Wafanyakazi wa kampuni ya Barrick nchini kwa mara nyingine wameshiriki mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathon zilizofanyika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na kujumuisha wadau mbalimbali kutoka...
Watoto uliowazaa wanaumuhimu Kwa Mwanaume pale unapoishi naye. Weka akilini hiyo.
Weka na hii Hapa, Mwanamke anaumuhimu Kwa Mwanaume pale wanapoishi Pàmoja.
Zingatia, Wanaume wengi hujiona...
Nimepost mada nyingi sana za ubunifu kwenye majukwaa mbalimbali hasa
Ujenzi na makazi
Biashara na ujasiriamali
Hapa habari mchanganyiko
Jukwaa la picha
Chitchat
Mapishi
Urembo na utanashati...
Maisha kwa madiba ni magumu sana ila bado watanzania kutoka uswazi wakiamini maisha yapo kule.
kilichonishangaza yani mtu kashindwa kufanya kazi kuuza barabarani anafika kule na kuanza kuuza hiyo...
Vikundi 126 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, iliyopo mkoani Songwe, vimepokea mikopo ya 10% kutoka mapato ya ndani ya halmashauri hiyo awamu ya...
Binti mmoja ajulikanae kwa jina la Hadija mwenye umri wa miaka 17 amefariki dunia baada ya kuchomwa visu kadhaa na kijana wa mwenye nyumba aliyofikia kufanya kazi.
Sababu za kijana huyo kufanya...
Baada ya kutambua rasmi juhudi zao za kuitangaza Tanzania kimataifa nje ya mfumo rasmi.
Wakati umefika kutambua utamaduni huu usioyumbishwa na muda au kebehi za wasiojiamini na kuamini katika...
Wana jukwaa heri nyingi kwenu nyote.
Tuko hapa jukwaani kutaniana, kukosoana, Kushauriana, kuelekezana kuhabarishana na mengine mengi.
Mara ya kwanza kujiunga hapa jf ilikuwa 2012 yote Kwa yote...
To whom brain 🧠 is given, Sense is expected.
Kitu au jambo unalodhani na kuona kwamba kwako ni mafanikio makubwa sana, Kwa mwingine bado ni kitu au jambo dogo sana.
Kuna wimbi kubwa sana la...
Wakati mwaka ndio kwanza umepinduka, hali ya mwalimu bado ni tete. Ahadi walizopewa na mwajiri hazijatekelezwa.
Sasa viongozi wa CWT wilaya wanafanya ziara ili kurudisha imani na matumaini kwa...
Mtu dhaifu hujitutumua ili asionekane dhaifu.
Mtu maskini hujitutumua ili asionekane maskini.
Mtu asiye na fedha hujitutumua ili asionekane hana pesa.
Pia ni tabia za Kiafrika kila mtu kutoka...
Hali ikoje huko kwenu kutokana na hali ya jua kali linalo ikumba Tanzania. Je, kipi kifanyike kama taifa kuokoa wakulima maana hali ikiendelea hivi siku za usoni tutashuhudia Baa la njaa.
Nahisi...
Mtu ni Mzee 50+ hana kazi yoyote ila saa mbili asubuhi yupo kijiweni anapiga umbeya kuhusu maisha ya watu.
Basi hata bustani ya kumfanya awe busy hana. Na labda tuseme hata alipambana kumsomesha...
Mradi wa Vijana Plus utasaidia kuwajengea uwezo vijana wengi katika usimamizi na utekelezaji wa mashirika yasio ya serikali na kuepukana na changamoto zinazowakwamisha katika uimarishaji wa...
Kumekuwapo na Links (Viungo) vinavyotumwa katika makundi sogozi na mitandao mingine ya kijamii ikiwataka watu kubofya link hiyo ili wapate zawadi ya Mb ama pesa.
Links hizo mara nyingi zimekuwa...
Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu, amemshutumu mkandarasi anayetekeleza mradi wa uboreshaji wa miji Tanzania (TACTIC) mjini Geita, akimtaja kuwa hana uwezo, hana mtaji, na anakosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.