wa Lissu nikajiwa na wazo la kurudi...
36 Reactions
35 Replies
994 Views
Jana nimeshangaa kuona ubarikio wa mtoto wa Bilionea Knyama KKKT peke yake tofauti na wenzetu huko Katoliki ambako ratiba ya komunio/kipaimara ni kwa wote (bila kujali kipato cha mzazi/mlezi) na...
13 Reactions
78 Replies
5K Views
Location ilipo fremu ambayo nimepewa niifanyie kazi na mzee wangu bure bila kuilipia imezungukwa sio mbali sana na taasisi zifuatazo stand, shule, college, dispensary,ofisi za maji na iko...
2 Reactions
6 Replies
446 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…