Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Hapa ni maandalizi ya kwenda kukata cake😅
0 Reactions
1 Replies
121 Views
Wakuu, Nadhani tutakubaliana pande zote kuwa maji sasa hivi ni changamoto. DAWASA walishauri watu wafunge pump, maji hata yasipokuwa na presha sana inaweza kusaidia! Arooo, sasa hivi kwanza maji...
1 Reactions
24 Replies
365 Views
Leo, tarehe 6 Machi 2025, Wakili Mwanaisha Mndeme amewasilisha shauri la uchaguzi katika Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani, akiwawakilisha waliokuwa wagombea wa uchaguzi wa serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Deepfake ni aina ya ubunifu wa kidigitali unaotumia teknolojia ya Akili Bandia (AI) kubadilisha au kuunda picha, sauti na video ambazo huonekana kama ni za kweli, lakini zimeundwa kwa njia bandia...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
POLISI wa Kituo Kikuu cha Polisi Himo kilichopo Wilaya ya Moshi vijijini mwishoni mwa wiki walivamia na kuvuruga kikao kilichoandaliwa kwa lengo la maandalizi ya kumsimika Frank Marealle kuwa...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Msingi wa sheria ya Usalama Barabarani Msingi wa kuwepo sheria hii ya Usalama Barabarani ni kutokana na maendeleo ya kiteknolojia na usafiri ambao binadamu ameubuni kurahisisha utendaji kazi...
2 Reactions
5 Replies
16K Views
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amewataka wanawake kutokubali vipigo na manyanyaso katika ndoa kwa kisingizio cha uvumilivu. Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani...
0 Reactions
2 Replies
60 Views
Huu ni uzi maalum wa kujulishana ubora wa huduma wa mabasi yanayotuhudumia nchini kwetu Tanzania na nje ya mipaka yake. 1. SCANDINAVIA EXPRESS (Kielelezo/mfano wa kampuni Bora kabisa ya...
3 Reactions
70 Replies
13K Views
Kiukweli napenda Sana kuona binadamu anatumia akili kubwa kuingiza hela kubwa. Nachukizwa Sana na vibaka na wezi wadogo wadogo ambao wanaambulia makofi na vipigo hevi vya mtaa mzima kisa wameiba...
26 Reactions
87 Replies
10K Views
Hivi huu utaratibu wa ukoloni mamboleo na utumwa wa rejareja wa kuvalishana mawigi ya kizungu (blonde wigs) ni nini? Hivi tuko huru kweli? Na hii common wealth ambao ni muunganiko wa nchi...
5 Reactions
128 Replies
20K Views
Kuna mwamba yeye alikua anakunywa pombe anavuta na sigara. Kulingana na yeye sigara ina stim sana ukiikosa unaweza ukaenda kuitafuta hata usiku wa manane, Sasa siku moja ilikua ni usiku sana...
4 Reactions
15 Replies
283 Views
Binti mmoja wa Nchini Uhispania Noelia (23), amepanda kizimbani kutoa ushahidi Mahakamani ili kumshawishi Hakimu amruhusu kufariki kwa hiyari yake baada ya Baba yake Mzazi kufungua shauri...
3 Reactions
9 Replies
276 Views
Naomba wenye kujua wanijuze hili, kuna bank furani ilituma pesa kimakosa February 1 katika account yangu... na baada ya kuchukuwa statement ikaonekana na mshahara uliolipwa kutoka kaasisi furani...
13 Reactions
59 Replies
2K Views
Kwenye maisha kuna mambo mengi sana watu wanapitia mpaka unamuona mtu ana biashara akikwambia mapito aliyopitia mpaka kufikia hapo "acha kabisa", (naongelea wapambanaji) wale wapewa mitaji na...
155 Reactions
463 Replies
69K Views
Mitaa ya IG, Twitter (X), JF, na kwingine ni kama jungle ukikosa Emotional Quotient (EQ) ya kutosha, unaweza kuingia kwenye mabishano makali, ukijitoa ufahamu, kumbe mwenzako ni mwanafunzi wa...
42 Reactions
263 Replies
3K Views
Kwenye "kusaka tonge" Nimejikuta mara kadhaa nadondokea kwenye nchi jirani ila hii nchi ya BURUNDI inanifanya kila siku nizidi kuthamini na kuipenda TZ..Burundi ni nchi ambayo imepitiwa na Bonde...
113 Reactions
560 Replies
50K Views
Ama kweli usiku wa deni haukawii kucha. Mnamo tarehe 2 January 2025 tuliambiwa mwezi Machi mabasi mapya ya mwendokasi yangewasili na kumaliza adha ya usafiri kwa njia za dart. Je huwa...
2 Reactions
10 Replies
326 Views
Back
Top Bottom