Wana JF hebu tujadili hili jambo la kujiandikisha maana naona kama limedoda kupita kiasi maana watu ni kama wamesusa hivi kujiandikisha
Zimebaki siku mbili tuuu kabla ya kufungwa kwa zoezi la...
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la Mkazi ambalo linatarajiwa kufanyika Oktoba 11 hadi...
Faida ya Mtanzania kujiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa viongozi wa Serikali ya kitongoji, mtaa, na kijiji ni pamoja na:
1. Kuchagua viongozi bora: Inatoa nafasi ya kuchagua viongozi...
Wakuu salaam,
Wananchi wa kata ya Kibosho halmashauri ya wilaya ya Moshi wamekarabati barabara zote za eneo hilo kwa michango yao binafsi.
Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro kwa muda mrefu wana...
Kuna hii mbinu ya kuwafuata wananchi majumbani kuwaandikisha kupiga kura kwenye chaguzi za serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 2024.
Ninajiuliza tu, kuandikisha wanafuatwa nyumbani. Siku ya...
Ikiwa zimebakia siku chache kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini, Dk Ananilea Nkya amasema kuwa zipo changamoto mbalimbali ambazo upelekea Wanawake...
Taharuki ya Mvutano wa CHADEMA huko Ikungi Mkoani Singida kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu. Chazo cha mzozo kinaelezwa kuwa ni mgongano ya kimaslahi miongoni mwa wananchama...
Licha ya viongozi wa vyama na serikali kuhamasisha Wananchi kwenda kujiandikisha kwenye Daftari la Kupiga Kura, hali ni tofauti na matarajio yao.
Wananchi wamekuwa na mwitikio mdogo sana katika...
Kumbe mtu unaweza toka bonyokwa ukaenda kujiandikishia boko au masaki na usiulizwe kitambulisho wala ulikotoka/unakaa wapi ,yaani shida yao ni majina yako matatu tuu hata ukidanganya naitwa...
Jana niliongea na Balozi akaniambia leo usiku (Jana) tutatangaza kwa kutumia polomondo ili kila mwananchi ajue nikatoka kwenda msibani nikakuta Mwenyekiti wa kitongoji anasema hatutangazi...
Leo kwa vile ilikuwa jumapili nilikuwa na muda nikaamua kwenda kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura. Nilichokiona kama ningedadisi kabla ningerudi zangu nyumbani maana huu ni...
Kuna uwezekano wa mimi kutoshiriki upigaji kura kwenye huu uchaguzi Kwasababu watanzania tuliomba tume huru tukapewa jina la tume badala ya tume huru, hakuwezi kuwa na uchaguzi wa haki pasipo tume...
Leo Oktoba 11, 2024, Rais Dkt. Samia anaongoza watanzania katika zoezi la kujiandikisha katika daftari hili ili kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024...
Wanawake wa Tanzania, je, umejipanga kugombea nafasi yoyote katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa au Uchaguzi Mkuu ujao?
Ni sababu zipi zinakuchochea kugombea au zinakuzuia?
Ni kweli Wanawake...
Habari wakuu,
Leo nimeona niwezeku-share nanyi namna ndugu yangu alivyotapeliwa mbele yangu jioni kweupe mida ya saa kumi.
Ilikuwa hivi ndugu yangu anaendesha "Bolt" na "Uber" na anamiliki gari...
Mama Ananilea Nkya kutoka Mtandao wa Wanawake, Katiba, Uchaguzi na Uongozi ametoa rai kwa wasomi hususani Wanawake na vijana kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amewaeleza wana-Musoma Vijijini kuhusu uamuzi wa Serikali kuendelea kutoa fedha nyingi za utekelezaji wa miradi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.