Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Sipo hapa kwa kubeza wala kukejeli nataka kupewa elimu kutoka kwa muislamu aliyesoma Quran tukufu ambayo ndio muongozo wa muislamu na usinilete hadithi kutoka muslim...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, ameungana na wanawake katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kutoa ripoti...
Mwili wa mwanamuziki mkongwe, Bi. Tabia Shabani Mwanjelwa, aliyefariki Januari 25, 2025, huko Saarbrücken, Ujerumani, umewasili nchini leo na unatarajiwa kuzikwa kesho nyumbani kwao Kiwira...
Mtoto mwenye umri wa miezi 9 amelawitiwa na baba yake mzazi hadi kufariki dunia.
Tukio hilo limetokea katika kata ya Olasiti mtaa wa Olasiti kati wilaya ya Arusha mjini.
Mwenyekiti wa mtaa wa...
Hali ya barabara hii, kwa kweli ni aibu.
Miaka nenda miaka rudi hakuna anayeliona hili. Tuna viwanda vikubwa katika barabara hii ya Kilwa kuanzia Mbagala kokoto barabara haifaii aibu, kila...
Nilijaribu kukopa begi la elfu 65 huku nikilipishwa bukumbili kila siku hadi itimie yote, kwa thamani ya lilie begi Kariakoo imezidi sana 35 ndio nikapanga kumlipa 40 kwa huruma yangu.
Sasa hawa...
Habari za wakati huu wakuu.
Wakubwa shikamoo, madogo wozah niaje.
Kuna ongezeko kubwa la kesi za watu kujiua kwa mambo mbalimbali, hata huku kuna dogo alimaliza la 7 akakataa shule, wazazi...
Huna gari, huna nauli, msomeshe mwanaume mwenzako akusaidie. Sio umuombe Hela, mweleze, nafika sehemu Fulani ila nimekwama nauli, je unanisaidiaje ili nifike huko niendako?
Kama atajisikia kukupa...
Mzuka wanajamvi!
Nawaambieni ukweli kabisa. Kama wewe ni maskini ama una hali mbaya kimaisha usihuzunike, usilie, usilaumu, usilalamike na usimlaani yoyote.
Bali furahi tembea kifua mbele...
Mohamed Iqbal Dar amefariki Dunia huko Birmingham Uingereza.
Atakumbukwa Kwa mafanikio ya kuchagua jina jipya la jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar yaani. "Jamhuri ya Tanzania" wakati...
Wakuu
kumekuwepo na mijadala mingi humu ya mivutano baina ya wanaokubali uwepo wa Mungu na wasioamini uwepo huo
Mungu mala zote ni mtenda miujiza,na amekuwa akifanya hivyo mala zote kwa waja...
Mwanamke ni sehemu muhimu ya jamii, awe ni mama, dada, binti, rafiki wa kike, nk
Siku ya Wanawake Duniani 2021 ina kampeni iliyo na kaulimbiu "SelectToChallenge".
Siku ya Wanawake Duniani ni...