Hizi adhabu za viboko zipigwe marufuku kabisa! Haiingii akilini mwalimu kupiga watoto namna hii kama anapiga mbwa koko. Kama hamna uvumilivu achaneni na kazi hii badala ya kuumiza watoto wetu...
Habari ,
Nimepata taarifa kuwa, T.RA inawatangazia Watu kuwa Kuna mfumo mpya unatakiwa kuanza matumizi mwezi February 2025,
Mfumo huu unampa access ya Moja Kwa Moja mteja mwenye tin namba kuweza...
WAZIRI MHAGAMA AAGIZA VITUO VYA AFYA VISIVYOFUATA SHERIA KUSHUGHULIKIWA
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama ameitaka Bodi ya 11 ya Ushauri ya Hospitali Binafsi kuhakikisha vituo vinavyoomba usajili...
Elimu ni ufunguo wa maisha, Elimu ni bahari, Elimu ni nguvu. Elimu ina nguvu na uwezo mkubwa sa a wa kubadilisha maisha ya watu.
Lakini pia sii kila msomi au mtu mwenye elimu kubwa ana mafanikio...
Habari Wakuu,
Safari City ni mradi wa Satellite City uliobuniwa na NHC mwaka 2016 ni miaka 10 imepita bila mradi kuendelezwa ukienda sasa hivi unakutana na mapori, barabara zimefunikwa na nyasi...
Jamani jamani jamani pale mahali paoneni hivi hivi, pana vibweka pale mwanzo mwisho, na Kama kuna viumbe wana visa vibaya marehemu wanaongoza
Kama mtu alikuwa malaya kwenye uhai wake hata akifa...
Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi akiwa katika kampeni ya samia Legal Aid inayoendelea mkoani Arusha hapo jana tarehe 05/03/2025 amesema kuwa mahakama...
Upotoshaji hufanyika kwa njia nyingi ikiwemo kusambazwa kwa jumbe zinazodaiwa kuwa ni zawadi zinazotolewa na Mashirika ya kimataifa kama vile UNICEF na mengine.
Ukutanapo na taarifa za aina hii...
Kuna wakati nilikuwa naona makomando wanaambatana na Mbowe japo sikuwa na uhakika kama ni makomando maana upepo ukivuma walikuwa wanatikisika kirahisi.
Swali! Je, walikimbilia wapi?
Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi akiwa katika kampeni ya samia Legal Aid inayoendelea mkoani Arusha hapo jana tarehe 05/03/2025 alisema kuwa kuna umuhimu...
Rejea kichwa cha mada hapo juu.
Nawakumbusha wale wote walioenda kupaka majivu jana na jana walianza mfungo ila leo wanaendeleza yaleyale ya hapo kabla na wanasema wamefunga mfungo wa Kwarezima...
Waafrika wengi hasa watanzania wamekuwa wakiamini kwa muda mrefu kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina. Cha kushangaza hali zao za kiuchumi ziko vilevile miaka nenda rudi.
Kama...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt. Stergomena Tax (Mb), tarehe 05 Machi, 2025, ameshiriki kikao cha Dharura cha Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya...
Watu wengi hasa wasiokuwa na ajira wameshindwa kutoka ndani na kujaribu kufanya baadhi ya shughuli za kujiingizia kipato kwa kuwaza kuwa “watamuonaje”
Ukijaribu kuangalia kuna vitu vingi vya...
Hahahahaa NIMEIPENDA SANA hii dini
Nasikilizia channel ten mambo yetu ya kufungaaa
ANASEMA sheikh wangu kama ikitokea una hamu yoyote na mkeo KIPINDI hiki cha mfungo
Ikitokea ukampitia mchana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.